Ya nini Kununua Range Rover Moja wakati kwa Bei iyo iyo unapata Xiaomi SkyNomad Nne!

Ya nini Kununua Range Rover Moja wakati kwa Bei iyo iyo unapata Xiaomi SkyNomad Nne!

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
35,566
Reaction score
104,386
Kama unapenda SUV mpya, 0 Km, usinunue Range Rover 2026 kwa $120,000 (cheap base model), Bali angalia Xiaomi SkyNomad N70 au N90 kwa $30,000 full loaded.
147.jpg

SkyNomad ni Range Extended, Ina engine ya 1.5 L, turbo i4, zina battery ya either 56 kWh au 72 kWh zenye range ya EV ya 380 Km na 505 Km, wakati total range (EV na full tank) inatika hadi 1,700 Km.
148.jpg

149.jpg
150.jpg
 
Kama unapenda SUV mpya, 0 Km, usinunue Range Rover 2026 kwa $120,000 (cheap base model), Bali angalia Xiaomi SkyNomad N70 au N90 kwa $30,000 full loaded.
View attachment 3665497
SkyNomad ni Range Extended, Ina engine ya 1.5 L, turbo i4, zina battery ya either 56 kWh au 72 kWh zenye range ya EV ya 380 Km na 505 Km, wakati total range (EV na full tank) inatika hadi 1,700 Km. View attachment 3665498
View attachment 3665500View attachment 3665501
Dah maini sana hii,, maisha flani hivi,an unaomba pakuche tu uanze safari chombo inasawishi
 
duh
ukimuweka dereva wa daladala aendeshe hio anajikojolea maana hajui abonyeze wapi, na gia hazioni
Mara anasikia welcome please enter your password , atawehuka
Daladala siyo Aina ya gari wee mshamba. Daladala ni KAZI ambayo gari inafanya. Mwanza kuna baiskeli Ambazo ni daladala.
Ukienda huko china hizo gari pia daladala. Ni umaskini tuu ndo unakufanya udhani daladala ni magari mabovu ya kizamani ambayo madereva wake hawana akili za kuendesha magari ya kisasa.
 
Zipo
Geita.✅️
Tabora.✅️
Shinyanga.✅️
Mwanza❌️ kwa sasa hazipo mkuu
 
Kama unapenda SUV mpya, 0 Km, usinunue Range Rover 2026 kwa $120,000 (cheap base model), Bali angalia Xiaomi SkyNomad N70 au N90 kwa $30,000 full loaded.
View attachment 3665497
SkyNomad ni Range Extended, Ina engine ya 1.5 L, turbo i4, zina battery ya either 56 kWh au 72 kWh zenye range ya EV ya 380 Km na 505 Km, wakati total range (EV na full tank) inatika hadi 1,700 Km. View attachment 3665498
View attachment 3665500View attachment 3665501
Hapo ni sawa useme usinunue SAMSUNG TV kwasababu ni ghali sana nunua SINGSUNG. Au achana na iPhone 18 chukua Tecno whatever iko poa tu.
 
Hizi gari naona huku kwetu bado sana. Sisi gari zetu ni multi-purpose, maana kuna muda inakuwa gari ya mkaa, kuna muda inakuwa kikapu cha sokoni kubeba mikungu ya ndizi na gunia za viazi, kuna muda inakuwa daladala maana huwezi kurudi peke yako tegeta wakati kuna raia wanatia huruma kituo cha daladala na wanakuchangia mafuta, kuna muda zinakuwa gari za mizigo hasa wachaga wanabebea mpaka cement na kuna muda linakuwa bus la kuendea Mkoani, maana huwezi kumwambia Kyaruzi, Muganyizi, Rwehumbiza, Mutayoba na Rweyemamu kwamba gari yake haina chaji ya kumfikisha Bukoba wakati anataka akauzie sura kwa wakina Koku kuwa amejipata.
 
Back
Top Bottom