Ukimkosoa Rais Samia lolote linaweza kukutokeaNchimbi siyo Rigathi, Nape wala Polepole atawachakaza hadi vitukuu vyenu. Ukitaka "niguse ninuke ya kweli" mdanganyeni bibi yenu amguse ndio mtajua hamjui. Tlaatlaah analijua ndio maana alishaanza kuwaambia muanze kumzoea mmatengo kama yenu.
CCM wanachojua ni marumbo yao tu. Popote ulaji ulipo, ndiyo wanaunga mkono. Unadhani wangempigania Ndugai asiyewapa ulaji? Hii issue ya Nchimbi vs Samia kama ni genuine na wasipoyamaliza kuna matokeo haya. 1. Kama Nchimbi alishaandaa support kubwa basi itakuwa rais sana kumwondoa kibibi. 2. Kama kibibi kina msaada wa Kikwete, basi itakuwa ni ngumu sana kwa Nchimbi unless awe alikuwa mjanja, akakusanya ushahidi wa kina wa kilichotokea 29/10.Hata Job Ndugai mlisema hivyo hivyo
Bila Shaka wewe ni mtu ambaeKwa wasiojua Rigathi Gachagua alikuwa makamu wa Rais wa Kenya chini ya Rais William Ruto lakini alipoanza kwenda kinyume na matakwa ya Rais Ruto aliondolewa madarakani kwa aibu kubwa licha ya jitihada zake za kuzuia hilo kutokea.
Yaleyale yaliyotokea nchini Kenya kuna kila dalili yakatokea Tanzania kwani yanayozungumzwa na makamu wa Rais hayaendani na msimamo wa CCM wala msimamo wa Rais Samia.
Bila shaka Nchimbi hakujifunza kwa yaliyomtokea Job Ndugai baada ya kwenda kinyume na Samia
Ebu taja hatua 2 tu atakazofuata Nchimbi ili aweze kumtoa Samia.CCM wanachojua ni marumbo yao tu. Popote ulaji ulipo, ndiyo wanaunga mkono. Unadhani wangempigania Ndugai asiyewapa ulaji? Hii issue ya Nchimbi vs Samia kama ni genuine na wasipoyamaliza kuna matokeo haya. 1. Kama Nchimbi alishaandaa support kubwa basi itakuwa rais sana kumwondoa kibibi. 2. Kama kibibi kina msaada wa Kikwete, basi itakuwa ni ngumu sana kwa Nchimbi unless awe alikuwa mjanja, akakusanya ushahidi wa kina wa kilichotokea 29/10.
alimaanisha Sa100 ndiye kizuizi cha kuanzisha mchakato,Unadhani uroporopo huo ni wa dhamira ya kutoka moyoni mwake?
Mkuu hizo ni mbinu za kimkakati wameshajipanga kuwahadaa ili kuwatoa kwenye reli waTZ pamoja na kujivua gamba mbele ya macho ya Jumuiya ya madola.
Yeye na Samia lao ni moja, pamoja na mshika remote wao Kikwete.
Huyu mtu hana dhamira ya kweli kuhusu Katiba na yote aliyobwabwaja siku ile.
'Tupambanie ama tupambane kupata Katiba mpya', tupambane na nani?
Kama ana dhamira ya kweli na jambo hilo, tena lipo kwenye ilani yao, kwa nini wasianzishe utekelezaji wa moja kwa moja bila kusubiri mapambano ya raia?
Nani yupo juu ya Serikali anayezuia mchakato kuanza hadi kutushauri tupambane?
Za kuambiwa changanya na zako mkuu.
Hatua mbili za nini? Samia kuondoka ni rahisi kama kumsukuma mlevi iwapo Nchimbi ana support kubwaEbu taja hatua 2 tu atakazofuata Nchimbi ili aweze kumtoa Samia.
Inawezekana hujui chochote kuhusu katiba ya Tanzania
NasisistizaHujui chochote kuhusu katiba ya Tanzania
Mkuu nimemsikiliza kwa utulivu mkubwa.alimaanisha Sa100 ndiye kizuizi cha kuanzisha mchakato,
msikilize kwa makini
aysee, IKIWA ni hivyo, waafrika kuna mahala tulimkosea Mungu pakubwaMkuu nimemsikiliza kwa utulivu mkubwa.
Ingelikuwa ni jambo la kutoka rohoni mwake, zile agenda za kutokuwa na imani naye kutoka kwa wabunge machawa, tayari zingelikuwa zimeanza hima(rejea skendo ya Job Ndugai).
Katika Afrika, makamu hawezi kwenda against na boss, atang'olewa instantly!
Mie nauelewa vizuri mnyororo wa mamlaka ya kiuongozi, kwamba jambo hilo haliwezekani abadani.
Kuna baadhi ya wachambuzi na blogers wameliona hili na wamelichambua vizuri.
Wote wamepita katika njie ile ile ya kuiona hadaa midomoni mwa Nchimbi.
Wengine wameona kuwa: kundi la wana mtandao wanampalilizia njia ya Urais ya mwaka 2030.
Lakini mimi naona kama ametumwa na Samia kupoza joto la majority baada ya kuona kuwa Serikali yao haikubaliki si nje, si ndani ya Ccm, si nje si ndani ya nchi.
Jambo la Katiba haliwezi kuasisiwa kupitia mjadala wa kuipambania wakati lipo kwenye ilani yao ya Ccm, wangelianza utekelezaji wake bila hata mjadala wala blah blah.
Tunaoona mbali tunaona dhahiri kabisa kuwa hizi ni hadaa za kisiasa za kupangwa ambazo nyuma yake kuna agenda ovu.
Sijajipa moyo kwa sababu nimeweka condition kwanza, kwa kusema kama.....Kwa kujipa moyo mko vizuri sana
kah!Nchimbi siyo Rigathi, Nape wala Polepole atawachakaza hadi vitukuu vyenu. Ukitaka "niguse ninuke ya kweli" mdanganyeni bibi yenu amguse ndio mtajua hamjui. Tlaatlaah analijua ndio maana alishaanza kuwaambia muanze kumzoea mmatengo kama yenu.