Ya Magufuli kujirudia, anahisi kuwa ndiye Rais wa Nchi. Atumia fursa ya Rais Samia kuwa nje kikazi

Sikujibu, naona unataka ugomvi ila mie nishatoka kuswali sitaki ugomvina maskini.
maskini tena.. 😀 😀 😀 .. uje na mada inayoeleweka,, usiweke thread ambayo ukiulizwa swali unahamaki unajibu na hisia kali kama mama yako ndio rais.. Stupid
 
maskini tena.. 😀 😀 😀 .. uje na mada inayoeleweka,, usiweke thread ambayo ukiulizwa swali unahamaki unajibu na hisia kali kama mama yako ndio rais.. Stupid
duh, watoto mnaozaliwa nyumba za wageni mnatukana wazazi wenu.
Asante kwa tusi, naomba kama kuna lingine niongezee.
 
Hana mvuto
 
Watanganyika wengi ni wajinga, hawajui sheria na haki zao acha waendeshwe hadi siku ujinga ukiwaisha ndo wataamka.
 
Mkurugenzi wa CIA anayembelea Afrika ya Mashariki za Makonda zinahesabika.
 
Sio bongo,
Itakuwa ni Bongo hii hii CHADEMA itakuwa na Majority na tutapewa ridhaa na Wananchi siku hiyo Makonda kesi zake zone zitafufuliwa Sirro nae ataitwa wajibu uhalifu walioufanya awamu ya 5.
 
Mfumo wetu unazalisha watu wajinga sn, kuanzia wasomi wenyewe ni wajinga hawajaelimika wanapelekwa badala ya kusimamia misingi

Shida kubwa kwa nchi yetu sio wajinga, Bali ni wasomi kugeuka waoga. Yaani mtu akipata ajira anaogopa kusema ukweli eti atapoteza ajira. Ukisikia msomi mzima anasema hataki kupoteza ugali wa watoto wake, ujue hilo ni janga.
 
Muda huu Makonda yuko Ziba Igunga. Kafunga Barabara Kuu kwenda Mwanza. Ni ghadhabu kubwa kwa abiria.
 
Mbowe kajichafua mwenyewe kwa kuchota Ruzuku ya chama na kujenga nyumba yake.

Anachafuka zaidi kwa king'ang'ania Uenyekiti na kukifanya Chama ambacho ni Cha Umma kuwa mali ya familia yake
 
Mbowe kajichafua mwenyewe kwa kuchota Ruzuku ya chama na kujenga nyumba yake.

Anachafuka zaidi kwa king'ang'ania Uenyekiti na kukifanya Chama ambacho ni Cha Umma kuwa mali ya familia yake
Makojo umejiunga JF 2014 mpaka leo unaweza kama kuna tope kichwani.

Uelewa wako unaonyesha jinsi hata mwanaume anaye tembea na wewe mnafanana akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…