YA NDANI KABISA: Ahadi ya Kampuni ya Silent Ocean kwa Prisons FC ikiifunga Yanga au ikitoka Sare ni ya Kuzuga tu

kwa jinsi ulivyo muongo itapendeza sana ukianza kutunga vitabu
 
Kwahiyo wakishinda hawatapewa zawadi yao..??
 
Bwana GENTAMYCINE alishawahi kusema kuwa yeye ni bingwa wa ku-spin mambo
 
Mambo mengine ni aibu hata kuandika mbele za watu ila ndio unajiona mjanja kuandika. Hivi zile za Ngao ya jamii Babrav naye alikula mlungula? Very low mwan Sauti unatia aibu.
 
Hapa nimetukanwa hivi Mbwa wala hutomuona Mnafiki na Juha Mtu Asiyejulikana akiwaita Moderator ( Moderators ) ila huwa anaanza Kuwashwawashwa pale tu GENTAMYCINE nikijibu Mapigo yangu Makali, Umiza na Takatifu kwa Maadui zangu.
Bahati mbaya.... Mimi nlillelewa na wazazi wote. Na wote ni wastaarabu,walinipeleka shule, nikaelemika pia. Nikapata na ajira nzuri. Na sisi tuliolelewa kwenye misingi ya toka Tanu. Hatukufundishwa matusi. Kuna wakati nawalaumu wazazi wangu kwa nini hawakupata hata siku moja ya kunifundisha matusi na lugha chafu.
 
hahahaha,mkuu hizo ndo akili za watanzania,anawakilisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…