Yaani Joshua na Clemence wamefariki ila ni kama hakuna kilichotokea. Are we Hamas sympathisers?

kwani kati ya mtu mwenye asili yako (blk ppl) na kiarabu nani unampa first preorit mfano tanzania iko vitan na nchi za kiarabu zko vtan ila ruksa kwenda kuisaidia arabs pia ruksa kupigania nchi.kipi utachagua apo kiongoz
Nitaangalia nani anataka kupora ardhi ya mwingine.., huyo nitampinga
 
1. Kuipiga dongo credibility ya Nyerere nyuma ya keyboard na fake ID bila hata ka CV mkuu hujionei huruma?

2. Kwa credibility au achievement ipi uliyo nayo ndugu?

Mbowe, Lissu nidhamu inaporejea wafundeni wafuasi heshima

2. Uzi huo umewaangazia wengi, jipange kuupitia si kwa ubaya ndugu.

3. Heshima ni kitu cha bure hasa kwa waliokuzidi umri, mafanikio na hata mchango tu kwa jamii.

4. Heshima si unyonge!
Hakuna maala nilipo tukana ,mpumbavu si tusi ni MTU anayejuwa cha kufanya lakin hafanyi kwasababu zake binafsi, mjinga si tusi ni hali maanake hujui hujui unakosea kweli kwakuwa hujui unachotakiwa kufanya

Kingine CV ni nini au inaumuimu gani kama haitupi matokeo kwenye maisha ,unaeza ukawa na vyeti karai zima lakin mtu ambaye hajaenda shule akawa na maisha Bora kuliko wewe

Taifa haliwezi kuiga mtu taifa linatakiwa kuiga mifumo ya mataifa yaliofanikiwa na siyo kuiga mifumo ya walioshindwa kwasababu ya chuki zako binafsi,

Na mimi sijapiga dongo Kwan kilichompelekea aseme na ng'atuka nini? Alinyimwakura no,alichoka kukaa madarakani no, si alifeli, sasa kama umefeli unataka watu waseme umefaulu Tu icho kitakuwa kiburi tu
 
"Mpumbavu" ni tusi mjomba. Au mwenzetu wewe ni mrundi?

Bila CV umuhimu wako utakuwa upi ndugu? Kwani hujui umuhimu wa CV wewe?

Hapa sasa unakiri umuhimu wa CV. Mataifa yaliyofanikiwa na waliofanikiwa wana CV nzuri kuliko sisi.

Nyerere, Afrika Kusini wote hao wewe na miye na nchi hii hatunazo CV za kuwafikia.

Yetu ni kujifunza kwao vinginevyo, labda tuwazidi uganga wa kienyeji tu ndugu.

Kwani neno "pumbavu" si dongo? Au kwenu ni sifa?

Kung'atuka si kufeli. Kung'ang'ania kama ni kufaulu labda kama ungependa sifa zote tuwape Mugabe, Museveni, Nkurunziza, Kagame, Bongo, masultani, wafalme na wa namna hiyo ambao kutoka madarakani ni hadi kifo au mapinduzi?
 
Mpumbavu siyo tusi ?kwasababu nikimwita Mbwa "mbwa" nimemwita .lakin nikimwita mtu mbwa nimemtukana,nazan ntakuwa nimekujib
 
Assets za taifa? Unaijua asset wewe? Kafa Magufuli akiwa madarakani sembuse madogo wawili? Wame achieve nini so far mpaka tuwaite asset?

Usifanye ishu ya kifamilia iwe ishu ya kitaifa
 
Hahaha hawa HAMAS wa huku Buza wanafurahia sana, lakini nikifurahia Hamas wa Gaza wanavyo uliwa wanasema sina sympathy.
 
Sijajua kwa nn tunawalaumu Israel tunawaacha palestina na hamas .Maana Israel kachokozwa kama wewe ungenyamaza?Pili kinawashinda nini Palestina kuwatoa hao hamas maana ndo wanaosakwa na Israel. KAMA HAWATAKI KUWATOA ISRAEL AKIWASAKA NN SHIDA
Unapigia mbuzi gitaa
 
Ndugu watanzania kuna video nimeiona twitter aisee
 
Back
Top Bottom