Mbali na kelele zoote hizi za wananchi! Lakini bado bunge lenye idadi ya wabunge 300 hivi, likiwakilisha wananchi zaidi ya 60 milioni limeishinisha kubinafisishwa kwa Bandari zetu zote Tanganyika
umefika wakati sasa, maoni ya wengi yaheshimiwe, hasa kwenye mambo makubwa kabisa yanayomgusa kila mwananchi!
Kwa mjibu wa mitandao ya kijamii yote Tanzania, ni watu wachache sana ambao wameunga mkono jambo hili ukiondoa hao wabunge wa ccm na mamluki wao waliowapandikiza kwenye vyama hivi vidoogo vidoogo!
Ili kuheshimu maoni ya wananchi wengi" ni vyema sasa kuitishwe kura ya maoni ili kuhalarisha kile bunge wamepitisha
Him itasaidia saana kupunguza hasira za wengi kwa mjibu wa jinsi wametoa maoni yao