Wydad wachapika nyumbani 1-0, wamepigwa na Jwaneng Galaxy ambao watacheza na Simba

Wydad wachapika nyumbani 1-0, wamepigwa na Jwaneng Galaxy ambao watacheza na Simba

Kwa hiyo ww unajifariji kwa matokeo yangu mimi, kwa timu yako iliyochoka kuanzia mwili mpaka akili,confidence huna mechi ya tatu hupati matokeo.
Sio na jifariji,,nimekuulza wew mweny tim bora ulipata hyo clean sheet hyo juzi algeria
 
Hatua ya makundi ilivyo ukipata point 9 tu huwa una uhakika wa kufuzu.

Galaxy tayari ana point 3 za ugenini.

Waarabu hawawezi kucheza juani. Galaxy atamchezesha waydad juani akienda botswana.. hivyo kufungwa ngumu.

Simba na Asec katika mechi zao mbili na jwaneng home and away... wahakikishe hawampi jwaneng point hata moja.. ikitokea jwaneng amepata point kwa simba na asec

Ujue Jwaneng ndie ataungana na Waydad kufuzu...

Maana piga ua garagaza Waydad lazima atafuzu
 
Back
Top Bottom