Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
maskini tena.. 😀 😀 😀 .. uje na mada inayoeleweka,, usiweke thread ambayo ukiulizwa swali unahamaki unajibu na hisia kali kama mama yako ndio rais.. StupidSikujibu, naona unataka ugomvi ila mie nishatoka kuswali sitaki ugomvina maskini.
duh, watoto mnaozaliwa nyumba za wageni mnatukana wazazi wenu.maskini tena.. 😀 😀 😀 .. uje na mada inayoeleweka,, usiweke thread ambayo ukiulizwa swali unahamaki unajibu na hisia kali kama mama yako ndio rais.. Stupid
Hana mvuto
Wakati Mh Samia Suluhu yupo nje ya nchi kikazi , Paul Makonda anatumia ziara zake ambazo zimepewa jina la 'OPERESHENI CHAFUA MBOWE" kujijenga kisiasa na siyo kujenga chama wala bosi wake , yaani mwenyekiti wa chama.
RC na WAZIRI hawana mamlaka hata ya kumfukuza mtu kazi. Ila wanaweza kuinfluence wenye mamlaka waanze mchakato huo!
MAKONDA hajawai kuwa Mtumishi wa Umma, ni kijana tu wa Mtaani na UVCCM na hajui lolote Nje ya Nafasi za uteuzi. Hazijui standing orders ndiyo maana anaita wataaluma, kuwatukana na kuwafukuza.
Makonda Anautafuta kwa kutumia jina la DR SAMIA na jina la Dr MAGUFULI, na tena akitumia mikutano style ya Dr Magufuli wakati itifaki haimpi nguvu ya kuwaamrisha na kuwawajibisha watumishi wa Umma
Yeye kama kiongozi wa CHAMA hapaswi kuwahoji watumishi wa umma walio katika TECHNICAL TEAM angaweza kuwahoji watumishi wa umma waliopo kwenye Administration kama RAS, RMO na wengine wenye majukumu ya kusimamia SERA.
Hakika kama bado ningekua huko, hata kwenda kwenye mikutano au kuitwa kuhojiwa naye NISINGEENDA , standing ORDERS zinajieleza mtumishi wa Umma anawajibika kwa nani
Magufuli alikua ni RAIS, huyu hana mandate ya kuita ma Police , Madaktari na Wahandisi kuwahoji.
Siasa IPO na ndiyo inaamua maisha yetu, ila SIYO TUBEBWE NA PROPAGANDA za Makonda ambaye tunajua kabisa ni muongo na anatafuta umaarufu, mpaka tuache kila kitu tubaki tunamjadili yeye.
1. Anasema Chadema wanataka kubadili katiba ili kuwaongeza waaunge wawe 740 , wakati CDM wamesema idadi ya wabunge ipungue chini ya 320 kama ilivyopendekezwa na Warioba.
2. Anasema MAANDAMANO hayatakiwi, maana yataua utalii wakati yeye anaandamanisha watu kila siku mkoa kwa mkoa, amefunga barabara toka - KIA- mpaka Arusha , watalii wamechelewa ndege, wanaowahi Ngorongoro , wanaowahi ku-connect ndege
Anapaswa kuwaripoti kwa MKUU wa MKOA na mkuu wa Mkoa amwambie RAS na WAKURUGENZI au WAKUU WA IDARA washuhulikie kero tajwa. Ila si kwa Makonda kujifanya yeye ni JAJI
Huyu bashite hafanyi kaži ya uenezi inabidi katibu mkuu amkalishe chini amwambie afuate majukumu yake.kazi ya uenezi ni nini?
anachokifanya yy na Nape kipindi cha vua gamba vina tofauti gani?Huyu bashite hafanyi kaži ya uenezi inabidi katibu mkuu amkalishe chini amwambie afuate majukumu yake.
Hili Zezeta ni Mfungwa ajae.Ndie raisi ajae
Sio bongo,Hili Zezeta ni Mfungwa ajae.
Mama Abdul amepatikana na Makonda, hachomoki!Siyo lile S*** Gang?
Kwa akili zake kwel angeweza mrudisha?
Itakuwa ni Bongo hii hii CHADEMA itakuwa na Majority na tutapewa ridhaa na Wananchi siku hiyo Makonda kesi zake zone zitafufuliwa Sirro nae ataitwa wajibu uhalifu walioufanya awamu ya 5.Sio bongo,
Mfumo wetu unazalisha watu wajinga sn, kuanzia wasomi wenyewe ni wajinga hawajaelimika wanapelekwa badala ya kusimamia misingi
Mbowe kajichafua mwenyewe kwa kuchota Ruzuku ya chama na kujenga nyumba yake.Wakati Mh Samia Suluhu yupo nje ya nchi kikazi , Paul Makonda anatumia ziara zake ambazo zimepewa jina la 'OPERESHENI CHAFUA MBOWE" kujijenga kisiasa na siyo kujenga chama wala bosi wake , yaani mwenyekiti wa chama.
RC na WAZIRI hawana mamlaka hata ya kumfukuza mtu kazi. Ila wanaweza kuinfluence wenye mamlaka waanze mchakato huo!
MAKONDA hajawai kuwa Mtumishi wa Umma, ni kijana tu wa Mtaani na UVCCM na hajui lolote Nje ya Nafasi za uteuzi. Hazijui standing orders ndiyo maana anaita wataaluma, kuwatukana na kuwafukuza.
Makonda Anautafuta kwa kutumia jina la DR SAMIA na jina la Dr MAGUFULI, na tena akitumia mikutano style ya Dr Magufuli wakati itifaki haimpi nguvu ya kuwaamrisha na kuwawajibisha watumishi wa Umma
Yeye kama kiongozi wa CHAMA hapaswi kuwahoji watumishi wa umma walio katika TECHNICAL TEAM angaweza kuwahoji watumishi wa umma waliopo kwenye Administration kama RAS, RMO na wengine wenye majukumu ya kusimamia SERA.
Hakika kama bado ningekua huko, hata kwenda kwenye mikutano au kuitwa kuhojiwa naye NISINGEENDA , standing ORDERS zinajieleza mtumishi wa Umma anawajibika kwa nani
Magufuli alikua ni RAIS, huyu hana mandate ya kuita ma Police , Madaktari na Wahandisi kuwahoji.
Siasa IPO na ndiyo inaamua maisha yetu, ila SIYO TUBEBWE NA PROPAGANDA za Makonda ambaye tunajua kabisa ni muongo na anatafuta umaarufu, mpaka tuache kila kitu tubaki tunamjadili yeye.
1. Anasema Chadema wanataka kubadili katiba ili kuwaongeza waaunge wawe 740 , wakati CDM wamesema idadi ya wabunge ipungue chini ya 320 kama ilivyopendekezwa na Warioba.
2. Anasema MAANDAMANO hayatakiwi, maana yataua utalii wakati yeye anaandamanisha watu kila siku mkoa kwa mkoa, amefunga barabara toka - KIA- mpaka Arusha , watalii wamechelewa ndege, wanaowahi Ngorongoro , wanaowahi ku-connect ndege
Anapaswa kuwaripoti kwa MKUU wa MKOA na mkuu wa Mkoa amwambie RAS na WAKURUGENZI au WAKUU WA IDARA washuhulikie kero tajwa. Ila si kwa Makonda kujifanya yeye ni JAJI
Makojo umejiunga JF 2014 mpaka leo unaweza kama kuna tope kichwani.Mbowe kajichafua mwenyewe kwa kuchota Ruzuku ya chama na kujenga nyumba yake.
Anachafuka zaidi kwa king'ang'ania Uenyekiti na kukifanya Chama ambacho ni Cha Umma kuwa mali ya familia yake
Ukiwa ccm unakuaje na kesi sasaItakuwa ni Bongo hii hii CHADEMA itakuwa na Majority na tutapewa ridhaa na Wananchi siku hiyo Makonda kesi zake zone zitafufuliwa Sirro nae ataitwa wajibu uhalifu walioufanya awamu ya 5.