Hatua ya makundi ilivyo ukipata point 9 tu huwa una uhakika wa kufuzu.
Galaxy tayari ana point 3 za ugenini.
Waarabu hawawezi kucheza juani. Galaxy atamchezesha waydad juani akienda botswana.. hivyo kufungwa ngumu.
Simba na Asec katika mechi zao mbili na jwaneng home and away... wahakikishe hawampi jwaneng point hata moja.. ikitokea jwaneng amepata point kwa simba na asec
Ujue Jwaneng ndie ataungana na Waydad kufuzu...
Maana piga ua garagaza Waydad lazima atafuzu