mchoma kitimoto
Member
- Apr 27, 2023
- 22
- 30
Simba lazima itoboe Kwa mwarabu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pamoja na kwamba nipo upande mwingine ila naona Ngada fc akipita kwa faida ya goli la ugenini yaani Aggr itakuwa 2-2
Maono yenu yatatimiaHata Mimi kuna hisia zinanijia kiwa Simba anavuka hii stage.
Match nilizowahi pata hisia na ikawa kweli
1. Man U vs Barca - 2018 UEFA ,ikumbukwe match ya mkondo wa kwanza kule Spain Man U alitoa draw na Ronaldo alikosa tuta,mechi ya marudiano pale OT ikaja masuala ya historia Mara sijui hakuna timu ya Uingereza iliyowahi mfunga BARCA pale England + pressure ya mashabiki wa zilizoitwa top 4 kipindi kile yaani ,Liverpool,Arsenal na Chelsea walitujua sana kutujaza maneno pale nilipokuwepo lakini wakati naenda kuangalia match nikajisikia tu nasema Paul Scholes is scoring a goal and that is what happened,FT Man u 1 - 0 Barca na mwaka huo Man U alibeba ubingwa.
2. Match ya Yanga dhidi ya African sport kule Tunis,niliwaambia kuwa nimepata hisia Kali kuwa Yanga anafuzu hatua ya makundi kwa namna yoyote ile na ndicho kilichotokea.
Sasa tusubiri Mnyama ili na Mimi nijiite Sheikh Yahya kama itakuwa kweli.
Mimi naamini kabisa tutaenda kufa kiumeKwa mechi ya kwanza pale Lupaso, Simba akashinda 1-0, bonge la mtaji na kuifanya timu ijiamini kwenye mechi ya marudiano.
Kocha nimemwelewa namwamini.
Miujiza yenyewe 👇Naamini soka ina miujiza
Wakati huo kolo anapata goli la ugenini, Wydad atakuwa vyumbani wanasikiliza mawaidha ya kochaSimba anatakiwa apate goli moja ugenini ahitimishe mechi
Hii sababu imefanya hii gemu kuwa gumu kwa Simba zaidi ya pale mwanzo. Wydad kama kiongozi wa timu zote za Morocco watataka kutoa kauli kali ili kina Raja wafuate. Sasa hivi hata Raja hawana msaada sana kwa Simba.mbaya zaidi timu tatu za Morocco zimetoka kupoteza na Mechi za marudiano wanacheza kwao Serikali imeingia kwenye kampeni mahsusi ili kuhakikisha timu zao zinafuzu .
Nitarudi
Mimi apa kelphinShunie kama shunie
Hata wakifungwa tano au sita lakini wenyewe wapate hata goli moja tu basi watakuwa wamefuzu...!!Simba anatakiwa apate goli moja ugenini ahitimishe mechi
Wivu wa mechi za vibonde. Hisia zinakuendesha sanaMatokeo aliyo yapata Yanga nigeria yamemuumiza sana Simba na ndoman wamefkia hatua hii ya kusema kweny uwanja wa muhhadi5 anashinda labda na njaa ila mpira wasahau ikokitu.
Nakupenda.❤️Mimi apa kelphin
Natamani niseme neno lakini nimejizuia, hatushindi njaa tunamshinda MwarabuMatokeo aliyo yapata Yanga nigeria yamemuumiza sana Simba na ndoman wamefkia hatua hii ya kusema kweny uwanja wa muhhadi5 anashinda labda na njaa ila mpira wasahau ikokitu.
Mbona unaharaka Sana kama muft anatangaza mweziKwa mechi ya kwanza pale Lupaso, Simba akashinda 1-0, bonge la mtaji na kuifanya timu ijiamini kwenye mechi ya marudiano.
Kocha nimemwelewa namwamini.
Kamwe haiwezi kutokea yakafika ulipoishia kuhesabu narudia kamwe haitatokeaSIKU HIYO TUTAKUWA TUKIHESABU.MAGOLI KWA MTINDO HUU
WAAAHID
ITHNAIIN
THALAAATHA
ARBAA
HAMSAAAA[emoji23][emoji23]
SITAAA
SABAAAA
THAMANIAAA
TISAAAA
ASHARAAA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
SIPATI PICHAAAA(GOLI LA KUMI NA MOJA KWA KIMOROCCO)