YA NDANI KABISA: Ahadi ya Kampuni ya Silent Ocean kwa Prisons FC ikiifunga Yanga au ikitoka Sare ni ya Kuzuga tu

Mmiliki wa Kampuni ya Silent Ocean aitwae Saalah ni mdogo wa damu kabisa wa tajiri wa Yanga SC Gharib mwenye GSM yake halafu na dogo Saalah ni mwana Yanga SC lia lia kama ilivyo kwa kaka yake.

Taarifa ambazo GENTAMYCINE nimezipata kutoka jikoni Yanga SC na hata kwa wana Simba SC walioko ndani ya Klabu ya Prisons zinasema kwamba, tayari biashara ilishamalizika, Prisons FC anakufa nyingi ili kuwafurahisha na kuwafariji wana Yanga SC kwa kipigo cha juzi na Ihefu FC.

Na kwamba ahadi waliyowapa Prisons FC juzi ni mkakati mpya wa kutuzuga wanamichezo ili wajifiche na utamaduni wa kipuuzi ulioshtukiwa wa kuhonga timu (wachezaji) na marefa (waamuzi).

Kaka mtu ameshapenyeza kwa wajelajela Tsh Milioni 25 na mkongwe Asukile Benjamin anajua kila kitu na ndiyo maana hata katika press conference yoo ya juzi muda wote uso wake ulikuwa na aibu, kwani alikuwa anajua kuwa anatudanganya na hata kutufanya majuha (fools) watu (wadau) wa mpira (soka) nchini.

Inawezekana vipi dogo Saalah (mmiliki wa Kampuni ya Silent Ocean) ambaye ni mwana Yanga SC, anapicha nyingi akiwa amevalia jezi mbalimbali za Yanga SC na muda mwingi habanduki kambini Avic Town Kigamboni iliko Klabu yake pendwa ya Yanga, huku akimhusudu hakuna mfano mshambuliaji Fiston Mayele leo hii aombee au afurahie Prisons FC aliyoipa ahadi ya kuzuga na ya kinafiki ili iifunge Yanga SC?

Silent Ocean nakuja na uzi wa kuhusu mkakati wenu wa siri ulioratibiwa vyema na ndugu zenu na wakubwa GSM hasa katika mpira wa Tanzania, udhamini wa vilabu vya Ligi Kuu na kuikomoa Simba SC.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The Great!
kwa jinsi ulivyo muongo itapendeza sana ukianza kutunga vitabu
 
Kwahiyo wakishinda hawatapewa zawadi yao..??
 
Unaangaika sana na Yanga, Unaumia sana na Yanga halafu mwisho wa siku unajifanya unaijua sana Yanga halafu haufanyi maamuzi ya kukusanya ushahidi na kuipeleka kwenye timu yako ya Simba ili kuifungulia kesi timu ya Yanga kwa makosa ya rushwa na upangaji wa matokeo. Kifupi unaonesha jinsi ulivyokuwa bingwa wa kueneza uongo na propaganda. Sidhani kama unapenda kuona mafanikio ya Yanga katika ligi kuu hivyo kama ingekuwa unayoongea yana ukweli, ungeshafungua rundo la kesi na ushahidi ili Yanga ipokonywe point ili furaha iwe upande wako. Ila umekuwa mbwa koko, kelele nyingi vitendo sifuri

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
Bwana GENTAMYCINE alishawahi kusema kuwa yeye ni bingwa wa ku-spin mambo
 
Mambo mengine ni aibu hata kuandika mbele za watu ila ndio unajiona mjanja kuandika. Hivi zile za Ngao ya jamii Babrav naye alikula mlungula? Very low mwan Sauti unatia aibu.
 
Hapa nimetukanwa hivi Mbwa wala hutomuona Mnafiki na Juha Mtu Asiyejulikana akiwaita Moderator ( Moderators ) ila huwa anaanza Kuwashwawashwa pale tu GENTAMYCINE nikijibu Mapigo yangu Makali, Umiza na Takatifu kwa Maadui zangu.
Bahati mbaya.... Mimi nlillelewa na wazazi wote. Na wote ni wastaarabu,walinipeleka shule, nikaelemika pia. Nikapata na ajira nzuri. Na sisi tuliolelewa kwenye misingi ya toka Tanu. Hatukufundishwa matusi. Kuna wakati nawalaumu wazazi wangu kwa nini hawakupata hata siku moja ya kunifundisha matusi na lugha chafu.
 
Unayo matatizo makubwa sana wewe ya kisaikolojia sio bure, Mechi ya yanga na Ihefu ulipandisha uzi hapa ya kwamba mayele atafunga hat trick kwakuwa Ihefu ni dhaifu na kwakuwa wanafundishwa na mwambusi baada ya mechi maneno ukayageuza tena ukaja na topic nyingine, Sasa leo unakuja na hadithi nyingine ya kwenye vijiwe vya kahawa na wakishinda prison pia utabadilisha gia angani ueleweki unachokisimamia
hahahaha,mkuu hizo ndo akili za watanzania,anawakilisha
 
Back
Top Bottom