Ya msanii Mabeste na mkewe hutokea pale mwanamke anapomzidi akili mumewe

Tuna break up halafu unaenda kwa jamaa yangu what a F sijaumbiwa unyonge huo labda kama tungekuwa hatujazaa huyo mwanamke mshenzi kafanya dharau mbaya sana kwa upande wa pili ni kweli kabisa mwanamke alimzidi akili Mabeste tangu wakutane ndio anguko lake LA sanaa lilopoanza alifanikiwa kumgombanisha na work mates zake wote kuanzia Pancho na B hits kwa ujumla huyu mwanamke sio kabisa alishawahi kumtukana Jux kupitia IG akaunti ya mabeste kisa Jux alisahau kutoa shukran wakati wa tuzo za kila aliposhinda tuzo ya wimbo bora wa RnB Sisikii ambao aliutunga mabeste ila kiukweli Jux wimbo aliununua kwa pesa taslim lakini alitumia busara akaja kumshukuru Mabeste kupitia social media huyu mwanamke kabomoa sana future ya jamaa kwa kweli
 
Hakuna mnyama mkali na mwenye sumu ya kuangamiza kila kitu kama mwanamke,,,msiwaone wanyonge,,wakiamua ukatili hakuna kiumbe wa kuwazuia

Angalizo:Their poison is inactive unless they are provoked!.
 
Chakushangaza kuna siku baadhi ya wanawake wa dini husika hufanya hivyo,na Kuna wakati huacha nyuso zao wazi kabisa,sasa sijui hufanya hivyo kwakujifurahisha au?
Wanajifurahisha
 
Tuna break up halafu unaenda kwa jamaa yangu what a F sijaumbiwa unyonge huo labda kama tungekuwa hatujazaa huyo mwanamke mshenzi kafanya dharau mbaya sana kwa upande wa pili ni kweli kabisa mwanamke alimzidi akili Mabeste tangu wakutane ndio anguko lake LA sanaa lilopoanza alifanikiwa kumgombanisha na work mates zake wote kuanzia Pancho na B hits kwa ujumla huyu mwanamke sio kabisa alishawahi kumtukana Jux kupitia IG akaunti ya mabeste kisa Jux alisahau kutoa shukran wakati wa tuzo za kila aliposhinda tuzo ya wimbo bora wa RnB Sisikii ambao aliutunga mabeste ila kiukweli Jux wimbo aliununua kwa pesa taslim lakini alitumia busara akaja kumshukuru Mabeste kupitia social media huyu mwanamke kabomoa sana future ya jamaa kwa kweli

Acha tu kwenda kwa jamaa yako, Mabeste anasema mama wa rafiki yake ndo alikuwa anamsindikiza Lisa mahakamani kwenye issue za divorce.

Lakini Lisa anasema Mabeste asijifanye huyu mpenzi wake wa sasa ni rafiki yake, yeye ndo kawaintroduce, ni rafiki yake yeye wa muda mrefu. Sasa sijui kama anasema ukweli.

Lisa amejua kumkomesha huyu kijana. Next time atakuwa makini kutofuata wadada kisa wanang’aa.
 
Mkuu inaonekana, umefurahi sana juu ya swala la kuvunjika kwa ndoa yao.Nikiangalia comments zako nyingi nagudua kuwa umekaa kiushabiki sana, sishangai sana kwakua huku ndo dunia ilipofikia.Ningependa ukumbuke kitu kimoja, ya mwenzako yasikie ila omba sana yasikupate.Ilitakiwa utulie na upate cha kujifunza na sio kushabikia unless uwe unalipwa.Be humbled.
 
Amekimbia media kubwa kaenda channel za vichochoroni huko ..ili atawale interview

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata hizo media kubwa hazina watangazaji wenye IQ kubwa mabeste kahojiwa na clouds mtangazaji ameshindwa kumuuliza maswali konki mtangazaji anamsaidia kujibu maswali aliyouliza mtangazaji amegeuka kuwa shabiki.Kiufupi tuna matatizo ya watangazaji especially wa entertainment binafsi interview zote za mabeste na Lisa zijaenjoy sijapata kile ninachotaka kwa waliowafanyia interview hii imenipa wakati mgumu kukaa upande upi Kati ya pande hiz mbili.
 
Ila kweli, kuna siku dogo fln aliniuliza mbona mabilionea kama kina mark na billie wake zao ni wa kawaida mno. Nadhan kuoa mke mwenye mwonekano wa kawaida inasaidia kutunza ndoa. Sio unakua na mke kila mara CHAPUTA wakimuona wanaenda kufanya yao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daah..
Umewaza mbali sana mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom