Xi, Putin, na Kim wakiingia kwenye uwanja wa gwaride la kijeshi mjini Beijing

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
98,439
Reaction score
145,410
Sera zisizotabirika za Rais Trump zinawafanya baadhi ya viongozi wa mataifa duniani kuzidi kushikamana!

Ila kidogo kidogo hawa Wachina wanakuja juu sana kiteknolojia, hususan kwenye vifaa vya kijeshi.

Kwa sasa yawezekana China ndo taifa la pili kuwa na jeshi bora duniani.

Na yawezekana hawako mbali sana na kuipiku Marekani.

 
Undugu wa kweli kakosekana Ayatolaah tu hapo
 
Utakuta Mrusi wa tandale anawapenda hao jamaa watatu hapo halafu anaichukia CCM unabaki kumuonea huruma unasema huyu kweli kichwani ana akili
 
Acha kuifananisha Urusi na China kwenye nyanja za kijeshi boss. Wachina silaha zao nyingi either ni modification ama ni copy ya silaha za Kirusi na Kisovieti
Dunia haigandi na ndio maana sasa China ipo kwenye testing ya 6th wakati product ya Russia mpaka sasa haijaonekana ukiondoa program ya U.S.

Sasa kama wewe akili yako imeganda kwenye zama za kisovieti na copy and paste basi baki hivyo hivyo dunia ipo mbio haina muda wa kumsubiri mtu.

2027 PLA itakuwa na miaka 100 tusubiri tuone vitu vipya zaidi watakavyo onesha.

Japo ninakubali nguvu na jeshi la Urusi japo dunia inabadilika na kusonga mbele new players wanaibuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…