Xi, Putin, na Kim wakiingia kwenye uwanja wa gwaride la kijeshi mjini Beijing

Source?

Hapo naona unatoa maoni yako tu. Facts ziko wapi?

China wanafanya yote hayo halafu Marekani yenyewe imekaa tu haifanyi chochote kuhusu China eh?

Kwa maneno tu lolote lawezekana. Lakini maneno si uhalisia.

Kama kweli wanaweza kukabiliana na Marekani, waingie tu hapo Taiwan halafu tuone.

Mbona Marekani kila siku iko vitani na uchumi wao ndo mkubwa zaidi, tena kwa mbali kabisa, duniani! Siri yao nini?

Dola bilioni 200 na kitu kulinganisha na dola trilioni 1, ni usiku na mchana.

Ukija kwenye research and development, Marekani iko mbali sana.

Na hata ubora wa vifaa uko reflected kwenye bajeti.

Bado Marekani iko mbali sana.

Kuwa na askari wengi si hoja. Bomu moja tu linauwezo wa kuwayeyusha wote hao.
😂😂😂😂😂
 
https://www.reuters.com/business/ae...g-edge-fighter-using-chinese-gear-2025-08-02/
Hapo naona unatoa maoni yako tu. Facts ziko wapi?
Dessault rafale iliingia kwenye service 2007, ni 4.5 generation, kiujumla hizo ndege za kifaransa ziko vizuri sana.

Hapo sihitaji kuongeza maelezo zaidi, ukishasikia ni latest kuliko F-16 ujue kuanzia radar technology, maneuvering n.k inaizidi F-16, hio rafale ni semi stealth ina maana ina weza kukwepa radar kwa kiasi fulani.

Kuhusu F-16 itaizidi Dessault Rafale kwa sababu ni legend kwenye game.

Kwa maneno tu lolote lawezekana. Lakini maneno si uhalisia.

Kama kweli wanaweza kukabiliana na Marekani, waingie tu hapo Taiwan halafu tuone.
Pale Ukraine NATO si walikuwa wanabwabwaja hivyo hivyo, kiko wapi?, Russia hivyo hivyo nasikia pro US wanasema, vifaru vyao vina kutu vya kizamani, kwamba bajeti yao ni ndogo sana, kila aina ya maneno, leo hii Ukraine imemegwa vya kutosha na Russia wanasonga mbele na bajeti yao ndogo kuliko hata China na wanakabiliana na NATO.

Nchi zote za NATO ziko wapi? wamefanya kila aina ya msaada kuitetea Ukraine kiko wapi? US imetuma mabilioni ya fedha za walipa kodi wa US na hakuna kilichotokea, badala yake Trump anamuita Putin wayamalize. Amepiga mikwara kupeleka nyambizi ambazo ni nuclear capable mbona hazijarusha hata kokoto?

Muda ukifika Taiwana itadakwa. Na US itakuwa inaangalia, yetu macho.
Dola bilioni 200 na kitu kulinganisha na dola trilioni 1, ni usiku na mchana.

Ukija kwenye research and development, Marekani iko mbali sana.

Na hata ubora wa vifaa uko reflected kwenye bajeti.

Bado Marekani iko mbali sana.
Iko mbali? ubora wa vifaa?
US hio bajeti yao wana hypersonic missile? China anayo, je US anayo?

Kuwa na askari wengi si hoja. Bomu moja tu linauwezo wa kuwayeyusha wote hao.
Israel si ile pale , kwanini haijatumia bomu moja kuwayeyusha Hamas?
Hao askari hawakai kama ng'ombe zipo mnadani kwamba wanajikusanya eneo moja.

US ilikuwa zamani, mgogoro wa Ukraine wamefeli kuonyesha u giant wao, vita ya Israel-Iran wamefeli pia, yaani kila eneo hivi sasa wanafeli.

Inapaswa kukubali nguvu ya uchumi na kijeshi inatoka magharibi na kuelekea mashariki. unipolar enzi zake zimeisha sasa tupo kwenye bipolar.
Ni ukweli mchungu.
 
Sera zisizotabirika za Rais Trump zinawafanya baadhi ya viongozi wa mataifa duniani kuzidi kushikamana!

Ila kidogo kidogo hawa Wachina wanakuja juu sana kiteknolojia, hususan kwenye vifaa vya kijeshi.

Kwa sasa yawezekana China ndo taifa la pili kuwa na jeshi bora duniani.

Na yawezekana hawako mbali sana na kuipiku Marekani.

View attachment 3463365
Hawa jamaa watatu ndio wanafanya njama dhidi ya Trump?
 
Acha kuifananisha Urusi na China kwenye nyanja za kijeshi boss. Wachina silaha zao nyingi either ni modification ama ni copy ya silaha za Kirusi na Kisovieti
Once not now...
 
Japo ninakubali nguvu na jeshi la Urusi japo dunia inabadilika na kusonga mbele new players wanaibuka
Kweli kabisa mkuu. Nadhani mfano ambao uko unatrend sasa ni kauli ya Rais Nikolas Maduro kuonyesha hadharani simu anayotumia ya kichina (huawei) na kudai Us intelligence haiwezi dukua.
 
Sera zisizotabirika za Rais Trump zinawafanya baadhi ya viongozi wa mataifa duniani kuzidi kushikamana!

Ila kidogo kidogo hawa Wachina wanakuja juu sana kiteknolojia, hususan kwenye vifaa vya kijeshi.

Kwa sasa yawezekana China ndo taifa la pili kuwa na jeshi bora duniani.

Na yawezekana hawako mbali sana na kuipiku Marekani.

View attachment 3463365
Unamuonea tu Trump aliempush Putin kwa China ni Biden na Ulaya wakati wa Vita vya Ukraine, walioona Mbali wakasema, Trump angalau sasa hivi Ana jaribu kurejesha mahusiano.
 
https://www.reuters.com/business/ae...g-edge-fighter-using-chinese-gear-2025-08-02/

Dessault rafale iliingia kwenye service 2007, ni 4.5 generation, kiujumla hizo ndege za kifaransa ziko vizuri sana.

Hapo sihitaji kuongeza maelezo zaidi, ukishasikia ni latest kuliko F-16 ujue kuanzia radar technology, maneuvering n.k inaizidi F-16, hio rafale ni semi stealth ina maana ina weza kukwepa radar kwa kiasi fulani.

Kuhusu F-16 itaizidi Dessault Rafale kwa sababu ni legend kwenye game.

Kwanza, India ilikanusha ndege zake kutunguliwa na Pakistan haikutoa ushahidi wowote ule.

Pili, kwa maelezo yako, Pakistan ndo ilishinda hiyo vita eh?
Pale Ukraine NATO si walikuwa wanabwabwaja hivyo hivyo, kiko wapi?, Russia hivyo hivyo nasikia pro US wanasema, vifaru vyao vina kutu vya kizamani, kwamba bajeti yao ni ndogo sana, kila aina ya maneno, leo hii Ukraine imemegwa vya kutosha na Russia wanasonga mbele na bajeti yao ndogo kuliko hata China na wanakabiliana na NATO.

Nchi zote za NATO ziko wapi? wamefanya kila aina ya msaada kuitetea Ukraine kiko wapi? US imetuma mabilioni ya fedha za walipa kodi wa US na hakuna kilichotokea, badala yake Trump anamuita Putin wayamalize. Amepiga mikwara kupeleka nyambizi ambazo ni nuclear capable mbona hazijarusha hata kokoto?
Exactly! Tulisikia kwamba itawachukua muda wa siku 7 tu kuikamata Ukraine yote!

Mwaka wa tatu huu vita bado inaendelea na Putin anaenda kuomba msaada toka North Korea na Iran 🤣.

Juzi nimemuona Kim akilia machozi wakati akiyapokea mabaki ya wanajeshi wake waliouliwa na Ukraine.

Majenerali kibao wa Russia wameuliwa. Madege yao yanalipuliwa kila Mara.

Vita bado inaendelea na hakuna mshindi.

Ukraine imeidindia Russia. Na hapo ni kwamba Ukraine imepewa silaha chache tu na nchi za NATO.

Superpower Russia anasaidiwa askari na silaha kutoka Iran na North Korea!

Comical.

Muda ukifika Taiwana itadakwa. Na US itakuwa inaangalia, yetu macho.
Utafika lini huo muda? Na kwa nini isiwe sasa hivi?

Ukweli ni kwamba, China inajua fika kuwa ikiivamia Taiwan, itakuwa imejiingiza kwenye vita na Marekani. Jambo ambalo hawalitaki na hawawezi kulifanya.

Iko mbali? ubora wa vifaa?
US hio bajeti yao wana hypersonic missile? China anayo, je US anayo?
Wanazitengeneza. Na amini kuwa zikiwa tayari zitakuwa bora mara mia ya hizo za China ambazo hazijawa tested kwenye viwanja vya vita.

Na nijuavyo, ikija kwenye suala la ubora, China iko kwenye level ya kipekee sana 🤣.

Israel si ile pale , kwanini haijatumia bomu moja kuwayeyusha Hamas?
Hao askari hawakai kama ng'ombe zipo mnadani kwamba wanajikusanya eneo moja.
Huwezi kuwayeyusha Hamas bila kuwayeyusha raia wa Gaza maana Hamas wamejificha uraiani.

Sasa hivi tu Israel wanalaumiwa kuwa wanacommit genocide huko Gaza.

Wakitumia silaha za kuwayeyusha Hamas si mtalia na kusaga meno nyie…

US ilikuwa zamani, mgogoro wa Ukraine wamefeli kuonyesha u giant wao, vita ya Israel-Iran wamefeli pia, yaani kila eneo hivi sasa wanafeli.

Inapaswa kukubali nguvu ya uchumi na kijeshi inatoka magharibi na kuelekea mashariki. unipolar enzi zake zimeisha sasa tupo kwenye bipolar.
Ni ukweli mchungu.
Marekani haijaji commit kivile huko Ukraine.

Ushiriki wao wa kiasi kidogo tu umeifanya Russia ishindwe kupata ushindi hadi imeanza kuomba msaada toka kwa Kim na Ayatollah 🤣.

Kwenye vita ya Israel na Iran, Marekani imefeli wapi?

Hukuona B-2 zilivyoingia kwenye anga ya Iran na kutoka bila hata mkwaruzo?
 
Kwanza, India ilikanusha ndege zake kutunguliwa na Pakistan haikutoa ushahidi wowote ule.

Pili, kwa maelezo yako, Pakistan ndo ilishinda hiyo vita eh?

Exactly! Tulisikia kwamba itawachukua muda wa siku 7 tu kuikamata Ukraine yote!

Mwaka wa tatu huu vita bado inaendelea na Putin anaenda kuomba msaada toka North Korea na Iran 🤣.

Juzi nimemuona Kim akilia machozi wakati akiyapokea mabaki ya wanajeshi wake waliouliwa na Ukraine.

Majenerali kibao wa Russia wameuliwa. Madege yao yanalipuliwa kila Mara.

Vita bado inaendelea na hakuna mshindi.

Ukraine imeidindia Russia. Na hapo ni kwamba Ukraine imepewa silaha chache tu na nchi za NATO.

Superpower Russia anasaidiwa askari na silaha kutoka Iran na North Korea!

Comical.

Utafika lini huo muda? Na kwa nini isiwe sasa hivi?

Ukweli ni kwamba, China inajua fika kuwa ikiivamia Taiwan, itakuwa imejiingiza kwenye vita na Marekani. Jambo ambalo hawalitaki na hawawezi kulifanya.

Wanazitengeneza. Na amini kuwa zikiwa tayari zitakuwa bora mara mia ya hizo za China ambazo hazijawa tested kwenye viwanja vya vita.

Na nijuavyo, ikija kwenye suala la ubora, China iko kwenye level ya kipekee sana 🤣.

Huwezi kuwayeyusha Hamas bila kuwayeyusha raia wa Gaza maana Hamas wamejificha uraiani.

Sasa hivi tu Israel wanalaumiwa kuwa wanacommit genocide huko Gaza.

Wakitumia silaha za kuwayeyusha Hamas si mtalia na kusaga meno nyie…

Marekani haijaji commit kivile huko Ukraine.

Ushiriki wao wa kiasi kidogo tu umeifanya Russia ishindwe kupata ushindi hadi imeanza kuomba msaada toka kwa Kim na Ayatollah 🤣.

Kwenye vita ya Israel na Iran, Marekani imefeli wapi?

Hukuona B-2 zilivyoingia kwenye anga ya Iran na kutoka bila hata mkwaruzo?
Pumba
 
Ukraine imeidindia Russia. Na hapo ni kwamba Ukraine imepewa silaha chache tu na nchi za NATO.
Russia inapambana na collective west, usiseme silaha chache...
Hivi hukuona hata Trump alichomuambia Zelensky oval office? rump alimuambia hii vita pasipo msaada ingechukua wiki mbili tu, NATO inapambana kutoaibika.
Nikiweka hapa mkeka wa silaha anazosaodiwa Ukraine wewe mwenyewe utashangaa Russia imewezaje ku survive.

Tusihame , tulikuwa tunazungmzia China na US.

Wanazitengeneza. Na amini kuwa zikiwa tayari zitakuwa bora mara mia ya hizo za China ambazo hazijawa tested kwenye viwanja vya vita.

Na nijuavyo, ikija kwenye suala la ubora, China iko kwenye level ya kipekee sana 🤣.
Iran hypersonic zote alizotumia kwenye ile vita ya siku 12 ni za miaka 20 hadi 30 nyuma.
Iran ilimpa Russia teknolojia ya drones za shahed 136 ambazo zilikuwa ni hatari kubwa katika uwanja wa vita pale Ukraine.
Russia amechukua copy akatoa drones zake ambazo zinaitwa Geran 2... wengine wanaziita Russian shahed drones, cha ajabu na kusikitisha US nae katoa shahed drones anaziita LUCAS 🤣

Yaani US ame copy na ku paste, mi nilijua ni Chinese pekee...
img_8956-1.jpg

Ukweli ni kwamba hata tech ya hypersonic hawana bado wanajitafuta wameanza kuiga shahed drones kinachofuata watahonga wanasayansi wa Iran wawafundishe kutengeneza hypersonic...

China imepiga hatua na sasa wana hypersonic, US hawana huo ndio ukweli, sasa sijui hizo bajeti za matrilioni zinawasaidia kitu gani.

Huwezi kuwayeyusha Hamas bila kuwayeyusha raia wa Gaza maana Hamas wamejificha uraiani.

Sasa hivi tu Israel wanalaumiwa kuwa wanacommit genocide huko Gaza.

Wakitumia silaha za kuwayeyusha Hamas si mtalia na kusaga meno nyie…
Kama Hamas wamejificha kwa raia, je wale mateka mamia walikuwa nao wamefichwa kwa raia? mbona Israel imeingiza kila aina ya makachero, majasusi kwenye kila eneo, hadi kambi za wahanga wa vita Gaza lakini hawakuona wale mateka?

Kama Hamas inajificha miongoni mwa raia ni suala la wazi kwamba hata mateka wamefichwa humo raia walipo, mbona hawapatikani mwaka wa pili huu? Sinwar kipindi anafariki alikuwa amejificha kati kati ya raia?

Kaa uelewe kwamba wale mateka walipokuwa wamefungiwa ndipo huko Hamas walipokuwa, Israel imetumia satellite, wataalamu wa kila aina kabla ya kukubali kuabika kukubali kubadilishana wafungwa...

Raia wa Gaza wapo kwenye tents kwenye kambi za wakimbizi, na kila muda wanahamishwa, Israel hawakuwaona hao mateka?

IDF imezidiwa intel na Hamas, hilo lipo wazi.

Marekani haijaji commit kivile huko Ukraine.

Ushiriki wao wa kiasi kidogo tu umeifanya Russia ishindwe kupata ushindi hadi imeanza kuomba msaada toka kwa Kim na Ayatollah 🤣.

Kwenye vita ya Israel na Iran, Marekani imefeli wapi?

Hukuona B-2 zilivyoingia kwenye anga ya Iran na kutoka bila hata mkwaruzo?
Malengo ya vita yeye na shoga yake Israel ilikuwa kufanya regime change na kuharibu vinu vya nuclear vya Iran, ilikuwaje US inakuja kuomba vita isimame? kipi walifanikiwa? hakuna hata kimoja, sasa hapo US hizo B-2 zimemsaidia nini?

US alitumia mbinu chafu ya kuwaaminisha Iran wanakaa kwenye mazungumzo ili kumzubaisha Israel ivamie, Israel imeharibu air defense za Iran kwa kutumia magaidi walioingia Iran, isingekuwa hivyo B-2 mnayoita stealth isingepita.
 
Back
Top Bottom