Wydad wamekwishatolewa na Simba, amini maneno yangu

Pamoja na kwamba nipo upande mwingine ila naona Ngada fc akipita kwa faida ya goli la ugenini yaani Aggr itakuwa 2-2
Maono yenu yatatimia
 
Mashabiki wengi wa Simba waamini mechi hii itakuwa rahisi hii inatokana na Msemaji wao kocha na wachezaji wao kutoa kauli za kishujaa ni vizuri sana hutakiwi kuingia kinyonge hasa kwa timu kubwa tena bingwa mtetezi ili upate ni lazima uwe na confidence. Angalizo langu tu kwa mashabiki wa Simba ni lazima akili zao pia wafahamu kuna kupoteza na kutolewa mkiamini tu maneno ya msemaji wenu tu mtakapopata matokeo hasi itawaumiza Sana kila mtu wa mpira anajua kabisa unapocheza na timu za waarabu kwao huwa very aggressive ndani ya dakika watamlazimisha mpinzani afanye makosa ili wamuadhibu kuwazuia hawa jamaa ndani dakika 15 mpaka wasipate nao si mchekea kama mnavyodhani wanapocheza kwao hawatamani hata mpira utoke nje tofauti wanapocheza ugenini na mbaya zaidi timu tatu za Morocco zimetoka kupoteza na Mechi za marudiano wanacheza kwao Serikali imeingia kwenye kampeni mahsusi ili kuhakikisha timu zao zinafuzu . Nasema tusimalize Sana maneno tuweke akiba
 
mbaya zaidi timu tatu za Morocco zimetoka kupoteza na Mechi za marudiano wanacheza kwao Serikali imeingia kwenye kampeni mahsusi ili kuhakikisha timu zao zinafuzu .
Hii sababu imefanya hii gemu kuwa gumu kwa Simba zaidi ya pale mwanzo. Wydad kama kiongozi wa timu zote za Morocco watataka kutoa kauli kali ili kina Raja wafuate. Sasa hivi hata Raja hawana msaada sana kwa Simba.
 
Matokeo aliyo yapata Yanga nigeria yamemuumiza sana Simba na ndoman wamefkia hatua hii ya kusema kweny uwanja wa muhhadi5 anashinda labda na njaa ila mpira wasahau ikokitu.
Wivu wa mechi za vibonde. Hisia zinakuendesha sana

Huku mlishindwa mkasepa. Huku Kuna wanaume 8 bora wa mpira wa Afrika.

Miamba hasa.

Juzi tu SIMBA 2-0 UTO
 
Matokeo aliyo yapata Yanga nigeria yamemuumiza sana Simba na ndoman wamefkia hatua hii ya kusema kweny uwanja wa muhhadi5 anashinda labda na njaa ila mpira wasahau ikokitu.
Natamani niseme neno lakini nimejizuia, hatushindi njaa tunamshinda Mwarabu
 
SIKU HIYO TUTAKUWA TUKIHESABU.MAGOLI KWA MTINDO HUU
WAAAHID
ITHNAIIN
THALAAATHA
ARBAA
HAMSAAAA[emoji23][emoji23]
SITAAA
SABAAAA
THAMANIAAA
TISAAAA
ASHARAAA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
SIPATI PICHAAAA(GOLI LA KUMI NA MOJA KWA KIMOROCCO)
Kamwe haiwezi kutokea yakafika ulipoishia kuhesabu narudia kamwe haitatokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…