Ya DP-World, ipite kura ya maoni kwa wananchi, la sivyo tutaendelea kulaani huu mkataba mpaka bahari itapokauka!

Ya DP-World, ipite kura ya maoni kwa wananchi, la sivyo tutaendelea kulaani huu mkataba mpaka bahari itapokauka!

Naomba unijibu je kwanini tusiwape Dp World
Uamuzi wa nani apewe ungetegemea matokeo ya ushindani ( International tendering )

unajuaje kama pengine Mzabuni mwingine angeweza akatupa more favorable terms kuliko DP?

Wewe ndio kuhitaji huduma …kazi yako ni kutangaza wenye uwezo waje na kila mtu atangaze faida na ubora wa huduma yake then ndio tunaamua
 
Wale ni watoto
Kama Mzee Kingunge na hayati Mzee Rashid Mfaume Kawawa wamekufa wakiwa Makamanda wa UV CCM …naanzaje kubisha kuwa waliokuwa wanambeba beba Morrison pale Mtaa msimbazi ni watoto
 
Unadhani Mwananchi (uninformed) atakubali nini zaidi ya wanachotaka wenye mamlaka ? (Nguvu za Propaganda)

Kinachofanyika na kitakachofanyika ni maigizo mwisho wa siku waliopo kwenye mamlaka wataamua wanachotaka (huo ndio ukweli mchungu) mpaka pale hali itakavyokuwa mbaya vitukuu watafika point of no return na hapo hapatakalika (mbegu za hizo fujo zinapandwa na waliopo madarakani sasa)
 
kuna vitu bado tutaeleweshana mbona mradi una neema tele kwa wanyonge wengi
 
Je, ikwa serikali itasema kati ya Watanzania milioni 63 ni milioni 3 tu ndio hawakukubali suala la kubinafsishwa bandari, wakaongeza kuwa kati ya hao milioni 3 , 2.5milioni ndio nyie ambao mko kwenye mtandao?
Je, hizo kura za maoni zitaendeshwa kwa usimamizi wa serikali ya Rwanda?
Wakisema ni Mtanzania mmoja tu ndiye kasema no. Utawafanya nini?
 
Uamuzi wa nani apewe ungetegemea matokeo ya ushindani ( International tendering )

unajuaje kama pengine Mzabuni mwingine angeweza akatupa more favorable terms kuliko DP?

Wewe ndio kuhitaji huduma …kazi yako ni kutangaza wenye uwezo waje na kila mtu atangaze faida na ubora wa huduma yake then ndio tunaamua
Je ulikuwepo kwenye tendering
 
Vijana ambao ndio Taifa la kesho muda wa mjadala wa Dp World ukiendelea Bungeni wao walikuwa pembeni mwa barabara wanasubiri Kombe la NBC Premier league kutokea Mbeya.

innalillah wainna ilay rajiuun
R.I.P
Hawa vijana wenzetu vichwa vyao vimejaa mavi
 
Mbali na kelele zoote hizi za wananchi! Lakini bado bunge lenye idadi ya wabunge 300 hivi, likiwakilisha wananchi zaidi ya 60 milioni limeishinisha kubinafisishwa kwa Bandari zetu zote Tanganyika

umefika wakati sasa, maoni ya wengi yaheshimiwe, hasa kwenye mambo makubwa kabisa yanayomgusa kila mwananchi!

Kwa mjibu wa mitandao ya kijamii yote Tanzania, ni watu wachache sana ambao wameunga mkono jambo hili ukiondoa hao wabunge wa ccm na mamluki wao waliowapandikiza kwenye vyama hivi vidoogo vidoogo!

Ili kuheshimu maoni ya wananchi wengi" ni vyema sasa kuitishwe kura ya maoni ili kuhalarisha kile bunge wamepitisha

Him itasaidia saana kupunguza hasira za wengi kwa mjibu wa jinsi wametoa maoni yao
Hao 300 walioteuliwa na Magufuli ndiyo wanawakilisha wengi, na ndiyo utaratibu.
 
Kila mtu kwa Imani yake tuwaombee waliosaini na walioupitisha walaaniwe wao na kizazi chao chote.
 
Walete Kwa raia wakose 10% au magari au fadhila walizoahidiwa,?!
HAITATOKEA KWA WADANYIKA...
 
Walete Kwa raia wakose 10% au magari au fadhila walizoahidiwa,?!
HAITATOKEA KWA WADANYIKA...
Basi wananchi tuwe upande wa Mbowe wote nchi nzima amsha amsha ianze rasimi sasa
 
Back
Top Bottom