"Mpumbavu" ni tusi mjomba. Au mwenzetu wewe ni mrundi?
Bila CV umuhimu wako utakuwa upi ndugu? Kwani hujui umuhimu wa CV wewe?
Hapa sasa unakiri umuhimu wa CV. Mataifa yaliyofanikiwa na waliofanikiwa wana CV nzuri kuliko sisi.
Nyerere, Afrika Kusini wote hao wewe na miye na nchi hii hatunazo CV za kuwafikia.
Yetu ni kujifunza kwao vinginevyo, labda tuwazidi uganga wa kienyeji tu ndugu.
Kwani neno "pumbavu" si dongo? Au kwenu ni sifa?
Kung'atuka si kufeli. Kung'ang'ania kama ni kufaulu labda kama ungependa sifa zote tuwape Mugabe, Museveni, Nkurunziza, Kagame, Bongo, masultani, wafalme na wa namna hiyo ambao kutoka madarakani ni hadi kifo au mapinduzi?