Ya Rigathi Gachagua kumkuta mtu fulani Tanzania

Lakini i umeona Rigathi anavyomnyima usingizi Ruto na si ajabu akamfanya wantam!
 

Pascal Mayalla
 
Wapiga kura wataamua ilo katiba au kile kijitabu kinasemaje mpaka kufikia huko
 
Mimi nikiwa sehem niliwahi kushauri na kuleta njia ya kubadili mfumo ili siku ikitokea competition kampuni iwe mbele ya mda maana kiu ya wananchi ilikuwa hiyo na baada ya miaka mitatu mbele kweli competition ikawepo na hadi leo wameendelea kuliongoza soko na kutatuta changamoto na wananchi wako kimya na maisha yanaenda
 
Kwa taarifa za uhakika ni kwamba Nchimbi atapelekwa kamati ya maadili
 
Yaani hata kama Rais hasimamii nchi yeye yuko busy na mambo yake huku nchi ikitopea kwenye rushwa,wizi wa mali za umma, utekaji na mauaji raia na mauaji ya halaiki, watu waungane naye tuu si ndio, huo ni utumwa wa akili, tambua urais ni kwa ajili ya wananchi sio kwa ajili ya rais na serikali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…