Ya MC Pilipili hayapaswi kufanywa na mwanaume rijali

kwa nini wamtose?
 
Mungu akasema na tufanye mtu kwa mfano wetu,ukafinyangwa udongo na kupuliziwa pumzi akatokea Adam,wakasema tufanye msaidizi ndipo ukachomolewa ubavu wa kuume mwa Adam akaumbwa Eva....Men are always special no matter umefanyiwa nini but you have to live with uspecial wako ulopewa zawadi na Mungu.....but pia yatupasa kumshukuru mwanamke alokufanyia mema but sio kumlilia hadharani
 

Just so you know it is not a sign of weakness.
 
Mkuu una akili sanaaA
Hata mimi kuna demu siku nikimuoa nitalia mpaka nitoe kamasi

Sent using Jamii Forums mobile app

Lia tu ndugu yangu.

Let your heart free.

Hata ukimuwaza ama akikatiza ukiskia yanakulenga we mwaga tuuuu na yowe juu.

Am kidding my bro. But I mean it. Don't hold these feelings inside yet they reflect your true feelings.
 
Nmeona hii Video nkashangaa sana. Huyu kijana mvulana analia kumvisha pete ya uchumba mpenzi wake? Ametokea mkoa gani fala huyu? Mwishowe sisi wanaume wa mjini tunaonekana nasi ni mauza uza kama huyu fala.

Mwanaume huwezi lia hivi... Unalia kwa kwikwi mpaka mwanamke anakubembeleza? Sisi miaka yetu huyu angetengwa na jamii.mwanaume ilikuwa ni aibu kulia hadharani.

Unaliaje mbele mtu ambaye atakuwa mkeo na watu wapo? Unalia kwa kwikwi hivi kama huamini?mi nlizoea kuona wanawake wanalia hivi si wanaume.huyu jamaa ana tabia za kishoga bila shaka.
 

Attachments

Huyu Jamaa anatumia nguvu nyingi sana kuchekesha. Ila siyo Mchekeshaji( Kila nikitazama Clip zake uwa naishia tu kusonya). Kwanza anaongea haraka. Anavyoongea havichekeshi. Tabu tupu. Leo anamvisha Mtu Pete anajiliza. Kiki za mjini hizi!!!Nimeamini hazipatikani kirahisi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…