Yaandaliwe Mapokezi makubwa kwa Rais Samia tokea Marekani

Bila kusahau 👇

Si kila siku na kwa kila kitu mkuu.

Kumbuka tuliambiwa chanjo ni upigaji sijui kama inafahamika hadi leo tumepigwa ngapi.

Waliyaona haya waswahili. Asili ya usemi huu:

"Mchagua nazi hupata koroma.'
Hiyo formula kwenye ubepari Ina apply kila siku, ulishindwa kuapply hiyo formula kila siku basi utamezwa kwenye ulimwengu huu wa ubepari.

uliambiwa chanjo ni upigaji? Hapa sijaelewa, maana pengine aliyekuambia aliongopa.

Turudi kwenye mada hasa hiyo chanjo. Unahisi wale big pharma wana ubinadamu ndio maana wameleta chanjo?
 
Nasikia Makamu wa Rais wa Marekani alijua kwamba mwaka 2015/2020 nchi haikuwa na Rais, ilimchukua mama Samia saa nzima kumuelezea hali ilivyokuwa, hakuamini, ikabidi amuonyeshe picha na video.

Yeye alikuwa anajua JPM ni Waziri wa ujenzi,
Uliyosema ni sawa kabisa. Ni kama vile huku niliko ninavyojitahidi kuwaambia baada ya Rais Magufuli kufariki, ameapishwa rais mwingine. Jamaa hawaelewi kabisa! Wanasema nchi haina Rais hadi 2025 watakapopiga kura ya kuchagua Rais mwingine!!!! Yaani nimewaonesha hadi picha za ukutani jamaa hawakubali tu!!!
 
Ulikuwa wapi mkuu, hukusikia chanjo ni upigaji wa mabeberu?

Kumbe mabeberu hao wakatuletea sisi kina yakhe bure?

Hayo nje ya mada beberu kwa kutusaidia hoja ya democracy kueleweka, tunayo kila sababu ya kumshukuru.

Unayakumbuka madhila ya kina Ben, Azory, Lissu na wengine?

"Mbona ibilisi wa mtu kwani hata ni beberu?"
 
Mgogo mmoja alijaribu pale dodoma, alikutana na serikali nzimanzima mlangoni kwake, akaibukia juzi anachanja mbuzi
 
Kama maana yake haimtoi Urais Wala hainisumbui, hiyo ni mpaka 2030
Kweli ni mpaka 2030 ila ishu atafikaje huko. JK aliupenda sana Urais 2005, lakini duru zinasema alitaka kuukimbia akaambiwa atulize boli hadi 2015 maana maji aliishayavulia,alitakiwa ayaoge tu hadi 2015.
 
CCM mara zote ina rejuvenate
 
Nasikia Makamu wa Rais wa Marekani alijua kwamba mwaka 2015/2020 nchi haikuwa na Rais, ilimchukua mama Samia saa nzima kumuelezea hali ilivyokuwa, hakuamini, ikabidi amuonyeshe picha na video.

Yeye alikuwa anajua JPM ni Waziri wa ujenzi,
Kumbe hata Marekani Kuna wapumbavu, pia humuhumu nchini Kuna watu wanajua Nyerere ni rais.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Hii mijitu ya Afrika ninayoona kuongea na mzungu ni Bora kuliko kuongea na mwafrika mweenzake sijui itaacha lini fikra za kitumwa
Mwafrika hela atoe wapi!?...mwafrika mwenye hela aliuawa kule Libya,hapo hatuoni ufahari Bali ni kuiba intellectually na uwezo wa kubeba hiyo nafasi
 
Akitua Dar nitakuwepo Airport kumpokea mama yetu na maua ya waridi.
 
Akitua Dar nitakuwepo Airport kumpokea mama yetu na maua ya waridi.

Itapendeza wahamasishwe na sukuma gang na walamba asali zaidi. Muhimu ili nao waelewe dhamira ni kujenga taifa la haki na lenye demokrasia thabiti, sasa.
 
Nasikia Makamu wa Rais wa Marekani alijua kwamba mwaka 2015/2020 nchi haikuwa na Rais, ilimchukua mama Samia saa nzima kumuelezea hali ilivyokuwa, hakuamini, ikabidi amuonyeshe picha na video.

Yeye alikuwa anajua JPM ni Waziri wa ujenzi,
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…