Ya msanii Mabeste na mkewe hutokea pale mwanamke anapomzidi akili mumewe

Ya msanii Mabeste na mkewe hutokea pale mwanamke anapomzidi akili mumewe

Ukidate au kuoa mwanamke mzuri kaa tayari kwa matokeo yoyote iwe umefulia au bado una pesa zao.

Nikki sijui wa pili sijui mbishi awe makini sana na yule pilipili pia(haka kajamaa kanaweza kujinyonga kabisa,kamezama mzima mzima)

Hao vijana wameoa wanawake visu jamani.
 
Wanawake wengi hudondokea wasipostahili kwa picha za nje tu.... mwisho wakishamjua mwanaume alivyo kwa ndani wanakimbia.

Tusipende watu kwa mambo ynayoweza kupotea kwa urahisi au yanayofichika.
 
Wanawake wengi hudondokea wasipostahili kwa picha za nje tu.... mwisho wakishamjua mwanaume alivyo kwa ndani wanakimbia.

Tusipende watu kwa mambo ynayoweza kupotea kwa urahisi au yanayofichika.
Dadavua kidogo. Kiundani mtu anaweza kuwa wa aina gani ?
 
Waswahili wanasema mtoto kwa wazazi ataendelea kuwa mtoto.
Ukianza kujimwambafy kwamba umekuwa ndio unajikuta unalishwa maarifa ya ovyo ovyo duniani

Kwamba una uhakika asilimia 100 kuwa haya maarifa sijayatoa kwa wazazi?[emoji23][emoji23][emoji23]

JF Bwana!
 
Ndio maana sisi kwa sheria zetu za kidini. Mwanamke anatakiwa kujifunika kuanzia kichwani hadi miguu. Yabaki wazi macho tu ya kuonea njia akiwa barabarani
Chakushangaza kuna siku baadhi ya wanawake wa dini husika hufanya hivyo,na Kuna wakati huacha nyuso zao wazi kabisa,sasa sijui hufanya hivyo kwakujifurahisha au?
 
Back
Top Bottom