Ya Rigathi Gachagua kumkuta mtu fulani Tanzania

Etwege

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2018
Posts
8,105
Reaction score
20,307
Kwa wasiojua Rigathi Gachagua alikuwa makamu wa Rais wa Kenya chini ya Rais William Ruto lakini alipoanza kwenda kinyume na matakwa ya Rais Ruto aliondolewa madarakani kwa aibu kubwa licha ya jitihada zake za kuzuia hilo kutokea.

Yaleyale yaliyotokea nchini Kenya kuna kila dalili yakatokea Tanzania kwani yanayozungumzwa na makamu wa Rais hayaendani na msimamo wa CCM wala msimamo wa Rais Samia.

Bila shaka Nchimbi hakujifunza kwa yaliyomtokea Job Ndugai baada ya kwenda kinyume na Samia
 
Kwa wasiojua Rigathi Gachagua alikuwa makamu wa Rais wa Kenya chini ya Rais William Ruto lakini alipoanza kwenda kinyume na matakwa ya Rais Ruto aliondolewa madarakani kwa aibu kubwa licha ya jitihada zake za kuzuia hilo kutokea.
Yaleyale yaliyotokea nchini Kenya kuna kila dalili yakatokea Tanzania kwani yanayozungumzwa na makamu wa Rais hayaendani na msimamo wa CCM wala msimamo wa Rais Samia
wewe na wenzenu wote hamna uwezo huo wa kumfanyia Nchimbi huo ujinga
 
Kwa wasiojua Rigathi Gachagua alikuwa makamu wa Rais wa Kenya chini ya Rais William Ruto lakini alipoanza kwenda kinyume na matakwa ya Rais Ruto aliondolewa madarakani kwa aibu kubwa licha ya jitihada zake za kuzuia hilo kutokea.
Yaleyale yaliyotokea nchini Kenya kuna kila dalili yakatokea Tanzania kwani yanayozungumzwa na makamu wa Rais hayaendani na msimamo wa CCM wala msimamo wa Rais Samia
kweli wewe ni mjinga sana
 
yule king pin wa uropokaji na ukabila wa hapo Nyeri county, mount Kenya west? :pedroP:
 
Kwa wasiojua Rigathi Gachagua alikuwa makamu wa Rais wa Kenya chini ya Rais William Ruto lakini alipoanza kwenda kinyume na matakwa ya Rais Ruto aliondolewa madarakani kwa aibu kubwa licha ya jitihada zake za kuzuia hilo kutokea.
Yaleyale yaliyotokea nchini Kenya kuna kila dalili yakatokea Tanzania kwani yanayozungumzwa na makamu wa Rais hayaendani na msimamo wa CCM wala msimamo wa Rais Samia
Unadhani uroporopo huo ni wa dhamira ya kutoka moyoni mwake?

Mkuu hizo ni mbinu za kimkakati wameshajipanga kuwahadaa ili kuwatoa kwenye reli waTZ pamoja na kujivua gamba mbele ya macho ya Jumuiya ya madola.

Yeye na Samia lao ni moja, pamoja na mshika remote wao Kikwete.

Huyu mtu hana dhamira ya kweli kuhusu Katiba na yote aliyobwabwaja siku ile.

'Tupambanie ama tupambane kupata Katiba mpya', tupambane na nani?

Kama ana dhamira ya kweli na jambo hilo, tena lipo kwenye ilani yao, kwa nini wasianzishe utekelezaji wa moja kwa moja bila kusubiri mapambano ya raia?

Nani yupo juu ya Serikali anayezuia mchakato kuanza hadi kutushauri tupambane?

Za kuambiwa changanya na zako mkuu.
 
Kwa wasiojua Rigathi Gachagua alikuwa makamu wa Rais wa Kenya chini ya Rais William Ruto lakini alipoanza kwenda kinyume na matakwa ya Rais Ruto aliondolewa madarakani kwa aibu kubwa licha ya jitihada zake za kuzuia hilo kutokea.
Yaleyale yaliyotokea nchini Kenya kuna kila dalili yakatokea Tanzania kwani yanayozungumzwa na makamu wa Rais hayaendani na msimamo wa CCM wala msimamo wa Rais Samia
Too risk labda amlazimishe ajiuzulu ila kumtoa yeye its hard
 
Nchimbi siyo Rigathi, Nape wala Polepole atawachakaza hadi vitukuu vyenu. Ukitaka "niguse ninuke ya kweli" mdanganyeni bibi yenu amguse ndio mtajua hamjui. Tlaatlaah analijua ndio maana alishaanza kuwaambia muanze kumzoea mmatengo kama yenu.
 
Kwa wasiojua Rigathi Gachagua alikuwa makamu wa Rais wa Kenya chini ya Rais William Ruto lakini alipoanza kwenda kinyume na matakwa ya Rais Ruto aliondolewa madarakani kwa aibu kubwa licha ya jitihada zake za kuzuia hilo kutokea.
Yaleyale yaliyotokea nchini Kenya kuna kila dalili yakatokea Tanzania kwani yanayozungumzwa na makamu wa Rais hayaendani na msimamo wa CCM wala msimamo wa Rais Samia
Huku mmekumbushwa kufuata katiba na kuipigania
 
Kwa wasiojua Rigathi Gachagua alikuwa makamu wa Rais wa Kenya chini ya Rais William Ruto lakini alipoanza kwenda kinyume na matakwa ya Rais Ruto aliondolewa madarakani kwa aibu kubwa licha ya jitihada zake za kuzuia hilo kutokea.
Yaleyale yaliyotokea nchini Kenya kuna kila dalili yakatokea Tanzania kwani yanayozungumzwa na makamu wa Rais hayaendani na msimamo wa CCM wala msimamo wa Rais Samia
Kwani unapanga nani awe next Polepole?
 
Back
Top Bottom