FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Nitaangalia nani anataka kupora ardhi ya mwingine.., huyo nitampingakwani kati ya mtu mwenye asili yako (blk ppl) na kiarabu nani unampa first preorit mfano tanzania iko vitan na nchi za kiarabu zko vtan ila ruksa kwenda kuisaidia arabs pia ruksa kupigania nchi.kipi utachagua apo kiongoz
View: https://x.com/MarioNawfal/status/1735729004450087178?s=20
KAma hapa idf kulikua na dili la mateka, wameleta utemi na mambo hataendi vizuri, na ukiona idf inakiri kitu basi jua wameshindwa kucover
Hakuna maala nilipo tukana ,mpumbavu si tusi ni MTU anayejuwa cha kufanya lakin hafanyi kwasababu zake binafsi, mjinga si tusi ni hali maanake hujui hujui unakosea kweli kwakuwa hujui unachotakiwa kufanya1. Kuipiga dongo credibility ya Nyerere nyuma ya keyboard na fake ID bila hata ka CV mkuu hujionei huruma?
2. Kwa credibility au achievement ipi uliyo nayo ndugu?
Mbowe, Lissu nidhamu inaporejea wafundeni wafuasi heshima
2. Uzi huo umewaangazia wengi, jipange kuupitia si kwa ubaya ndugu.
3. Heshima ni kitu cha bure hasa kwa waliokuzidi umri, mafanikio na hata mchango tu kwa jamii.
4. Heshima si unyonge!
Hakuna maala nilipo tukana ,mpumbavu si tusi ni MTU anayejuwa cha kufanya lakin hafanyi kwasababu zake binafsi, mjinga si tusi ni hali maanake hujui hujui unakosea kweli kwakuwa hujui unachotakiwa kufanya
Kingine CV ni nini au inaumuimu gani kama haitupi matokeo kwenye maisha ,unaeza ukawa na vyeti karai zima lakin mtu ambaye hajaenda shule akawa na maisha Bora kuliko wewe
Taifa haliwezi kuiga mtu taifa linatakiwa kuiga mifumo ya mataifa yaliofanikiwa na siyo kuiga mifumo ya walioshindwa kwasababu ya chuki zako binafsi,
Na mimi sijapiga dongo Kwan kilichompelekea aseme na ng'atuka nini? Alinyimwakura no,alichoka kukaa madarakani no, si alifeli, sasa kama umefeli unataka watu waseme umefaulu Tu icho kitakuwa kiburi tu
Mpumbavu siyo tusi ?kwasababu nikimwita Mbwa "mbwa" nimemwita .lakin nikimwita mtu mbwa nimemtukana,nazan ntakuwa nimekujib"Mpumbavu" ni tusi mjomba. Au mwenzetu wewe ni mrundi?
Bila CV umuhimu wako utakuwa upi ndugu? Kwani hujui umuhimu wa CV wewe?
Hapa sasa unakiri umuhimu wa CV. Mataifa yaliyofanikiwa na waliofanikiwa wana CV nzuri kuliko sisi.
Nyerere, Afrika Kusini wote hao wewe na miye na nchi hii hatunazo CV za kuwafikia.
Yetu ni kujifunza kwao vinginevyo, labda tuwazidi uganga wa kienyeji tu ndugu.
Kwani neno "pumbavu" si dongo? Au kwenu ni sifa?
Kung'atuka si kufeli. Kung'ang'ania kama ni kufaulu labda kama ungependa sifa zote tuwape Mugabe, Museveni, Nkurunziza, Kagame, Bongo, masultani, wafalme na wa namna hiyo ambao kutoka madarakani ni hadi kifo au mapinduzi?
tanzania inaporwa aridhi yake na waarabu wanaporwa aridhi yao..utamsaidia nan asichukuliwe ardhi yakeNitaangalia nani anataka kupora ardhi ya mwingine.., huyo nitampinga
Nitapambana na anae wapora ardhitanzania inaporwa aridhi yake na waarabu wanaporwa aridhi yao..utamsaidia nan asichukuliwe ardhi yake
utapambana na anae pola aridhi ipi, ya tanzania au ya waarabuNitapambana na anae wapora ardhi
Kwani mporaji si mmoja anawapora wote au?utapambana na anae pola aridhi ipi, ya tanzania au ya waarabu
Wewe uliyebarikiwa hizo baraka zako zinakusaidia nini ikiwa unashindia mlo mmoja!? Ujinga mtupuHilo linchi lenye laana si mnaenda kutafuta laana, mijitu hiyo imelaaniwa...
Kwa kuwa wewe ndiye unanipikia, basi utakuwa sahihi..Wewe uliyebarikiwa hizo baraka zako zinakusaidia nini ikiwa unashindia mlo mmoja!? Ujinga mtupu
Unapigia mbuzi gitaaSijajua kwa nn tunawalaumu Israel tunawaacha palestina na hamas .Maana Israel kachokozwa kama wewe ungenyamaza?Pili kinawashinda nini Palestina kuwatoa hao hamas maana ndo wanaosakwa na Israel. KAMA HAWATAKI KUWATOA ISRAEL AKIWASAKA NN SHIDA
waporaj tft mfano arabs wamevamiwa na US, tanzania tumevamiwa na france utasimama uwapiganie nani arabs au tanzaniansKwani mporaji si mmoja anawapora wote au?
Hilo linchi lenye laana si mnaenda kutafuta laana, mijitu hiyo imelaaniwa...
Nitagawanya jeshi kote kotewaporaj tft mfano arabs wamevamiwa na US, tanzania tumevamiwa na france utasimama uwapiganie nani arabs au tanzanians