Wydad wamekwishatolewa na Simba, amini maneno yangu

Wydad wamekwishatolewa na Simba, amini maneno yangu

Matokeo aliyo yapata Yanga nigeria yamemuumiza sana Simba na ndoman wamefkia hatua hii ya kusema kweny uwanja wa muhhadi5 anashinda labda na njaa ila mpira wasahau ikokitu.
Hivi mkuu unakumbuka kuwa Barcelona alikuwa hafungwi Nou camp hasa na Madrid ulikuwa huwezi kumtolea pale kwake Santiago bernabeu wao hupenda kuuita museums of European football lkn ajax hakumpiga pale kwake na Bayern hakufanya hivyo kwa Barcelona Tena Barcelona akiwa fire na Bora Zaid mambo hubadilika kwenye football
 
Kwa mechi ya kwanza pale Lupaso, Simba akashinda 1-0, bonge la mtaji na kuifanya timu ijiamini kwenye mechi ya marudiano.

Kocha nimemwelewa namwamini.
Wabongo bwana kwa kujifariji na kujipa moyo ni mafundi, Any way mpira ni dk 90 lolote linaweza kutokea but kiuhalisia Simba anakwenda kukamilisha ratiba tu!
 
SIKU HIYO TUTAKUWA TUKIHESABU.MAGOLI KWA MTINDO HUU
WAAAHID
ITHNAIIN
THALAAATHA
ARBAA
HAMSAAAA[emoji23][emoji23]
SITAAA
SABAAAA
THAMANIAAA
TISAAAA
ASHARAAA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
SIPATI PICHAAAA
Natamani wapigwe hiyo ya mwisho
SIPATI PICHAAAA
[emoji1787][emoji16]
 
SIKU HIYO TUTAKUWA TUKIHESABU.MAGOLI KWA MTINDO HUU
WAAAHID
ITHNAIIN
THALAAATHA
ARBAA
HAMSAAAA😂😂
SITAAA
SABAAAA
THAMANIAAA
TISAAAA
ASHARAAA😂😂😂😂
SIPATI PICHAAAA
Sio siku hiyo Mkuu ni Ijumaa keshokutwa inshallah panapo majaaliwa si mbali nitakaa benchi la mbele kibanda umiza na popcorn 🍿 zangu kama vile Niko Aura Plaza nacheki muvi za kihindi!! Raha kama zote Onyango akiwapa penati mbili Wydad! Mzamiru na Putin wataenda nje kwa red card! Chama na Baleke watawekwa mfukoni! Simba itakuwa kama Abajalo au Lipuli!

Simba Kila ikipigwa goli wakisema kwa kiarabu mi natupia mdomoni popcorn 🍿!!

Sasa balaa ni pale mechi ikiisha Wydad 7 - 0 Simba klabuni Msimbazi hapatakalika, Mashabiki watafukuza makocha , Mo, madaktari, wachezaji na msemaji wao Kisha wataenda lupaso kung'oa viti na kuomba iwekwe mikeka!!

Movie ya majigambo ya Simba kucheza klabu bingwa inaelekea mwisho! Very sad ending!!
 
Back
Top Bottom