Wydad wamekwishatolewa na Simba, amini maneno yangu

Wydad wamekwishatolewa na Simba, amini maneno yangu

MIMI NDIO SINA SHAKA KABSA KAMA SIMBA ANAMFUNGA NA KUPITA HATUA YA NUSU FAINAL

Simba sio mnyonge kabsa Kwa mpira alioupiga first game palee Kwa mkaoa hakuna cha kumzuia simba asipite au asishinde game ya marudiano
 
Hiyo mech simba kushinda labda wacheze 12 kwa 10 hapo ndo watashinda mech ila kwa mm ninavyo hiona hiyo mech simba anakufa3-1
 
Ngoja nijifunze kuhesabu kiarabu maana siku hiyo mtangazaji ni mwendo wa “HAMSA", “SITTAH" sitaki kujichanganya kabisa 🤣
Kumbe kututetema ni kiarabu sikujua kabla mpaka baada ya mechi ya juzi ya yanga yule mwarabu alikuwa analia na kukazia tetema tetema!!!
 
SIKU HIYO TUTAKUWA TUKIHESABU.MAGOLI KWA MTINDO HUU
WAAAHID
ITHNAIIN
THALAAATHA
ARBAA
HAMSAAAA😂😂
SITAAA
SABAAAA
THAMANIAAA
TISAAAA
ASHARAAA😂😂😂😂
SIPATI PICHAAAA(GOLI LA KUMI NA MOJA KWA KIMOROCCO)
 
Back
Top Bottom