😂😂😂😂😂Source?
Hapo naona unatoa maoni yako tu. Facts ziko wapi?
China wanafanya yote hayo halafu Marekani yenyewe imekaa tu haifanyi chochote kuhusu China eh?
Kwa maneno tu lolote lawezekana. Lakini maneno si uhalisia.
Kama kweli wanaweza kukabiliana na Marekani, waingie tu hapo Taiwan halafu tuone.
Mbona Marekani kila siku iko vitani na uchumi wao ndo mkubwa zaidi, tena kwa mbali kabisa, duniani! Siri yao nini?
Dola bilioni 200 na kitu kulinganisha na dola trilioni 1, ni usiku na mchana.
Ukija kwenye research and development, Marekani iko mbali sana.
Na hata ubora wa vifaa uko reflected kwenye bajeti.
Bado Marekani iko mbali sana.
Kuwa na askari wengi si hoja. Bomu moja tu linauwezo wa kuwayeyusha wote hao.
Wenye nguvu na fedha wanaishi na kuamini katika umoja n wakati akina sisi kajambenani hatupendaniKwann waungane? Kila nchi ipigane na USA kivyake ndo tuone nani mbabee.
We jamaa mbona unacheka cheka tu? Huna kingine cha kuchangia katika mjadala?😂😂😂😂😂
https://www.reuters.com/business/ae...g-edge-fighter-using-chinese-gear-2025-08-02/Source?
Dessault rafale iliingia kwenye service 2007, ni 4.5 generation, kiujumla hizo ndege za kifaransa ziko vizuri sana.Hapo naona unatoa maoni yako tu. Facts ziko wapi?
Pale Ukraine NATO si walikuwa wanabwabwaja hivyo hivyo, kiko wapi?, Russia hivyo hivyo nasikia pro US wanasema, vifaru vyao vina kutu vya kizamani, kwamba bajeti yao ni ndogo sana, kila aina ya maneno, leo hii Ukraine imemegwa vya kutosha na Russia wanasonga mbele na bajeti yao ndogo kuliko hata China na wanakabiliana na NATO.Kwa maneno tu lolote lawezekana. Lakini maneno si uhalisia.
Kama kweli wanaweza kukabiliana na Marekani, waingie tu hapo Taiwan halafu tuone.
Iko mbali? ubora wa vifaa?Dola bilioni 200 na kitu kulinganisha na dola trilioni 1, ni usiku na mchana.
Ukija kwenye research and development, Marekani iko mbali sana.
Na hata ubora wa vifaa uko reflected kwenye bajeti.
Bado Marekani iko mbali sana.
Israel si ile pale , kwanini haijatumia bomu moja kuwayeyusha Hamas?Kuwa na askari wengi si hoja. Bomu moja tu linauwezo wa kuwayeyusha wote hao.
Bro, kama geopolitics hufahamu kuna page za udaku zinakusubiri kule.😂😂😂😂😂
Wachaa wee!! 😂😂😂😂Wenye nguvu na fedha wanaishi na kuamini katika umoja n wakati akina sisi kajambenani hatupendani
Ila 💯 una shida weyee, sasa mie nimekanyaga wapi hadi ulie hivyo?Bro, kama geopolitics hufahamu kuna page za udaku zinakusubiri kule.
Hawa jamaa watatu ndio wanafanya njama dhidi ya Trump?Sera zisizotabirika za Rais Trump zinawafanya baadhi ya viongozi wa mataifa duniani kuzidi kushikamana!
Ila kidogo kidogo hawa Wachina wanakuja juu sana kiteknolojia, hususan kwenye vifaa vya kijeshi.
Kwa sasa yawezekana China ndo taifa la pili kuwa na jeshi bora duniani.
Na yawezekana hawako mbali sana na kuipiku Marekani.
View attachment 3463365
Nichangie nn NN, Mie nawasoma nyie wajuzi wa mambo, ila nimecheka jinsi ulivyojibu hapo.We jamaa mbona unacheka cheka tu? Huna kingine cha kuchangia katika mjadala?
Hili linawezekana mkuu.China amempita Urusi
Once not now...Acha kuifananisha Urusi na China kwenye nyanja za kijeshi boss. Wachina silaha zao nyingi either ni modification ama ni copy ya silaha za Kirusi na Kisovieti
Kweli kabisa mkuu. Nadhani mfano ambao uko unatrend sasa ni kauli ya Rais Nikolas Maduro kuonyesha hadharani simu anayotumia ya kichina (huawei) na kudai Us intelligence haiwezi dukua.Japo ninakubali nguvu na jeshi la Urusi japo dunia inabadilika na kusonga mbele new players wanaibuka
Unamuonea tu Trump aliempush Putin kwa China ni Biden na Ulaya wakati wa Vita vya Ukraine, walioona Mbali wakasema, Trump angalau sasa hivi Ana jaribu kurejesha mahusiano.Sera zisizotabirika za Rais Trump zinawafanya baadhi ya viongozi wa mataifa duniani kuzidi kushikamana!
Ila kidogo kidogo hawa Wachina wanakuja juu sana kiteknolojia, hususan kwenye vifaa vya kijeshi.
Kwa sasa yawezekana China ndo taifa la pili kuwa na jeshi bora duniani.
Na yawezekana hawako mbali sana na kuipiku Marekani.
View attachment 3463365
https://www.reuters.com/business/ae...g-edge-fighter-using-chinese-gear-2025-08-02/
Dessault rafale iliingia kwenye service 2007, ni 4.5 generation, kiujumla hizo ndege za kifaransa ziko vizuri sana.
Hapo sihitaji kuongeza maelezo zaidi, ukishasikia ni latest kuliko F-16 ujue kuanzia radar technology, maneuvering n.k inaizidi F-16, hio rafale ni semi stealth ina maana ina weza kukwepa radar kwa kiasi fulani.
Kuhusu F-16 itaizidi Dessault Rafale kwa sababu ni legend kwenye game.
Exactly! Tulisikia kwamba itawachukua muda wa siku 7 tu kuikamata Ukraine yote!Pale Ukraine NATO si walikuwa wanabwabwaja hivyo hivyo, kiko wapi?, Russia hivyo hivyo nasikia pro US wanasema, vifaru vyao vina kutu vya kizamani, kwamba bajeti yao ni ndogo sana, kila aina ya maneno, leo hii Ukraine imemegwa vya kutosha na Russia wanasonga mbele na bajeti yao ndogo kuliko hata China na wanakabiliana na NATO.
Nchi zote za NATO ziko wapi? wamefanya kila aina ya msaada kuitetea Ukraine kiko wapi? US imetuma mabilioni ya fedha za walipa kodi wa US na hakuna kilichotokea, badala yake Trump anamuita Putin wayamalize. Amepiga mikwara kupeleka nyambizi ambazo ni nuclear capable mbona hazijarusha hata kokoto?
Utafika lini huo muda? Na kwa nini isiwe sasa hivi?Muda ukifika Taiwana itadakwa. Na US itakuwa inaangalia, yetu macho.
Wanazitengeneza. Na amini kuwa zikiwa tayari zitakuwa bora mara mia ya hizo za China ambazo hazijawa tested kwenye viwanja vya vita.Iko mbali? ubora wa vifaa?
US hio bajeti yao wana hypersonic missile? China anayo, je US anayo?
Huwezi kuwayeyusha Hamas bila kuwayeyusha raia wa Gaza maana Hamas wamejificha uraiani.Israel si ile pale , kwanini haijatumia bomu moja kuwayeyusha Hamas?
Hao askari hawakai kama ng'ombe zipo mnadani kwamba wanajikusanya eneo moja.
Marekani haijaji commit kivile huko Ukraine.US ilikuwa zamani, mgogoro wa Ukraine wamefeli kuonyesha u giant wao, vita ya Israel-Iran wamefeli pia, yaani kila eneo hivi sasa wanafeli.
Inapaswa kukubali nguvu ya uchumi na kijeshi inatoka magharibi na kuelekea mashariki. unipolar enzi zake zimeisha sasa tupo kwenye bipolar.
Ni ukweli mchungu.
PumbaKwanza, India ilikanusha ndege zake kutunguliwa na Pakistan haikutoa ushahidi wowote ule.
Pili, kwa maelezo yako, Pakistan ndo ilishinda hiyo vita eh?
Exactly! Tulisikia kwamba itawachukua muda wa siku 7 tu kuikamata Ukraine yote!
Mwaka wa tatu huu vita bado inaendelea na Putin anaenda kuomba msaada toka North Korea na Iran 🤣.
Juzi nimemuona Kim akilia machozi wakati akiyapokea mabaki ya wanajeshi wake waliouliwa na Ukraine.
Majenerali kibao wa Russia wameuliwa. Madege yao yanalipuliwa kila Mara.
Vita bado inaendelea na hakuna mshindi.
Ukraine imeidindia Russia. Na hapo ni kwamba Ukraine imepewa silaha chache tu na nchi za NATO.
Superpower Russia anasaidiwa askari na silaha kutoka Iran na North Korea!
Comical.
Utafika lini huo muda? Na kwa nini isiwe sasa hivi?
Ukweli ni kwamba, China inajua fika kuwa ikiivamia Taiwan, itakuwa imejiingiza kwenye vita na Marekani. Jambo ambalo hawalitaki na hawawezi kulifanya.
Wanazitengeneza. Na amini kuwa zikiwa tayari zitakuwa bora mara mia ya hizo za China ambazo hazijawa tested kwenye viwanja vya vita.
Na nijuavyo, ikija kwenye suala la ubora, China iko kwenye level ya kipekee sana 🤣.
Huwezi kuwayeyusha Hamas bila kuwayeyusha raia wa Gaza maana Hamas wamejificha uraiani.
Sasa hivi tu Israel wanalaumiwa kuwa wanacommit genocide huko Gaza.
Wakitumia silaha za kuwayeyusha Hamas si mtalia na kusaga meno nyie…
Marekani haijaji commit kivile huko Ukraine.
Ushiriki wao wa kiasi kidogo tu umeifanya Russia ishindwe kupata ushindi hadi imeanza kuomba msaada toka kwa Kim na Ayatollah 🤣.
Kwenye vita ya Israel na Iran, Marekani imefeli wapi?
Hukuona B-2 zilivyoingia kwenye anga ya Iran na kutoka bila hata mkwaruzo?
Takataka.Pumba
Russia inapambana na collective west, usiseme silaha chache...Ukraine imeidindia Russia. Na hapo ni kwamba Ukraine imepewa silaha chache tu na nchi za NATO.
Iran hypersonic zote alizotumia kwenye ile vita ya siku 12 ni za miaka 20 hadi 30 nyuma.Wanazitengeneza. Na amini kuwa zikiwa tayari zitakuwa bora mara mia ya hizo za China ambazo hazijawa tested kwenye viwanja vya vita.
Na nijuavyo, ikija kwenye suala la ubora, China iko kwenye level ya kipekee sana 🤣.
Kama Hamas wamejificha kwa raia, je wale mateka mamia walikuwa nao wamefichwa kwa raia? mbona Israel imeingiza kila aina ya makachero, majasusi kwenye kila eneo, hadi kambi za wahanga wa vita Gaza lakini hawakuona wale mateka?Huwezi kuwayeyusha Hamas bila kuwayeyusha raia wa Gaza maana Hamas wamejificha uraiani.
Sasa hivi tu Israel wanalaumiwa kuwa wanacommit genocide huko Gaza.
Wakitumia silaha za kuwayeyusha Hamas si mtalia na kusaga meno nyie…
Malengo ya vita yeye na shoga yake Israel ilikuwa kufanya regime change na kuharibu vinu vya nuclear vya Iran, ilikuwaje US inakuja kuomba vita isimame? kipi walifanikiwa? hakuna hata kimoja, sasa hapo US hizo B-2 zimemsaidia nini?Marekani haijaji commit kivile huko Ukraine.
Ushiriki wao wa kiasi kidogo tu umeifanya Russia ishindwe kupata ushindi hadi imeanza kuomba msaada toka kwa Kim na Ayatollah 🤣.
Kwenye vita ya Israel na Iran, Marekani imefeli wapi?
Hukuona B-2 zilivyoingia kwenye anga ya Iran na kutoka bila hata mkwaruzo?
Shikilia hapo hapo mzee baba huyu nyani ana hoja za kiwaki sanaTusihame , tulikuwa tunazungmzia China na US.