Uamuzi wa nani apewe ungetegemea matokeo ya ushindani ( International tendering )Naomba unijibu je kwanini tusiwape Dp World
Sielewi kiinglishI second you
Ufafanuzi pls.Mkuu, tatizo mnachanga zile 5 na maisha ya watu nchi nzima
Kwani alikuwa na wa kumshindanisha mpaka unasema hiviNaomba unijibu je kwanini tusiwape Dp World
Kama Mzee Kingunge na hayati Mzee Rashid Mfaume Kawawa wamekufa wakiwa Makamanda wa UV CCM …naanzaje kubisha kuwa waliokuwa wanambeba beba Morrison pale Mtaa msimbazi ni watotoWale ni watoto
Naunga mkono bandiko lako brooSielewi kiinglish
Mradi ulishindwa kuwa na neema mikononi mwenu 100%, uwe na neema kwa mgeni 100%?kuna vitu bado tutaeleweshana mbona mradi una neema tele kwa wanyonge wengi
Je ulikuwepo kwenye tenderingUamuzi wa nani apewe ungetegemea matokeo ya ushindani ( International tendering )
unajuaje kama pengine Mzabuni mwingine angeweza akatupa more favorable terms kuliko DP?
Wewe ndio kuhitaji huduma …kazi yako ni kutangaza wenye uwezo waje na kila mtu atangaze faida na ubora wa huduma yake then ndio tunaamua
R.I.PVijana ambao ndio Taifa la kesho muda wa mjadala wa Dp World ukiendelea Bungeni wao walikuwa pembeni mwa barabara wanasubiri Kombe la NBC Premier league kutokea Mbeya.
innalillah wainna ilay rajiuun
Hao 300 walioteuliwa na Magufuli ndiyo wanawakilisha wengi, na ndiyo utaratibu.Mbali na kelele zoote hizi za wananchi! Lakini bado bunge lenye idadi ya wabunge 300 hivi, likiwakilisha wananchi zaidi ya 60 milioni limeishinisha kubinafisishwa kwa Bandari zetu zote Tanganyika
umefika wakati sasa, maoni ya wengi yaheshimiwe, hasa kwenye mambo makubwa kabisa yanayomgusa kila mwananchi!
Kwa mjibu wa mitandao ya kijamii yote Tanzania, ni watu wachache sana ambao wameunga mkono jambo hili ukiondoa hao wabunge wa ccm na mamluki wao waliowapandikiza kwenye vyama hivi vidoogo vidoogo!
Ili kuheshimu maoni ya wananchi wengi" ni vyema sasa kuitishwe kura ya maoni ili kuhalarisha kile bunge wamepitisha
Him itasaidia saana kupunguza hasira za wengi kwa mjibu wa jinsi wametoa maoni yao
Sjaelewa mkuuHao 300 walioteuliwa na Magufuli ndiyo wanawakilisha wengi, na ndiyo utaratibu.
Ulivyoandika tu inaonesha hujui hata maana ya tendering otherwise usingeuliza hilo swaliJe ulikuwepo kwenye tendering
Basi wananchi tuwe upande wa Mbowe wote nchi nzima amsha amsha ianze rasimi sasaWalete Kwa raia wakose 10% au magari au fadhila walizoahidiwa,?!
HAITATOKEA KWA WADANYIKA...
We..!! Kenya??Bandari ya kenya nayo ipo chini ya DP?