Xi, Putin, na Kim wakiingia kwenye uwanja wa gwaride la kijeshi mjini Beijing

Sawa sawa Ccm inaliletea Maendeleo Taifa la Tanzania mpaka wameweza kuifanya Tanzania kuwa super power Africa nzima na baada ya miaka 10 ijayo Tanzania itakuwa na uchumi mkubwa kama china , Aiseee CCM oyeeee 🤣🤣
Utakuta Mrusi wa tandale anawapenda hao jamaa watatu hapo halafu anaichukia CCM unabaki kumuonea huruma unasema huyu kweli kichwani ana akili
 
China imeshaipita US tayari japo kwa sehemu ndogo kwenye vifaa vya kijeshi... na bado inaendelea kuipita...
hypersonic China wanazo wakati US hawana...
Stealth aircraft hadi ndege kama B-2 wanayo, ya kwao wanaita H-20... Tusijipe moyo kwamba US inaifikia China kwa sasa... hilo tusahau...
H-20-Bomber-1.jpg

H-20 stealth bomber..
 
Sawa sawa Ccm inaliletea Maendeleo Taifa la Tanzania mpaka wameweza kuifanya Tanzania kuwa super power Africa nzima na baada ya miaka 10 ijayo Tanzania itakuwa na uchumi mkubwa kama china , Aiseee CCM oyeeee 🤣🤣
Oyeee samia mitano
 
China imeshaipita US tayari japo kwa sehemu ndogo kwenye vifaa vya kijeshi... na bado inaendelea kuipita...
hypersonic China wanazo wakati US hawana...
Stealth aircraft hadi ndege kama B-2 wanayo, ya kwao wanaita H-20... Tusijipe moyo kwamba US inaifikia China kwa sasa... hilo tusahau...
H-20-Bomber-1.jpg

H-20 stealth bomber..

Vifaa vyao vingi haviko battle tested.

Mara ya mwisho China kupigana vita ilikuwa lini?

Halafu, bajeti ya ulinzi ya China ikoje?

Bajeti ya Marekani nayo ikoje?

Bajeti ndiyo hutoa muongozo nani yuko juu.

Mpaka sasa hakuna anayemkaribia Mmarekani kwenye Bajeti ya ulinzi.
 
Sera zisizo abiria za Rais Trump zinawafanya baadhi ya viongozi wa mataifa duniani kuzidi kushikamana!

Ila kidogo kidogo hawa Wachina wanakuja juu sana kiteknolojia, hususan kwenye vifaa vya kijeshi.

Kwa sasa yawezekana China ndo taifa la pili kuwa na jeshi bora duniani.

Na yawezekana hawako mbali sana na kuipiku Marekani.

View attachment 3463365
Walau mrusi anajulikana anapigana vita ...huyo mchina alithibitisha lini na wapi hiyo teknolojia yake? Kwamba inafanya kazi?
 
Vifaa vyao vingi haviko battle tested.
Ndege za Pakistan zilizodungua ndege za India hapa juzi zilikuwa ni za China , J10s, hii ilionyesha ni jinsi gani ndege zao zilivyo effective kwenye battle.

Nani angeamini Rafale ingeweza kudunguliwa na ndege ya China aina ya J10C kwa kutumia missiles za PL-15 a China, haya masuala ya kusema sio battle tested ni kujipa moyo.
Dessault Rafale ni hatari kuliko F-16 na ni advanced kuliko F-16, kiufupi inaizidi F-16 kwenye battle lakini ilipigwa.

Hio picha hapo chini imechukuliwa na satellite, hilo ni jangwa la Taklamakan huko China, picha za satellite zilikuwa zikionyesha kama kuna aircraft carrier kwenye jangwa, ndipo watafiti wa mambo wakaanza kufuatilia kwa ukaribu kufahamu ni kitu gani kinaendelea.
Kumbe China wametengeneza mock ups za aircraft za US vile vile jinsi zilivyo halafu wanazifanyia testing kwa kuzilenga na anti ballistic missiles.

Wametengeneza na mock ups za destroyers wanafanyia majaribio ya makombora yao maalumu ya kulenga meli.
China sio wa kuwachukulia mzaha hata kidogo, hao wana uwezo kukabiliana na naval power ya US vizuri sana.

_121481592_china_missile_target_sat_2_2x640-nc.png.webp

DF-26-China-Missile-Attack-on-Fake-Aircraft-Carrier.jpg

Mara ya mwisho China kupigana vita ilikuwa lini?
China waliamua kuachana na vita na kujenga uchumi wa nchi yao, na ndio maana hadi leo wanaepuka vita kama ukoma.
Kutoka katika maelezo ya kwenye mtandao mara ya mwisho wamepigana full scale war ni mwaka 1979 kule Vietnam.

Halafu, bajeti ya ulinzi ya China ikoje?
Bajeti yao ni US$246 billion.
Fedha inayotumika ndani ya China ina nguvu kubwa zaidi kuliko thamani yake katika masoko ya kimataifa. Hii inamaanisha bajeti yao hata kama inaonekana ndogo kulinganisha na US, inawapa uwezo wa kupata vifaa na teknolojia kwa gharama nafuu zaidi ndani ya nchi.
Tena usikute hio budget yao wakamiliki silaha kali na ku deploy askari wengi kuliko US...

Bajeti ya Marekani nayo ikoje?

Bajeti ndiyo hutoa muongozo nani yuko juu.

Mpaka sasa hakuna anayemkaribia Mmarekani kwenye Bajeti ya ulinzi.
US sijakataa ina bajeti kubwa lakini hio inachangiwa na fedha inayokwenda kwenye kugharamia kambi nyingi za kijeshi walizo nazo duniani.
Hao wana kambi karibu 700.
China haina mzigo huo mkubwa , nguvu zake nyingi zinawekezwa moja kwa moja kwenye teknolojia na vifaa vya kijeshi ndani ya nchi.
Vita ikianza watatoa hizo kambi zote 700 huko zilipo waende kukabiliana na China?

Mwisho, China wana askari wengi kuliko US...
 
Ndege za Pakistan zilizodungua ndege za India hapa juzi zilikuwa ni za China , J10s, hii ilionyesha ni jinsi gani ndege zao zilivyo effective kwenye battle.
Source?

Nani angeamini Rafale ingeweza kudunguliwa na ndege ya China aina ya J10C kwa kutumia missiles za PL-15 a China, haya masuala ya kusema sio battle tested ni kujipa moyo.
Dessault Rafale ni hatari kuliko F-16 na ni advanced kuliko F-16, kiufupi inaizidi F-16 kwenye battle lakini ilipigwa.
Hapo naona unatoa maoni yako tu. Facts ziko wapi?

Hio picha hapo chini imechukuliwa na satellite, hilo ni jangwa la Taklamakan huko China, picha za satellite zilikuwa zikionyesha kama kuna aircraft carrier kwenye jangwa, ndipo watafiti wa mambo wakaanza kufuatilia kwa ukaribu kufahamu ni kitu gani kinaendelea.
Kumbe China wametengeneza mock ups za aircraft za US vile vile jinsi zilivyo halafu wanazifanyia testing kwa kuzilenga na anti ballistic missiles.
China wanafanya yote hayo halafu Marekani yenyewe imekaa tu haifanyi chochote kuhusu China eh?

Wametengeneza na mock ups za destroyers wanafanyia majaribio ya makombora yao maalumu ya kulenga meli.
China sio wa kuwachukulia mzaha hata kidogo, hao wana uwezo kukabiliana na naval power ya US vizuri sana.
Kwa maneno tu lolote lawezekana. Lakini maneno si uhalisia.

Kama kweli wanaweza kukabiliana na Marekani, waingie tu hapo Taiwan halafu tuone.

_121481592_china_missile_target_sat_2_2x640-nc.png.webp

DF-26-China-Missile-Attack-on-Fake-Aircraft-Carrier.jpg

China waliamua kuachana na vita na kujenga uchumi wa nchi yao, na ndio maana hadi leo wanaepuka vita kama ukoma.
Kutoka katika maelezo ya kwenye mtandao mara ya mwisho wamepigana full scale war ni mwaka 1979 kule Vietnam.
Mbona Marekani kila siku iko vitani na uchumi wao ndo mkubwa zaidi, tena kwa mbali kabisa, duniani! Siri yao nini?

Bajeti yao ni US$246 billion.
Fedha inayotumika ndani ya China ina nguvu kubwa zaidi kuliko thamani yake katika masoko ya kimataifa. Hii inamaanisha bajeti yao hata kama inaonekana ndogo kulinganisha na US, inawapa uwezo wa kupata vifaa na teknolojia kwa gharama nafuu zaidi ndani ya nchi.
Tena usikute hio budget yao wakamiliki silaha kali na ku deploy askari wengi kuliko US...
Dola bilioni 200 na kitu kulinganisha na dola trilioni 1, ni usiku na mchana.

Ukija kwenye research and development, Marekani iko mbali sana.

Na hata ubora wa vifaa uko reflected kwenye bajeti.

Bado Marekani iko mbali sana.

US sijakataa ina bajeti kubwa lakini hio inachangiwa na fedha inayokwenda kwenye kugharamia kambi nyingi za kijeshi walizo nazo duniani.
Hao wana kambi karibu 700.
China haina mzigo huo mkubwa , nguvu zake nyingi zinawekezwa moja kwa moja kwenye teknolojia na vifaa vya kijeshi ndani ya nchi.
Vita ikianza watatoa hizo kambi zote 700 huko zilipo waende kukabiliana na China?

Mwisho, China wana askari wengi kuliko US...

Kuwa na askari wengi si hoja. Bomu moja tu linauwezo wa kuwayeyusha wote hao.
 
Back
Top Bottom