Ya nini Kununua Range Rover Moja wakati kwa Bei iyo iyo unapata Xiaomi SkyNomad Nne!

😁😁😁

Ndio maana wengi tunakimbilia gari za kazi mfano Rav 4, hizi gari laini laini zitateseka sana.
 
Kwa nini wachina wanaokuja kwenye miradi mikubwa bongo huwa hawaji na hizi gari kutoka kwao.

Mitambo yote (bulldozers,excavators, tankers,trucks etc) ni brands zao ila misele ni Toyota hillux.
Sahivi angalia vyuma vya Wachina. Kuanzia izo haulers hadi za misele.
 
Value for money aisee. Brands kubwa wanauza majina, ila value yake ni 1/4.

Haval sijui alifeli marketing au nini ila gari zao mbona nzuri?
You can not be serious. Kwahio ile Jetour T2 unalinganisha na New LR Defender? Hujiulizi kwanini wanaigq hata hawabuni kitu yaani copy and paste?
Foton pick up copy and paste Hilux. Unaweza kulinganisha Foton na Hilux au Amarok? Wachina wenyewe wajanja hapa Tz na huko China wanatumia European cars.
 
Kwa nini wachina wanaokuja kwenye miradi mikubwa bongo huwa hawaji na hizi gari kutoka kwao.

Mitambo yote (bulldozers,excavators, tankers,trucks etc) ni brands zao ila misele ni Toyota hillux.
Inaweza kuwa wanaepuka gharama, hawakai nazo muda mrefu kama mradi ni wa muda mfupi unanunua gari ya kutumia muda mfupi tu
 
Kuna statement juzi Land Rover wametoa wesema hawatishiwi na copycats za Kichina. Wao wanajiamini na Magari yao (Defender na RR)

Ila ukiona mtu anaeanza kusema hivi ujue anaogopa.

Hii model Bado kufika
Hawana cha kuogopa mkuu. Mteja wa LR hawezi kununua copy ya kichina. Pretenders wasioweza kumudu LR au kitu chochote halisi ndio wananunua copy.
 
Wachina hatari..
Halafu kama hio Skynomad Max ni full size SUV kama RR autobiography...

Hivi wanafanyaje hadi hio gari inakuwa na bei ndogo kiasi hiko? Hii ina maana haya makampuni ya Ulaya yamekuwa yakiweka bei kubwa sababu ya brand? Au material wanayotumia RR ni expensive?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…