Ya Rigathi Gachagua kumkuta mtu fulani Tanzania

Hatimae muda um
Wachache wanajua hili
 
Mimi napitia comments za nyuma tu Huku nacheka na kutabasamu, kuna watu watakana comments zao...
 
Kwa nini simu za Nchimbi hazipatikani?
 
Naona Etwege anasherehekea ushindi. Bora hata mimi ambaye sikuchangia chochote kwenye huu uzi. Ningeficha wapi sura yangu kwa aibu.

Kuna watu waliamini hili jambo haiwezekani baada tu ya kushindwa kusoma alama za nyakati. Hali imekuwa si hali tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…