Ya Rigathi Gachagua kumkuta mtu fulani Tanzania

Ya Rigathi Gachagua kumkuta mtu fulani Tanzania

Hatimae muda um
Yaani hata kama Rais hasimamii nchi yeye yuko busy na mambo yake huku nchi ikitopea kwenye rushwa,wizi wa mali za umma, utekaji na mauaji raia na mauaji ya halaiki, watu waungane naye tuu si ndio, huo ni utumwa wa akili, tambua urais ni kwa ajili ya wananchi sio kwa ajili ya rais na serikali.
Wachache wanajua hili
 
Mimi napitia comments za nyuma tu Huku nacheka na kutabasamu, kuna watu watakana comments zao...
 
Kwa nini simu za Nchimbi hazipatikani?
 
Naona Etwege anasherehekea ushindi. Bora hata mimi ambaye sikuchangia chochote kwenye huu uzi. Ningeficha wapi sura yangu kwa aibu.

Kuna watu waliamini hili jambo haiwezekani baada tu ya kushindwa kusoma alama za nyakati. Hali imekuwa si hali tena.
 
Back
Top Bottom