Ya MC Pilipili hayapaswi kufanywa na mwanaume rijali

Ya MC Pilipili hayapaswi kufanywa na mwanaume rijali

Mie naona kama jamaa ndio kaolewa. Umeona dem alivyokua konki. Eti dem ndio anaenda kumbembeleza.....



Sent using Jamii Forums mobile app
aisee...nlifikiri mimi tuu ndio nimeona hilo! kwanza kwa promo alilompa huyo mke mtarajiwa kunatupa wasiwasi, ni kama vile labda hakuamini kama angempata......lakini mda ndio tiba ya haya mambo...kuna kitu tutakielewa tuu mda ukimbariki...and i hope i am wrong
 
Don't be quick to judge. You never know.

Hizi nyoyo zetu tunazotembea nazo bwana, acha zijifiche tu zimebeba mengi.

Huwezi jua huyo mdada ana impact gani katika maisha yake. Maybe its a dream come true, maybe she saved his life.... maybe he never thought he would ever be loved again after previous breakup.

Let him cry his heart out. Whatever is in his heart, his Lord understands better.

warembo lazima msifie hili kwakua it works for your advantage, gives you a certain type of leverage against the other part....ingawa ni against the nature!
 
HUYU DADA HUYUUU...MIMI NIMEOA WALA SIMUONEI WIVU...MIMI NAMSEMEA KWA WEMA TU...ILA HAPA...HAHAHA PILIPILI AINGIE SOKONI UPYA...BAHATI MBAYA KATUONESHA INSTA ID YAKE KABISA...TUSHAMJUA ALIVYO...BORA YA NDAUKA...ila hatuwezi jua...KIPENDACHO ROHO HULA NYAMA MBICHI...

Ukiangalia ile video vizuri...utamuona bibie macho makavuuu...ht hambembelezi...yeye yake pete tuu...mmmh hapana aisee...na kuna video moja amepost anatoa shukran...yaan pale ndo nikajithibitishia kwa kumwangalia tu...yule demu ile engagement kaikubali with interest...MWANAUME YEYOTE ALIYEPITIA BALEHE ZOTE NA KUTIMIA KIAKILI NA KIUTULIVU...ATAGUNDUA YULE DEMU PALE HAKUNA MKE...
Hakika,jamaa ajiandae kugongewa

Beautiful ones are not yet born
 
Hili jambo la mwanaume kupiga goti wakati wa kumvalisha pete mchumba naona linazidi kukomaa,si utamaduni wetu japo sio mbaya sana kwani ni effects za globalization kwenye muingiliano wa kiutamaduni na wazungu/waarabu/wachina na vile tunasema "strong culture absorbs weak culture" na hii inachangiwa sana na nguvu ya kiuchumi.
Tuyaache hayo,leo Mc wa taifa Pilipili kama anavyojiita mwenyewe kamvisha pete mdada mrembo sana huko Boko Dsm hongera kwake but concern yangu kubwa ni kitendo cha yeye Pilipili kama Mwanaume kulia sana wakati kapiga goti mbele ya binti halaf binti anaonekana hana hata chembe ya hofu na kuguswa na kilio cha pilipili,huu ni udhaifu ambao kama.mwanaume lijali hakika hupaswi kuuonyesha,that is a big point of weaknes,hata kama umewahi kuumizwa sana kwenye mapenzi jitahidi usitoe chozi mbele ya mwanamke ambaye si mama yako,hii itakusaidia sana hata ukiwa kwenye ndoa ukitoa maamuzi yanakua ya kiume kweli kweli but hii ya kulia lia si dalili njema sana,kwa anayewajua vizuri wanawake atakua amenielewa.

By the way hongera sana Pilipili kwa kupata mchumbaView attachment 987138View attachment 987135
Mchekeshaji maarufu Bongo, MC Pilipili jioni ya leo amemvalisha pete ya uchumba mpenzi wake (Mke mtarajiwa) Philomena Thadey, nyumbani kwa Wazazi wa mwanamke maeneo ya Boko (Tegeta) jijini DSM, sherehe hiyo imehudhuriwa na watu mbalimbali wa Serikali na taasisi zisizo za kiserikali.
Amejiandaa kuishi kwa kupiga magoti siku zote, huu ni upuuzi ambao sitakaa niufanye!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fala sana uyu kani haribia siku[emoji21]

Sent using Jamii Forums mobile app
Yani Upopoma huu ni bora tu hata Mungu arudi leo au kesho kutoa hukumu tunaonda mbinguni twende na wanaochomwa moto wachomwe, au aiangamize tu dunia yote kisha aumbe dunia nyingine yenye Wanaume wanaojitambua kuliko huyu kimeo aliyetudhalilisha Wanaume dunia nzima.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom