Ya Magufuli kujirudia, anahisi kuwa ndiye Rais wa Nchi. Atumia fursa ya Rais Samia kuwa nje kikazi

Ya Magufuli kujirudia, anahisi kuwa ndiye Rais wa Nchi. Atumia fursa ya Rais Samia kuwa nje kikazi

Hao Mafala waache wahojiwe tu, yaani mimi niwe mkuu wa Idara halafu mpuuzi aniambie eti natakiwa kuhojiwa sijui na Katibu sijui na mwenezi? Watajua hawajui.

Hata kama hicho kikao nitaitwa na mkuu wangu wa kazi, bado hakutakuwa na wa kunisimamisha hadharani kujibu maswali.
Hao wengi ni wale waliopata kazi kwa connections za hao hao wanasiasa ndiyo maana wana watetemekea.
Watu wanaojielewa huwa hawayumbishwi na wanasiasa, wao husimamia taaluma zao.

Tuliona jinsi Dkt Nyambura Moremi, aliyekua Mkurugenzi mkuu wa udhibiti wa Maabara alivyosimamia taaluma yake kipindi cha mwendazake na aliona bora atumbuliwe kuliko kuji submit kwa wanasiasa

Pia tuliona Dkt Mwele Malecela na yeye alisimamia taaluma yake.
Bashe alimaliza Hilo .
 
Back
Top Bottom