🤣🤣Anasikia wazungu tuduh
ukimuweka dereva wa daladala aendeshe hio anajikojolea maana hajui abonyeze wapi, na gia hazioni
Mara anasikia welcome please enter your password , atawehuka
Dah maini sana hii,, maisha flani hivi,an unaomba pakuche tu uanze safari chombo inasawishiKama unapenda SUV mpya, 0 Km, usinunue Range Rover 2026 kwa $120,000 (cheap base model), Bali angalia Xiaomi SkyNomad N70 au N90 kwa $30,000 full loaded.
View attachment 3665497
SkyNomad ni Range Extended, Ina engine ya 1.5 L, turbo i4, zina battery ya either 56 kWh au 72 kWh zenye range ya EV ya 380 Km na 505 Km, wakati total range (EV na full tank) inatika hadi 1,700 Km. View attachment 3665498
View attachment 3665500View attachment 3665501
Dereva wa Daladala anaweza kuona kua hiyo Gari ni mbaya,Bora daladala lake.duh
ukimuweka dereva wa daladala aendeshe hio anajikojolea maana hajui abonyeze wapi, na gia hazioni
Mara anasikia welcome please enter your password , atawehuka
Daladala siyo Aina ya gari wee mshamba. Daladala ni KAZI ambayo gari inafanya. Mwanza kuna baiskeli Ambazo ni daladala.duh
ukimuweka dereva wa daladala aendeshe hio anajikojolea maana hajui abonyeze wapi, na gia hazioni
Mara anasikia welcome please enter your password , atawehuka
ZipoDaladala siyo Aina ya gari wee mshamba. Daladala ni KAZI ambayo gari inafanya. Mwanza kuna baiskeli Ambazo ni daladala.
Ukienda huko china hizo gari pia daladala. Ni umaskini tuu ndo unakufanya udhani daladala ni magari mabovu ya kizamani ambayo madereva wake hawana akili za kuendesha magari ya kisasa.
Hapo ni sawa useme usinunue SAMSUNG TV kwasababu ni ghali sana nunua SINGSUNG. Au achana na iPhone 18 chukua Tecno whatever iko poa tu.Kama unapenda SUV mpya, 0 Km, usinunue Range Rover 2026 kwa $120,000 (cheap base model), Bali angalia Xiaomi SkyNomad N70 au N90 kwa $30,000 full loaded.
View attachment 3665497
SkyNomad ni Range Extended, Ina engine ya 1.5 L, turbo i4, zina battery ya either 56 kWh au 72 kWh zenye range ya EV ya 380 Km na 505 Km, wakati total range (EV na full tank) inatika hadi 1,700 Km. View attachment 3665498
View attachment 3665500View attachment 3665501
Kuna gari ziliingia 2021/23 hivi zinaitwa HAVAL. Zimepotea zote.Mchina ana balaa, vipi kuhusu durability mkuu pamoja vipuli