Yaandaliwe Mapokezi makubwa kwa Rais Samia tokea Marekani

Yaandaliwe Mapokezi makubwa kwa Rais Samia tokea Marekani

Haipo siri kuwa safari ya mama Samia Marekani imekuwa ya mafanikio makubwa.

Hakuna shaka kuwa mazungumzo ya ana kwa ana (one to one) ya awaye yote (mwenye nia njema) na mama Samia huwa ni ya mafanikio makubwa.

View attachment 2189466

Kwa hakika mama Samia si wale wengine. Huyu ni msikivu na mwenye mawazo huru (open minded). Mungu atupe nini?

Bila shaka kutokea sasa tutegemee misimamo mipya kuhusiana:

1. Katiba mpya.
2. Haki zetu zikiwamo za mikutano ya kisiasa.
3. Vita vya Ukraine na Urusi.
4. Nyimbo mpya kutoka kwa chawa wale wale.

Safari yenye fursa ya kulileta taifa pamoja, kwa hakika ni bora kuliko zozote zile.

Mungu ibariki Tanzania
Naunga mkono hoja.
 
Itapendeza wahamasishwe na sukuma gang na wasambaratishwe asali zaidi. Muhimu ili nao waelewe dhamira ni kujenga taifa la haki na lenye demokrasia thabiti, sasa.
Tuko pamoja na mama, Watanzania sasa tunapumuwa baada ya yule dhalimu kutwaliwa kuzimu.

Tumuombee mama afya njema ndio jambo muhimu zaidi.
 
... kwa Mh. Rais kugusia suala la Katiba Mpya ambayo ndio ajenda kuu ya Chadema kwa sasa; Mh. Mbowe, Bavicha, na Bawacha wanatakiwa wawe kwenye mapokezi ya Mh. Rais mara atakaporejea. Chadema wamuunge mkono Mh. Rais kwa kuonesha nia njema.
Yeye ndiyo anatakiwa kuwaunga mkono Chadema na ndiyo ameanza kufanya hivyo. Akirudi nyumbani sasa ni suala la kutangazia umma kuwa Katiba Mpya ni sasa!!!!!!!
 
Yeye ndiyo anatakiwa kuwaunga mkono Chadema na ndiyo ameanza kufanya hivyo. Akirudi nyumbani sasa ni suala la kutangazia umma kuwa Katiba Mpya ni sasa!!!!!!!

Kwani tukipata katiba mpya kwa kumwunga mkono kama ndiyo iliyo nia yake sasa kuna ubaya?
 
Haya chawa wote jikusanyeni mkampokee, huyu mama anakiua chama cha mapinduzi taratibu 2025 upinzani wakijipanga itakuwa mtafutano.
 
Balozi wa marekani kukutana nambowe kwanza harafu serikali halikua Jambo la kiboya marekani sio wehu
 
Kinacho haribu viongozi wa ccm ni sifa zilio pitiliza na wapembe wao wanao tegemea siasa kupata daily bread, Raisi ulicho fanya ni kawaida na ni haki kwa wa tznia wote, sio favour
unakumbuka Marco nyerere makongoro alivosema tunapenda Sana KICK kuliko uhalisia
 
Hakuna mwenye akili timamu anayekuaga mjinga tunasubiri ndoto zitimie.
 
Demistifying presidency, mama ameamua kuitangaza Tanzania mwenyewe.

1650214897415.png
 
Back
Top Bottom