Xi, Putin, na Kim wakiingia kwenye uwanja wa gwaride la kijeshi mjini Beijing

Xi, Putin, na Kim wakiingia kwenye uwanja wa gwaride la kijeshi mjini Beijing

Russia inapambana na collective west, usiseme silaha chache...
Hivi hukuona hata Trump alichomuambia Zelensky oval office? rump alimuambia hii vita pasipo msaada ingechukua wiki mbili tu, NATO inapambana kutoaibika.
Nikiweka hapa mkeka wa silaha anazosaodiwa Ukraine wewe mwenyewe utashangaa Russia imewezaje ku survive.

Tusihame , tulikuwa tunazungmzia China na US.

Iran hypersonic zote alizotumia kwenye ile vita ya siku 12 ni za miaka 20 hadi 30 nyuma.
Iran ilimpa Russia teknolojia ya drones za shahed 136 ambazo zilikuwa ni hatari kubwa katika uwanja wa vita pale Ukraine.
Russia amechukua copy akatoa drones zake ambazo zinaitwa Geran 2... wengine wanaziita Russian shahed drones, cha ajabu na kusikitisha US nae katoa shahed drones anaziita LUCAS 🤣

Yaani US ame copy na ku paste, mi nilijua ni Chinese pekee...
img_8956-1.jpg

Ukweli ni kwamba hata tech ya hypersonic hawana bado wanajitafuta wameanza kuiga shahed drones kinachofuata watahonga wanasayansi wa Iran wawafundishe kutengeneza hypersonic...

China imepiga hatua na sasa wana hypersonic, US hawana huo ndio ukweli, sasa sijui hizo bajeti za matrilioni zinawasaidia kitu gani.

Kama Hamas wamejificha kwa raia, je wale mateka mamia walikuwa nao wamefichwa kwa raia? mbona Israel imeingiza kila aina ya makachero, majasusi kwenye kila eneo, hadi kambi za wahanga wa vita Gaza lakini hawakuona wale mateka?

Kama Hamas inajificha miongoni mwa raia ni suala la wazi kwamba hata mateka wamefichwa humo raia walipo, mbona hawapatikani mwaka wa pili huu? Sinwar kipindi anafariki alikuwa amejificha kati kati ya raia?

Kaa uelewe kwamba wale mateka walipokuwa wamefungiwa ndipo huko Hamas walipokuwa, Israel imetumia satellite, wataalamu wa kila aina kabla ya kukubali kuabika kukubali kubadilishana wafungwa...

Raia wa Gaza wapo kwenye tents kwenye kambi za wakimbizi, na kila muda wanahamishwa, Israel hawakuwaona hao mateka?

IDF imezidiwa intel na Hamas, hilo lipo wazi.

Malengo ya vita yeye na shoga yake Israel ilikuwa kufanya regime change na kuharibu vinu vya nuclear vya Iran, ilikuwaje US inakuja kuomba vita isimame? kipi walifanikiwa? hakuna hata kimoja, sasa hapo US hizo B-2 zimemsaidia nini?

US alitumia mbinu chafu ya kuwaaminisha Iran wanakaa kwenye mazungumzo ili kumzubaisha Israel ivamie, Israel imeharibu air defense za Iran kwa kutumia magaidi walioingia Iran, isingekuwa hivyo B-2 mnayoita stealth isingepita.
Mwanangu po nondo kweli kweli.
 
Sera zisizotabirika za Rais Trump zinawafanya baadhi ya viongozi wa mataifa duniani kuzidi kushikamana!

Ila kidogo kidogo hawa Wachina wanakuja juu sana kiteknolojia, hususan kwenye vifaa vya kijeshi.

Kwa sasa yawezekana China ndo taifa la pili kuwa na jeshi bora duniani.

Na yawezekana hawako mbali sana na kuipiku Marekani.

View attachment 3463365
Mbona kama marobot? Hapo wamesimama wote au wanatembea? Putin huyu kwenye picha kama siyo binadamu kabina.
 
Dunia haigandi na ndio maana sasa China ipo kwenye testing ya 6th wakati product ya Russia mpaka sasa haijaonekana ukiondoa program ya U.S.

Sasa kama wewe akili yako imeganda kwenye zama za kisovieti na copy and paste basi baki hivyo hivyo dunia ipo mbio haina muda wa kumsubiri mtu.

2027 PLA itakuwa na miaka 100 tusubiri tuone vitu vipya zaidi watakavyo onesha.

Japo ninakubali nguvu na jeshi la Urusi japo dunia inabadilika na kusonga mbele new players wanaibuka
Wamarekani wenyewe hawalali wanajua uwezo wa urusi wewe mbongo unasema vifaa vya urusi vya kizamani wabongo bwana
 
Usipo fanya hivyo Utaishia kupigwa wewe
kazi kweli aisee binadamu ni kiumbe complex sana imagine nuclear aka 45 pistol jela vyote ni kupambana na binadamu hata pengine pistol hana
 
Usipo fanya hivyo Utaishia kupigwa wewe
kazi kweli aisee binadamu ni kiumbe complex sana imagine nuclear aka 45 pistol jela vyote ni kupambana na binadamu hata pengine pistol hana
 
Hilo jeshi wala sio issue kubwa ukishakuwa na arsenal yako ya Nuclear dunia ya leo basi unaogopewa hata Gadaffi angekuwa nayo au Iran asingeingia mkataba na Obama wa kusikitisha kuelekea huko sasa hivi hawa wanafiki wasingemsumbua..., Au North Korea angekuwa hana sasa hivi tungekuwa tunamuongelea kama Past Tense....

Issue ya maana zaidi ambayo USA amejishoot mwenyewe ni kufanya watu waanze kuangalia plan B sababu hawaaminiki tena.... (Trump has been the worse thing Ever kwa USA - Enemy within)

Russia inapambana na collective west, usiseme silaha chache...
Hivi hukuona hata Trump alichomuambia Zelensky oval office? rump alimuambia hii vita pasipo msaada ingechukua wiki mbili tu, NATO inapambana kutoaibika.
Nikiweka hapa mkeka wa silaha anazosaodiwa Ukraine wewe mwenyewe utashangaa Russia imewezaje ku survive.

Tusihame , tulikuwa tunazungmzia China na US.

Iran hypersonic zote alizotumia kwenye ile vita ya siku 12 ni za miaka 20 hadi 30 nyuma.
Iran ilimpa Russia teknolojia ya drones za shahed 136 ambazo zilikuwa ni hatari kubwa katika uwanja wa vita pale Ukraine.
Russia amechukua copy akatoa drones zake ambazo zinaitwa Geran 2... wengine wanaziita Russian shahed drones, cha ajabu na kusikitisha US nae katoa shahed drones anaziita LUCAS 🤣

Yaani US ame copy na ku paste, mi nilijua ni Chinese pekee...
img_8956-1.jpg

Ukweli ni kwamba hata tech ya hypersonic hawana bado wanajitafuta wameanza kuiga shahed drones kinachofuata watahonga wanasayansi wa Iran wawafundishe kutengeneza hypersonic...

China imepiga hatua na sasa wana hypersonic, US hawana huo ndio ukweli, sasa sijui hizo bajeti za matrilioni zinawasaidia kitu gani.

Kama Hamas wamejificha kwa raia, je wale mateka mamia walikuwa nao wamefichwa kwa raia? mbona Israel imeingiza kila aina ya makachero, majasusi kwenye kila eneo, hadi kambi za wahanga wa vita Gaza lakini hawakuona wale mateka?

Kama Hamas inajificha miongoni mwa raia ni suala la wazi kwamba hata mateka wamefichwa humo raia walipo, mbona hawapatikani mwaka wa pili huu? Sinwar kipindi anafariki alikuwa amejificha kati kati ya raia?

Kaa uelewe kwamba wale mateka walipokuwa wamefungiwa ndipo huko Hamas walipokuwa, Israel imetumia satellite, wataalamu wa kila aina kabla ya kukubali kuabika kukubali kubadilishana wafungwa...

Raia wa Gaza wapo kwenye tents kwenye kambi za wakimbizi, na kila muda wanahamishwa, Israel hawakuwaona hao mateka?

IDF imezidiwa intel na Hamas, hilo lipo wazi.

Malengo ya vita yeye na shoga yake Israel ilikuwa kufanya regime change na kuharibu vinu vya nuclear vya Iran, ilikuwaje US inakuja kuomba vita isimame? kipi walifanikiwa? hakuna hata kimoja, sasa hapo US hizo B-2 zimemsaidia nini?

US alitumia mbinu chafu ya kuwaaminisha Iran wanakaa kwenye mazungumzo ili kumzubaisha Israel ivamie, Israel imeharibu air defense za Iran kwa kutumia magaidi walioingia Iran, isingekuwa hivyo B-2 mnayoita stealth isingepita.
Usikute anatumia iPhone au Samsung kureply hapa ( Western based technology) halafu unasema US anajitafuta 😆😆😆 nakushauri nenda tafuta maarifa 80% ya tech. Tunatumia duniani ilianzia wapi?
 
Wamarekani wenyewe hawalali wanajua uwezo wa urusi wewe mbongo unasema vifaa vya urusi vya kizamani wabongo bwana
Hapo Russia ndiyo pekee yupo serious kwenye suala la vita ila huyo bwana wenu mchina sijawahi kumwelewa ....hajawahi kuleta heka heka za kivita popote pale duniani
 
Nilikuwa nawaza kuhusu hawa Wachina, kuwa hivi hawana jeshi kubwa la robot hata milioni 1 ambao wanaweza kupigana kwa silaha?

Dunia hii ya sasa haitabiriki.
Kama kwenye maji pia sijui wamefikia wapi maana submarines za zamani zimepitwa na wakati
India na Pakistan wangeendelea kuzichapa tungeiona zaidi nguvu ya China
 
Usikute anatumia iPhone au Samsung kureply hapa ( Western based technology) halafu unasema US anajitafuta 😆😆😆 nakushauri nenda tafuta maarifa 80% ya tech. Tunatumia duniani ilianzia wapi?
Samsung ni South Korea sio US ndugu..
Mimi ama wewe ndiye wa kutafuta maarifa? Unafahamu Soviet ndio walikuwa wa kwanza kurusha satellite angani kabla ya US?
 
Samsung ni South Korea sio US ndugu..
Mimi ama wewe ndiye wa kutafuta maarifa? Unafahamu Soviet ndio walikuwa wa kwanza kurusha satellite angani kabla ya US?
Ndo maana watoto wetu wanafeli shule hawajui namna ya kujibu maswali ...nimesema Russia yes...ila china no.. Korea kusini wanatumia west based tech. Maana ni marafiki wakubwa wa US, Russia ni mzungu Yule wala siyo wa Asia...Kwa hiyo Russia Vs US ni wazungu wote ila China Vs US ni habari nyingine 😆😆
 
Wewe ndiye unashindwa knielewa..
Ninachomaanisha hizo tech zipo Russia pia, China ingeweza kuchukua tech za maana tu kutoka Russia hata kama US isingekuwepo unaelewa?

Maana hata silaha zao nyingi na ndege wana copy Russia...

Hivyo hoja ya tech ilianzia wapi haina nguvu, Hata China isipochukua tech ya west, Russia walikuwepo, kama watu walirusha satellite 1950s na wakati inafahamika rocket science ilivyo ngumu unafikiri watashindwa kutengeneza huo uchafu wa kuitwa simu?
 
Critical thinking hauna mkuu, No wonder hata akili ya kurukia mtaro pia hauna.
Ningekua sina akili ya kurukia mtaro bi mkubwa wako angeniachia goli wazi ukapatikana mtoto mchelemchele usitake kila wazo lako lionekane bora
 
https://www.reuters.com/business/ae...g-edge-fighter-using-chinese-gear-2025-08-02/

Dessault rafale iliingia kwenye service 2007, ni 4.5 generation, kiujumla hizo ndege za kifaransa ziko vizuri sana.

Hapo sihitaji kuongeza maelezo zaidi, ukishasikia ni latest kuliko F-16 ujue kuanzia radar technology, maneuvering n.k inaizidi F-16, hio rafale ni semi stealth ina maana ina weza kukwepa radar kwa kiasi fulani.

Kuhusu F-16 itaizidi Dessault Rafale kwa sababu ni legend kwenye game.

Pale Ukraine NATO si walikuwa wanabwabwaja hivyo hivyo, kiko wapi?, Russia hivyo hivyo nasikia pro US wanasema, vifaru vyao vina kutu vya kizamani, kwamba bajeti yao ni ndogo sana, kila aina ya maneno, leo hii Ukraine imemegwa vya kutosha na Russia wanasonga mbele na bajeti yao ndogo kuliko hata China na wanakabiliana na NATO.

Nchi zote za NATO ziko wapi? wamefanya kila aina ya msaada kuitetea Ukraine kiko wapi? US imetuma mabilioni ya fedha za walipa kodi wa US na hakuna kilichotokea, badala yake Trump anamuita Putin wayamalize. Amepiga mikwara kupeleka nyambizi ambazo ni nuclear capable mbona hazijarusha hata kokoto?

Muda ukifika Taiwana itadakwa. Na US itakuwa inaangalia, yetu macho.

Iko mbali? ubora wa vifaa?
US hio bajeti yao wana hypersonic missile? China anayo, je US anayo?

Israel si ile pale , kwanini haijatumia bomu moja kuwayeyusha Hamas?
Hao askari hawakai kama ng'ombe zipo mnadani kwamba wanajikusanya eneo moja.

US ilikuwa zamani, mgogoro wa Ukraine wamefeli kuonyesha u giant wao, vita ya Israel-Iran wamefeli pia, yaani kila eneo hivi sasa wanafeli.

Inapaswa kukubali nguvu ya uchumi na kijeshi inatoka magharibi na kuelekea mashariki. unipolar enzi zake zimeisha sasa tupo kwenye bipolar.
Ni ukweli mchungu.
Unapotezaje muda kubishana na hawa wafia nchi za watu, wao hawapendi facts, bali mahaba yao kwa nchi fulani,

Wanajifanya kuichukia China na kuipenda USA wakati huo maisha yao yote yamezungukwa kwa huruma ya bidhaa+huduma kutoka kwa mchina, ukianzia simu wanazomiliki, Tv, friji, pasi za umeme, majiko ya umeme, mitumba ya nguo, mpaka Usafiri wanaotumia(bodaboda) na usafiri wa mikoani(bus za kichina kama vile yutong), hata maduka wanayouza/kununua yamejaa bidhaa za mchina, hii kuonesha kuwa bila Mchina Afrika ingekuwa TAKATAKA, wachache sana wanaweza ku-afford bidhaa za magharibi.

Back to topic, hivi hawa wanaobeza nguvu ya kijeshi ya China wanatumia vigezo vipi?, hawajui kuwa Kwa sasa China ndio taifa pekee ambalo lime advance ktk technology za kivita kuanza matumizi air defense systems za kisasa, long range, medium range na short range missiles with supersonic& hypersonic speed,

hao USA mpaka sasa wanakipi ambacho mchina hana?, kama ma aircraft carriers china wanayo mpya wamezindua majuzi, kama ni submarine+makombora ya majini, mchina anayo, kama nguvu za kinyuklia mchina anayo.

Nguvu ya anga huko ndiko hata tusiongelee maana huko mchina ndie anaongoza ktk production kubwa ya drones za kisasa tofauti na hizo za mmarekani kama MQ- 9 Reaper, MQ-1 predator, MQ- 1C Gray Eagle.

Mmarekan anachomzidi mchina ni bajeti yake ya kifisadi ya undeshaji wa shughuli za kijeshi kwenye kambi zilikotapakaa duniani ambako kuna sababu za kuziendesha mission nyingi za kulinda maslahi kama vile resources (madini,mafuta,gas) maslahi ya kisiasa na ushawishi wa kikanda mfano middle East pia hata hapa East Afrika (Kenya).

Watu wengi wasichokijua ni kwamba uchumi wa USA umejengwa na ubepari na ubinafsi mkubwa hivyo hata vifaa vya kijeshi na huduma za kijeshi zinasimamiwa na private sectors ambazo ndizo wazalishaji wa siraha na kila huduma za kijeshi hivyo basi lazima uwepo mchakato mrefu wa upigaji na mamiddle men wengi wanaofanya gharama kuwa kubwa mpaka kuikamilisha chain nzima.

Mfano kwa siraha ambayo ingeundwa na jeshi la nchi ya China au Russia yenye ufanisi sawa na ile ya USA maajabu gharama ya USA inaweza kuzidi hii ya China/Russia mara tano(5X) zaidi, michakato mingi ya kidili ndio inayoongeza gharama kwa marekani.

Kiuhalisia huyo marekani na washirika wake wa Ulaya kwasasa hawana iyo nguvu mnayoidhania.
 
Back
Top Bottom