Ya Adani na Wachina: Hii ndiyo sababu kuu inayofanya Wanasiasa wetu wawachukie Wazungu

Lord denning

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
15,819
Reaction score
33,255
Pamoja na yote Mzungu ni mtu aliyenyooka sana!

Mzungu kawekeza sana kwenye suala la utawala bora ambapo kupitia utawala bora amejenga Taasisi na mifumo imara sana zinazosimamia mambo na kuhakikisha yanaenda bila shida.

Kunyooka huku kwa Mzungu ndiko kumefanya sasa aanze kupoteza sana Africa. Hii ni kwa sababu Viongozi wa Afrika wanapenda sana Rushwa. Kupenda Rushwa kwa Viongozi wa Afrika ndiko kumefanya kwa sasa bara la Africa kuongoza kwa uwekezaji wa Wachina na Wahindi.

Mchina na Mhindi ni watu wanaoamini kuwa ili jambo lake liende lazima atoe Rushwa. Endapo siku ikitokea ukafanyika uchunguzi huru wa namna kandarasi za Wachina na Wahindi zinavyopatikana hapa Tanzania na Afrika nawaambia wananchi wetu wanaweza choma nyumba zote za Viongozi wetu sio tu Tanzania bali Afrika nzima.

Waendesha Mashtaka wa Marekani kufungua Mashtaka dhidi ya tajiri wa kihindi Adani ni funzo kubwa kwetu kuwekeza kwenye katiba bora inayojenga na inayosimamia mifumo imara. Mifumo isiyotoa nafasi kwa rushwa na kuhakikisha fedha zote za walipakodi zinatumika kwa maendeleo ya wananchi tu na sio kuwanufaisha wachache.

Hapa Tanzania Adani kapewa sehemu ya Bandari yetu. Huwezi sikia hata siku moja PCCB wakifanya uchunguzi. Na kamwe hatutosikia. Hii ni kwa sababu Adani ameingia Tanzania kupitia Ofisi namba moja.

Sio mara ya kwanza kwa mzungu kuonyesha umuhimu wa Mifumo na Taasisi imara kwenye utawala bora. Tanzania tulishawahi rudishiwa chenji yetu ya Rada baada ya Wazungu kugundua kuwa kampuni zao zilitupiga na wakazibana zikarudisha kweli.

Kuna kipindi Bandarini Wazungu waligundua kuna kampuni zao zilitoa Rushwa kupata tenda za kufunga mifumo ya tehama kwenye Bandari yetu. Ila pamoja na Ile kampuni kubanwa nchini mwao hapa kwetu hatujasikia hadi leo wahusika wakifikishwa Mahakamani.

Kusema kweli ili tuendelee tunawahitaji sana Wazungu kuliko hawa wachina na wahindi wanaojenga miradi ya hovyo iliyo chini ya kiwango tena kwa pesa nyingi ambazo zinaenda kutumika kama Rushwa kuwanufaisha wachache.

Najua huu uzi hautapata wachangiaji wengi kwa sababu Watanzania wengi ni mazuzu. Hawaelewi unyeti wa kodi zao na wanawaona wanasiasa kama miungu ambao wanaweza fanya chochote na hela zao bila kuhojiwa au kufanywa chochote.
gautam-adani-explores-strategic-partnership-with-tanzania-during-meeting-with-president-samia-...jpg

Ipo siku

Lord denning
Qatar
 
Wazungu hatuwataki. Kwanza wabishi na wengi wana mkono mfupi. Wachina huwa wanatoa bakshishi na wahindi halafu hawatupangii siasa zetu.
 
Wote wale wale tu wazungu wenyewe wanatoa hongo kuoata tenda.
Hukuona ile report ya malipo ya barick yasiyo kuwa na maelezo hapa nchini.
 
View: https://x.com/MariaSTsehai/status/1859664311138009231?t=BC7s9GiBa_QyCt3wYT814g&s=19
 
Wote wale wale tu wazungu wenyewe wanatoa hongo kuoata tenda.
Hukuona ile report ya malipo ya barick yasiyo kuwa na maelezo hapa nchini.
Mzungu akitoa rushwa jua hakika kesho kuna chombo cha nchini mwake kitamchunguza na kumshtaki.

Wako serious sana kwenye kitu kinaitwa maadili na utawala bora. Tena wanafuatilia na kuchunguza sio rushwa za serikali zao bali hata kampuni zao zinazowekeza nje za nchi zao.

Hawana masikhara when it's comes to utawala bora. Na kwao utawala bora unahusisha hadi integrity kwenye mambo ya kawaida sana sio tu kodi na rushwa.
 
Wachina na wahindi wanapenda sn rushwa walishajua udhaifu wa viongozi wetu
Tanzania saivi kila tenda ni wahindi na wachina. Ukiuliza utaambiwa hawa wanatengeneza kwa gharama tunazozimudu.

Ila when you dig deep ndo utagundua kuwa ni mitandao ya rushwa mikubwa sana inafanya kazi kwenye hizi tenda tena inahusisha hawa viongozi wetu wakubwa na wa kawaida.

Kila mtu ni mwizi tu!
 
Mzungu akitoa rushwa jua hakika kesho kuna chombo cha nchini mwake kitamchunguza na kumshtaki.

Wako serious sana kwenye kitu kinaitwa maadili na utawala bora. Tena wanafuatilia na kuchunguza sio rushwa za serikali zao bali hata kampuni zao zinazowekeza nje za nchi zao.

Hawana masikhara when it's comes to utawala bora. Na kwao utawala bora unahusisha hadi integrity kwenye mambo ya kawaida sana sio tu kodi na rushwa.
Ndivyo unavyojipa moyo hivyo...
 
Pamoja na yote Mzungu ni mtu aliyenyooka sana!

Mzungu kawekeza sana kwenye suala la utawala bora ambapo kupitia utawala bora amejenga Taasisi na mifumo imara sana zinazosimamia mambo na kuhakikisha yanaenda bila shida.

Kunyooka huku kwa Mzungu ndiko kumefanya sasa aanze kupoteza sana Africa. Hii ni kwa sababu Viongozi wa Afrika wanapenda sana Rushwa. Kupenda Rushwa kwa Viongozi wa Afrika ndiko kumefanya kwa sasa bara la Africa kuongoza kwa uwekezaji wa Wachina na Wahindi.

Mchina na Mhindi ni watu wanaoamini kuwa ili jambo lake liende lazima atoe Rushwa. Endapo siku ikitokea ukafanyika uchunguzi huru wa namna kandarasi za Wachina na Wahindi zinavyopatikana hapa Tanzania na Afrika nawaambia wananchi wetu wanaweza choma nyumba zote za Viongozi wetu sio tu Tanzania bali Afrika nzima.

Waendesha Mashtaka wa Marekani kufungua Mashtaka dhidi ya tajiri wa kihindi Adani ni funzo kubwa kwetu kuwekeza kwenye katiba bora inayojenga na inayosimamia mifumo imara. Mifumo isiyotoa nafasi kwa rushwa na kuhakikisha fedha zote za walipakodi zinatumika kwa maendeleo ya wananchi tu na sio kuwanufaisha wachache.

Hapa Tanzania Adani kapewa sehemu ya Bandari yetu. Huwezi sikia hata siku moja PCCB wakifanya uchunguzi. Na kamwe hatutosikia. Hii ni kwa sababu Adani ameingia Tanzania kupitia Ofisi namba moja.

Sio mara ya kwanza kwa mzungu kuonyesha umuhimu wa Mifumo na Taasisi imara kwenye utawala bora. Tanzania tulishawahi rudishiwa chenji yetu ya Rada baada ya Wazungu kugundua kuwa kampuni zao zilitupiga na wakazibana zikarudisha kweli.

Kuna kipindi Bandarini Wazungu waligundua kuna kampuni zao zilitoa Rushwa kupata tenda za kufunga mifumo ya tehama kwenye Bandari yetu. Ila pamoja na Ile kampuni kubanwa nchini mwao hapa kwetu hatujasikia hadi leo wahusika wakifikishwa Mahakamani.

Kusema kweli ili tuendelee tunawahitaji sana Wazungu kuliko hawa wachina na wahindi wanaojenga miradi ya hovyo iliyo chini ya kiwango tena kwa pesa nyingi ambazo zinaenda kutumika kama Rushwa kuwanufaisha wachache.

Najua huu uzi hautapata wachangiaji wengi kwa sababu Watanzania wengi ni mazuzu. Hawaelewi unyeti wa kodi zao na wanawaona wanasiasa kama miungu ambao wanaweza fanya chochote na hela zao bila kuhojiwa au kufanywa chochote.

Ipo siku

Lord denning
Qatar
Kwa huu uzi wako tayari huyo adani ameshakuwa na hatia, kwa ushahidi upi usiotiliwa shaka kwamba habari yako ina ukweli mtupu ndani yake?.

Tatizo la taasisi nyingi za afrika tija inakuwa ni ndogo na sababu zipo nyingi sana. Ukiona wanasiasa wanakimbilia nje kutafuta taasisi za kigeni ujue hizi za kwetu zina matatizo mengi.

Wizi mwingi, nidhamu ndogo kazini, urasimu mwingi, badala ya taasisi kurahisisha maisha ya kijamii inakuwa ni sehemu ya kero zinazokwamisha kupiga hatua.

DPW kaleta tofauti pale TPA hivi sasa bandari yetu inaongoza kwa tija katika ukanda huu wa afrika, tulipokuwa sisi wenyewe tunaiendesha kila siku tulizoea kusoma habari za wateja kuelekea Kenya na Msumbiji wakiikimbia bandari iliyojaa upigaji wa kila aina.

Tambua kwamba wanasiasa na udhaifu wao wa miaka na miaka, wanalo lengo jema kutafuta wawekezaji wa kigeni.
 
Ndivyo unavyojipa moyo hivyo...
Sio kujipa moyo. We hujui tulirudishiwa chenji yetu ya kununua Rada na kampuni ya BAE Systems baada ya Ofisi ya kuchunguza Rushwa ya Uingereza kuituhumu kampuni hiyo kwa kutuuzia Rada kwa bei zaidi ya bei halisi?

Au naongea na mtoto wa mwaka 2010 hapa ambaye hajui hata nchi imetoka wapi?
 
Uzi hauongelei ufanisi wa Bandari.. Uzi unaongelea Rushwa kwa Viongozi wetu.

Hakuna asiyejua kuwa saivi Bandarini kuna ufanisi sana na kwa hilo hata mimi naliunga mkono.

Shida ni Rushwa na Ufisadi.
 
Sio kujipa moyo. We hujui tulirudishiwa chenji yetu ya kununua Rada na kampuni ya BAE Systems baada ya Ofisi ya kuchunguza Rushwa ya Uingereza kuituhumu kampuni hiyo kwa kutuuzia Rada kwa bei zaidi ya bei halisi?

Au naongea na mtoto wa mwaka 2010 hapa ambaye hajui hata nchi imetoka wapi?
Hilo ni moja kati ya mengi na ni kwa sababu biashara ilifanyika uingereza. Haya makampuni ya uwekezaji yanahonga sana kupata upendeleo.
 
Pamoja na yote Mzungu ni mtu aliyenyooka sana!

Mzungu kawekeza sana kwenye suala la utawala bora ambapo kupitia utawala bora amejenga Taasisi na mifumo imara sana zinazosimamia mambo na kuhakikisha yanaenda bila shida.

Kunyooka huku kwa Mzungu ndiko kumefanya sasa aanze kupoteza sana Africa. Hii ni kwa sababu Viongozi wa Afrika wanapenda sana Rushwa. Kupenda Rushwa kwa Viongozi wa Afrika ndiko kumefanya kwa sasa bara la Africa kuongoza kwa uwekezaji wa Wachina na Wahindi.

Mchina na Mhindi ni watu wanaoamini kuwa ili jambo lake liende lazima atoe Rushwa. Endapo siku ikitokea ukafanyika uchunguzi huru wa namna kandarasi za Wachina na Wahindi zinavyopatikana hapa Tanzania na Afrika nawaambia wananchi wetu wanaweza choma nyumba zote za Viongozi wetu sio tu Tanzania bali Afrika nzima.

Waendesha Mashtaka wa Marekani kufungua Mashtaka dhidi ya tajiri wa kihindi Adani ni funzo kubwa kwetu kuwekeza kwenye katiba bora inayojenga na inayosimamia mifumo imara. Mifumo isiyotoa nafasi kwa rushwa na kuhakikisha fedha zote za walipakodi zinatumika kwa maendeleo ya wananchi tu na sio kuwanufaisha wachache.

Hapa Tanzania Adani kapewa sehemu ya Bandari yetu. Huwezi sikia hata siku moja PCCB wakifanya uchunguzi. Na kamwe hatutosikia. Hii ni kwa sababu Adani ameingia Tanzania kupitia Ofisi namba moja.

Sio mara ya kwanza kwa mzungu kuonyesha umuhimu wa Mifumo na Taasisi imara kwenye utawala bora. Tanzania tulishawahi rudishiwa chenji yetu ya Rada baada ya Wazungu kugundua kuwa kampuni zao zilitupiga na wakazibana zikarudisha kweli.

Kuna kipindi Bandarini Wazungu waligundua kuna kampuni zao zilitoa Rushwa kupata tenda za kufunga mifumo ya tehama kwenye Bandari yetu. Ila pamoja na Ile kampuni kubanwa nchini mwao hapa kwetu hatujasikia hadi leo wahusika wakifikishwa Mahakamani.

Kusema kweli ili tuendelee tunawahitaji sana Wazungu kuliko hawa wachina na wahindi wanaojenga miradi ya hovyo iliyo chini ya kiwango tena kwa pesa nyingi ambazo zinaenda kutumika kama Rushwa kuwanufaisha wachache.

Najua huu uzi hautapata wachangiaji wengi kwa sababu Watanzania wengi ni mazuzu. Hawaelewi unyeti wa kodi zao na wanawaona wanasiasa kama miungu ambao wanaweza fanya chochote na hela zao bila kuhojiwa au kufanywa chochote.

Ipo siku

Lord denning
Qatar
Tawala nyingi sana za kiAfrika zimegubikwa na masuala ya rushwa na ufisadi, hivyo kwao suala la Uwazi ni adui mkubwa sana.
Uwazi mara nyingi sana huwa unafichua Uovu, hivyo watawala wa Afrika wanapiga vita kubwa sana kuhusu suala hili la Uwazi.
 
Kwa huu uzi wako tayari huyo adani ameshakuwa na hatia, kwa ushahidi upi usiotiliwa shaka kwamba habari yako ina ukweli mtupu ndani yake?.

Tatizo la taasisi nyingi za afrika tija inakuwa ni ndogo na sababu zipo nyingi sana. Ukiona wanasiasa wanakimbilia nje kutafuta taasisi za kigeni ujue hizi za kwetu zina matatizo mengi.

Wizi mwingi, nidhamu ndogo kazini, urasimu mwingi, badala ya taasisi kurahisisha maisha ya kijamii inakuwa ni sehemu ya kero zinazokwamisha kupiga hatua.

DPW kaleta tofauti pale TPA hivi sasa bandari yetu inaongoza kwa tija katika ukanda huu wa afrika, tulipokuwa sisi wenyewe tunaiendesha kila siku tulizoea kusoma habari za wateja kuelekea Kenya na Msumbiji wakiikimbia bandari iliyojaa upigaji wa kila aina.

Tambua kwamba wanasiasa na udhaifu wao wa miaka na miaka, wanalo lengo jema kutafuta wawekezaji wa kigeni.
Bandari yetu inaongoza kwa tija afrika? Weka andiko au report yoyote inayosema hivyo. Kwa Africa kuna bandari nyingi zimetuacha mbali

Nasubiri
 
Back
Top Bottom