Ya Rigathi Gachagua kumkuta mtu fulani Tanzania

Nchimbi siyo Rigathi, Nape wala Polepole atawachakaza hadi vitukuu vyenu. Ukitaka "niguse ninuke ya kweli" mdanganyeni bibi yenu amguse ndio mtajua hamjui. Tlaatlaah analijua ndio maana alishaanza kuwaambia muanze kumzoea mmatengo kama yenu.
Ukimkosoa Rais Samia lolote linaweza kukutokea
 
Hata Job Ndugai mlisema hivyo hivyo
CCM wanachojua ni marumbo yao tu. Popote ulaji ulipo, ndiyo wanaunga mkono. Unadhani wangempigania Ndugai asiyewapa ulaji? Hii issue ya Nchimbi vs Samia kama ni genuine na wasipoyamaliza kuna matokeo haya. 1. Kama Nchimbi alishaandaa support kubwa basi itakuwa rais sana kumwondoa kibibi. 2. Kama kibibi kina msaada wa Kikwete, basi itakuwa ni ngumu sana kwa Nchimbi unless awe alikuwa mjanja, akakusanya ushahidi wa kina wa kilichotokea 29/10.
 
Bila Shaka wewe ni mtu ambae
"HUJUI KITU"
 
Ebu taja hatua 2 tu atakazofuata Nchimbi ili aweze kumtoa Samia.

Inawezekana hujui chochote kuhusu katiba ya Tanzania
 
alimaanisha Sa100 ndiye kizuizi cha kuanzisha mchakato,

msikilize kwa makini
 
alimaanisha Sa100 ndiye kizuizi cha kuanzisha mchakato,

msikilize kwa makini
Mkuu nimemsikiliza kwa utulivu mkubwa.

Ingelikuwa ni jambo la kutoka rohoni mwake, zile agenda za kutokuwa na imani naye kutoka kwa wabunge machawa, tayari zingelikuwa zimeanza hima(rejea skendo ya Job Ndugai).

Katika Afrika, makamu hawezi kwenda against na boss, atang'olewa instantly!

Mie nauelewa vizuri mnyororo wa mamlaka ya kiuongozi, kwamba jambo hilo haliwezekani abadani.

Kuna baadhi ya wachambuzi na blogers wameliona hili na wamelichambua vizuri.

Wote wamepita katika njie ile ile ya kuiona hadaa midomoni mwa Nchimbi.

Wengine wameona kuwa: kundi la wana mtandao wanampalilizia njia ya Urais ya mwaka 2030.

Lakini mimi naona kama ametumwa na Samia kupoza joto la majority baada ya kuona kuwa Serikali yao haikubaliki si nje, si ndani ya Ccm, si nje si ndani ya nchi.

Jambo la Katiba haliwezi kuasisiwa kupitia mjadala wa kuipambania wakati lipo kwenye ilani yao ya Ccm, wangelianza utekelezaji wake bila hata mjadala wala blah blah.

Tunaoona mbali tunaona dhahiri kabisa kuwa hizi ni hadaa za kisiasa za kupangwa ambazo nyuma yake kuna agenda ovu.
 
aysee, IKIWA ni hivyo, waafrika kuna mahala tulimkosea Mungu pakubwa
 
Nchimbi siyo Rigathi, Nape wala Polepole atawachakaza hadi vitukuu vyenu. Ukitaka "niguse ninuke ya kweli" mdanganyeni bibi yenu amguse ndio mtajua hamjui. Tlaatlaah analijua ndio maana alishaanza kuwaambia muanze kumzoea mmatengo kama yenu.
kah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…