Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bashe alimaliza Hilo .Hao Mafala waache wahojiwe tu, yaani mimi niwe mkuu wa Idara halafu mpuuzi aniambie eti natakiwa kuhojiwa sijui na Katibu sijui na mwenezi? Watajua hawajui.
Hata kama hicho kikao nitaitwa na mkuu wangu wa kazi, bado hakutakuwa na wa kunisimamisha hadharani kujibu maswali.
Hao wengi ni wale waliopata kazi kwa connections za hao hao wanasiasa ndiyo maana wana watetemekea.
Watu wanaojielewa huwa hawayumbishwi na wanasiasa, wao husimamia taaluma zao.
Tuliona jinsi Dkt Nyambura Moremi, aliyekua Mkurugenzi mkuu wa udhibiti wa Maabara alivyosimamia taaluma yake kipindi cha mwendazake na aliona bora atumbuliwe kuliko kuji submit kwa wanasiasa
Pia tuliona Dkt Mwele Malecela na yeye alisimamia taaluma yake.