Jiwe alikuwa ni Icon figure wa AfricaNasikia Makamu wa Rais wa Marekani akijua kwamba mwaka 2015/2020 nchi haikuwa na Rais, ilimchukua mama Samia saa nzima kumuelezea hali ilivyokuwa, hakuaminu, ikabidi amuonyeshe picha na video.
Yeye alikuwa anajua JPM ni Waziri wa ujenzi,
Kinacho haribu viongozi wa ccm ni sifa zilio pitiliza na wapembe wao wanao tegemea siasa kupata daily bread, Raisi ulicho fanya ni kawaida na ni haki kwa wa tznia wote, sio favourHaipo siri kuwa safari ya mama Samia Marekani imekuwa ya mafanikio makubwa.
Hakuna shaka kuwa mazungumzo ya ana kwa ana (one to one) ya awaye yote (mwenye nia njema) na mama Samia huwa ni ya mafanikio makubwa.
View attachment 2189466
Kwa hakika mama Samia si wale wengine. Huyu ni msikivu na mwenye mawazo huru (open minded). Mungu atupe nini?
Bila shaka kutokea sasa tutegemee misimamo mipya kuhusiana:
1. Katiba mpya.
2. Haki zetu zikiwamo za mikutano ya kisiasa.
3. Vita vya Ukraine na Urusi.
4. Nyimbo mpya kutoka kwa chawa wale wale.
Safari yenye fursa ya kulileta taifa pamoja, kwa hakika ni bora kuliko zozote zile.
Mungu ibariki Tanzania
Huyu ambaye hajawahi kuhutubia mkutano wa umoja wa afrika Wala umoja wa mataifa? Nchi aliyotembelea ni Burundi?Jiwe alikuwa ni Icon figure wa Africa
Jiwe alikuwa ni Icon figure wa Africa
Du!Nasikia Makamu wa Rais wa Marekani akijua kwamba mwaka 2015/2020 nchi haikuwa na Rais, ilimchukua mama Samia saa nzima kumuelezea hali ilivyokuwa, hakuaminu, ikabidi amuonyeshe picha na video.
Yeye alikuwa anajua JPM ni Waziri wa ujenzi,
Tusubiri vijipesa kidogo..vya kukabiliana na athari za kiuchumi zilizoletwa na vita vya Ukraine na urusi.Haipo siri kuwa safari ya mama Samia Marekani imekuwa ya mafanikio makubwa.
Hakuna shaka kuwa mazungumzo ya ana kwa ana (one to one) ya awaye yote (mwenye nia njema) na mama Samia huwa ni ya mafanikio makubwa.
View attachment 2189466
Kwa hakika mama Samia si wale wengine. Huyu ni msikivu na mwenye mawazo huru (open minded). Mungu atupe nini?
Bila shaka kutokea sasa tutegemee misimamo mipya kuhusiana:
1. Katiba mpya.
2. Haki zetu zikiwamo za mikutano ya kisiasa.
3. Vita vya Ukraine na Urusi.
4. Nyimbo mpya kutoka kwa chawa wale wale.
Safari yenye fursa ya kulileta taifa pamoja, kwa hakika ni bora kuliko zozote zile.
Mungu ibariki Tanzania
Tunaendelea kupoteza mabilioni.Haipo siri kuwa safari ya mama Samia Marekani imekuwa ya mafanikio makubwa.
Hakuna shaka kuwa mazungumzo ya ana kwa ana (one to one) ya awaye yote (mwenye nia njema) na mama Samia huwa ni ya mafanikio makubwa.
View attachment 2189466
Kwa hakika mama Samia si wale wengine. Huyu ni msikivu na mwenye mawazo huru (open minded). Mungu atupe nini?
Bila shaka kutokea sasa tutegemee misimamo mipya kuhusiana:
1. Katiba mpya.
2. Haki zetu zikiwamo za mikutano ya kisiasa.
3. Vita vya Ukraine na Urusi.
4. Nyimbo mpya kutoka kwa chawa wale wale.
Safari yenye fursa ya kulileta taifa pamoja, kwa hakika ni bora kuliko zozote zile.
Mungu ibariki Tanzania
Muungeni mkono kwa kufanya kazi na kuacha ufisadi sio kwa kupoteza muda kwenda kiwanja cha ndege; sio mnapoteza muda wenu tu bali hata mafuta ya magari mnayotumia ambayo yamekuwa adimu!umenena Mkuu.
Tumuunge Mkono Rais wetu kwa kazi nzuri anayo ifanya kwa masilahi ya Nchi yetu.
Mungu hakika apewe sifa kuu kwa kazi yake nzuri ya 17 March 2021umenena Mkuu.
Tumuunge Mkono Rais wetu kwa kazi nzuri anayo ifanya kwa masilahi ya Nchi yetu.
maandalizi ya kufuja mali za umma au maandalizi ya nini inaonekana haufikiri
Labda ukoo wenu ... KATILI?Jiwe alikuwa ni Icon figure wa Africa
Tunaendelea kupoteza mabilioni.