DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
Ukidate au kuoa mwanamke mzuri kaa tayari kwa matokeo yoyote iwe umefulia au bado una pesa zao.
Nikki sijui wa pili sijui mbishi awe makini sana na yule pilipili pia(haka kajamaa kanaweza kujinyonga kabisa,kamezama mzima mzima)
Waswahili wanasema mtoto kwa wazazi ataendelea kuwa mtoto.Sasa si ndo wameshafeli. Mtu niko 30s niende kwa wazazi ambao wamenilea awali na bado nikatoka mawazo ya kifukara ili waniokoe?
Dadavua kidogo. Kiundani mtu anaweza kuwa wa aina gani ?Wanawake wengi hudondokea wasipostahili kwa picha za nje tu.... mwisho wakishamjua mwanaume alivyo kwa ndani wanakimbia.
Tusipende watu kwa mambo ynayoweza kupotea kwa urahisi au yanayofichika.
Yes. She's very smart.Lisa mjanja sana. Yani kamkaba jamaa she had her way na amesema alichotaka kusema yeye
Waswahili wanasema mtoto kwa wazazi ataendelea kuwa mtoto.
Ukianza kujimwambafy kwamba umekuwa ndio unajikuta unalishwa maarifa ya ovyo ovyo duniani
Amekimbia media kubwa kaenda channel za vichochoroni huko ..ili atawale interviewLisa mjanja sana. Yani kamkaba jamaa she had her way na amesema alichotaka kusema yeye
Chakushangaza kuna siku baadhi ya wanawake wa dini husika hufanya hivyo,na Kuna wakati huacha nyuso zao wazi kabisa,sasa sijui hufanya hivyo kwakujifurahisha au?Ndio maana sisi kwa sheria zetu za kidini. Mwanamke anatakiwa kujifunika kuanzia kichwani hadi miguu. Yabaki wazi macho tu ya kuonea njia akiwa barabarani