Telewolth bin champion
JF-Expert Member
- Dec 11, 2018
- 2,876
- 7,621
Ukimwambia ataje siraha 3 za mmarekani na 3 za mrusi aweke comparison tuone wanazidiana vipi hawezi zaidi ya kuamini yale mamuvi ya Hollywood,Wamarekani wenyewe hawalali wanajua uwezo wa urusi wewe mbongo unasema vifaa vya urusi vya kizamani wabongo bwana
hawajui kuwa kwasasa ukimtoa mchina ambaye anaongoza kwa production kubwa ya vifaa vya kijeshi, yupo Russia ambaye ndie taifa pekee lililoweza kufanya majaribio makubwa ya kila aina ya siraha zake na mifumo yake ya kiulinzi kwa kipindi cha zaidi ya miaka3 vitani, hivyo wanajua mapungufu ya siraha zao na kipi ambacho kina effects kubwa kwenye military warfare, mfano matumizi ya drones za kisasa badala ya matumizi ya fighter jets, matumizi ya hypersonic missiles mbadala ya fighter jets/bombers.
Kiufupi vita ya Russia na ukraine imeifunza russia kupunguza matumizi yasio ya lazima vitani kuanzia rasiliamali watu(jeshi)na fedha kwa kutumia siraha ndogo za bajeti ndogo lakini zina maafa makubwa ikiwa mbadala wa siraha za bajeti kubwa na madhara yaleyale.
Huyo USA ana kipi kipya amacho anakijua vitani zaidi ya matumizi ya siraha zake zile zile miaka yote ktk vamizi zake kwa nchi masikin zinazolindwa na vikundi vya wanamgambo na baadhi ya nchi zinazojikongoja, USA ukiondoa hizo fighter-jets kama F-35 series, F-22 Raptor, F-15 series, F-16, na baadhi ya Famous old bombers(B-21 Raider, B-2A spirit) wanazozisifia wasiojua masuala ya kijeshi ambazo kwa nchi kama Russia+China hazina la maana, bado zina technology ya kizazi cha 4, huyu USA ana kipi cha ziada?