wewe na wenzenu wote hamna uwezo huo wa kumfanyia Nchimbi huo ujingaKwa wasiojua Rigathi Gachagua alikuwa makamu wa Rais wa Kenya chini ya Rais William Ruto lakini alipoanza kwenda kinyume na matakwa ya Rais Ruto aliondolewa madarakani kwa aibu kubwa licha ya jitihada zake za kuzuia hilo kutokea.
Yaleyale yaliyotokea nchini Kenya kuna kila dalili yakatokea Tanzania kwani yanayozungumzwa na makamu wa Rais hayaendani na msimamo wa CCM wala msimamo wa Rais Samia
Ndiyo kwanza kutoka usingizini huyoUtasubiri sanaaaa.......
Huyo Babu wa lumumba anarohoja tu hana ajuwaloNadhani kuna tofauti kubwa sana yale yaliyopo kwenye Katiba ya Kenya vs ya Tanganyika.
kweli wewe ni mjinga sanaKwa wasiojua Rigathi Gachagua alikuwa makamu wa Rais wa Kenya chini ya Rais William Ruto lakini alipoanza kwenda kinyume na matakwa ya Rais Ruto aliondolewa madarakani kwa aibu kubwa licha ya jitihada zake za kuzuia hilo kutokea.
Yaleyale yaliyotokea nchini Kenya kuna kila dalili yakatokea Tanzania kwani yanayozungumzwa na makamu wa Rais hayaendani na msimamo wa CCM wala msimamo wa Rais Samia
yule king pin wa uropokaji na ukabila wa hapo Nyeri county, mount Kenya west?Kwa wasiojua Rigathi Gachagua alikuwa makamu wa Rais wa Kenya chini ya Rais William Ruto lakini alipoanza kwenda kinyume na matakwa ya Rais Ruto aliondolewa madarakani kwa aibu kubwa licha ya jitihada zake za kuzuia hilo kutokea.
Yaleyale yaliyotokea nchini Kenya kuna kila dalili yakatokea Tanzania kwani yanayozungumzwa na makamu wa Rais hayaendani na msimamo wa CCM wala msimamo wa Rais Samia
Unadhani uroporopo huo ni wa dhamira ya kutoka moyoni mwake?Kwa wasiojua Rigathi Gachagua alikuwa makamu wa Rais wa Kenya chini ya Rais William Ruto lakini alipoanza kwenda kinyume na matakwa ya Rais Ruto aliondolewa madarakani kwa aibu kubwa licha ya jitihada zake za kuzuia hilo kutokea.
Yaleyale yaliyotokea nchini Kenya kuna kila dalili yakatokea Tanzania kwani yanayozungumzwa na makamu wa Rais hayaendani na msimamo wa CCM wala msimamo wa Rais Samia
Too risk labda amlazimishe ajiuzulu ila kumtoa yeye its hardKwa wasiojua Rigathi Gachagua alikuwa makamu wa Rais wa Kenya chini ya Rais William Ruto lakini alipoanza kwenda kinyume na matakwa ya Rais Ruto aliondolewa madarakani kwa aibu kubwa licha ya jitihada zake za kuzuia hilo kutokea.
Yaleyale yaliyotokea nchini Kenya kuna kila dalili yakatokea Tanzania kwani yanayozungumzwa na makamu wa Rais hayaendani na msimamo wa CCM wala msimamo wa Rais Samia
Yoh yoh yoh twende sawa mkata viuno wangu vidole juuuuuuuuyule king pin wa uropokaji na ukabila wa hapo Nyeri county, mount Kenya west?
Huku mmekumbushwa kufuata katiba na kuipiganiaKwa wasiojua Rigathi Gachagua alikuwa makamu wa Rais wa Kenya chini ya Rais William Ruto lakini alipoanza kwenda kinyume na matakwa ya Rais Ruto aliondolewa madarakani kwa aibu kubwa licha ya jitihada zake za kuzuia hilo kutokea.
Yaleyale yaliyotokea nchini Kenya kuna kila dalili yakatokea Tanzania kwani yanayozungumzwa na makamu wa Rais hayaendani na msimamo wa CCM wala msimamo wa Rais Samia
Kwani unapanga nani awe next Polepole?Kwa wasiojua Rigathi Gachagua alikuwa makamu wa Rais wa Kenya chini ya Rais William Ruto lakini alipoanza kwenda kinyume na matakwa ya Rais Ruto aliondolewa madarakani kwa aibu kubwa licha ya jitihada zake za kuzuia hilo kutokea.
Yaleyale yaliyotokea nchini Kenya kuna kila dalili yakatokea Tanzania kwani yanayozungumzwa na makamu wa Rais hayaendani na msimamo wa CCM wala msimamo wa Rais Samia