Ya msanii Mabeste na mkewe hutokea pale mwanamke anapomzidi akili mumewe

mi nachojiuliza huyu lisa wakati anaolewa hakuijua hali yamaisha ya mabeste??
nakama ndoa ni kuvumiliana katika shida na raha, kwanini asivumilie wakati washida??
wanaowadungua uhai hawa viumbe hawakosei maana wanamadharau sana wakishapata madanga
 
Ukidate au kuoa mwanamke mzuri kaa tayari kwa matokeo yoyote iwe umefulia au bado una pesa zao.

Nikki sijui wa pili sijui mbishi awe makini sana na yule pilipili pia(haka kajamaa kanaweza kujinyonga kabisa,kamezama mzima mzima)
mbishi hana mambo ayo wa pili ndio kazama mazima mazima.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sawa Kaka ake na Lisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mwandishi aliye muhoji lissa
mtoa bandiko, nyie watu wawili kiukweli huyu lissa anawazidi akili

huyu mwandishi anahojiwa yeye badala ya kuhoji, wewe nae unashindwa gundua ilo zaidi unaona lissa yuko smart kuliko mabeste

hapana lissa yuko smart kuliko ww na mwandishi.
 
Bila kupepesa macho, kaka zetu mnakazi kweli, wanawake wanachoka kuvumilia tabu, wengi wanawake wanakimbia familia zao kisa pale mambo yanapoenda ovyo.
Mabeste kasaidiwa sana na lisa mziki wake na nk Lisa kachoka mwanaume kipensi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata kuweza kufanya hivyo ni akili. Unadhani kila mtu anaweza kucontrol interview namna hiyo?

Kubali tu huyu binti Mabeste hakutosha upstairs.
 
Lisa ni smart upstairs, Mabeste aache ujuha akubali tu na a move on unamuweka mtu mdomoni wa nini sasa.
 
Hakika!
 
Ilikuwa fedheha ilioje
 
Ukidate au kuoa mwanamke mzuri kaa tayari kwa matokeo yoyote iwe umefulia au bado una pesa zao.

Nikki sijui wa pili sijui mbishi awe makini sana na yule pilipili pia(haka kajamaa kanaweza kujinyonga kabisa,kamezama mzima mzima)
Countrywide
 
U saw it coming.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…