Wydad wachapika nyumbani 1-0, wamepigwa na Jwaneng Galaxy ambao watacheza na Simba

ANGALIA simba wametokq kumfukuza kocha,kama kocha mpya.ni suala la kujipanga tu,nadhani mngejitafakari kwanza ninyi mliokula 3-0 muone mnaelekea wapi.kuliko kumjadili mtu aliyetoa suluhu
 
Wacha woga. Kichapo cha wydad kimeirahisishia simba kazi. Hii itapunguza speed ya wydad kujihakikishia nafasi ya kufuzu mapema. Simba anapoint 4 kwa jwaneng. Tembeakifua mbere
 
ANGALIA simba wametokq kumfukuza kocha,kama kocha mpya.ni suala la kujipanga tu,nadhani mngejitafakari kwanza ninyi mliokula 3-0 muone mnaelekea wapi.kuliko kumjadili mtu aliyetoa suluhu
Simba hawana team wale waliocheza leo ni kikundi cha vijana wa singeli..
 
Wacha woga. Kichapo cha wydad kimeirahisishia simba kazi. Hii itapunguza speed ya wydad kujihakikishia nafasi ya kufuzu mapema. Simba anapoint 4 kwa jwaneng. Tembeakifua mbere
Kwa team ipi mkuu! hiihii ya wacheza singeli..?
 
Simba itabarilika ,mark my word!
 
ANGALIA simba wametokq kumfukuza kocha,kama kocha mpya.ni suala la kujipanga tu,nadhani mngejitafakari kwanza ninyi mliokula 3-0 muone mnaelekea wapi.kuliko kumjadili mtu aliyetoa suluhu
Kujadiliwa atajadiliwa kwani hata ww juzi ulijadili mechi ya Yanga so ndio mpira na ndio lengo la hili jukwaa.
 
Au sio wew pale algeria juzi ulipata cleansheet
 
Kiuweli simba kwa kipindi hiki inaenda kuporomoka vibaya mno na hata kwenye ligi inaweza kupita hata misimu mitatu simba ubingwa wa ligi kuu itausikia kwenye bomba, kwa jinsi inavyocheza hii simba hata kwenye group stage usishangae ikawa ya mwisho timu imekosa muunganiko kuanzia mbele mpk nyuma wachezaji wamechoka utafikir wamekula kiporo cha makande
 
Walikua wanavizia kitonga kwa Jwaneng, saivi macho yamewatoka hawaamini.
Baada ya kupangwa makundi na kutathmini zile sare sare zao za mechi ya kimataifa nikawatabiria ALAMA TATU kwenye kundi lake, alama moja moja kwa kila mechi atakayocheza home ground.
Mechi moja imetiki bado 5.
 
Mawazo yako kuna mtu wa kuyazuia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…