Ngasere45
Senior Member
- Dec 31, 2022
- 148
- 566
walikuwa na mama yakoSasa walienda kufanya kwa hiyo miyahudi isiyo na Ardhi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
walikuwa na mama yakoSasa walienda kufanya kwa hiyo miyahudi isiyo na Ardhi?
Swali kwako ........kwenye October 7 ni Israel alivamia au alivamiwa?? Na kwanini lawama iwe kwa Israel na yeye hakuteka ??
kiongoz unaona Bora utetee wapelestina lakin sio watanzania wenzio kweli mmeoshwa bongo zenuSasa walienda kufanya kwa hiyo miyahudi isiyo na Ardhi?
Badhi ya watu,kama vile wapo na lile genge ka wah......linalojiita UN.Inasikitisha kuwa ndugu zetu wamepatwa majanga katika mgogoro huo. Ila nimesikitishwa na judgement yako juu ya HAmas kuwa ni kundi la kigaidi. HAmas ya Sasa ni sawa na kina FLERIMO,ANC,TANU,KANU n.k
Ni watu. Wanaopambana kudai hai zao za msingi ktika ardhi ambayo wameishi karne na Karne. Leo hii wananyang'anganywa na kulazimishwa kuondoka! Labda utasema kuwa hao ni mayahudi na wao ndio wenye haki ya ardhi (kwa mujibu wa biblia/msahafu na historia za dini za Ibrahim) lakini tunapaswa tuangalie mahitaji ya Dunia ya sasa.
Je ni sahihi wazungu wate waliopo bara ya Amerika kusini na Kaskazini warudi Ulaya kwenye asii yao? Na wabaki wahindi wekundu? Au ni sahihi watu weusi waliopo huko warudi Afrika? Israeli ikubali kuwepo wa mataifa mawili na ndio suluhisho la kudumu. Wanachofanya HAmas ni matokeo ya chuki dhidi ya unyanyasaji,ukatili na uuaji wanaofanyiwa.
Mpunzike kwa amani kama mmefariki Joshua na Clemence na kama mko hai Mwenyezi Mungu awape uzima na usalama.
Amen
kiongoz unaona Bora utetee wapelestina lakin sio watanzania wenzio kweli mmeoshwa bongo zenu
makaburu walikua wanatesa waafrika lakin ANC ilikua haitageti raia wakizungu ilikua inataget mifumo ila hizi pimbi zinatarget raia na mada iliopo mezani mtoa mada analilia damu ya watanzania wenzetu walioteka na hao mashujaa wenuJibu kwako Palestina imevamiwa tangu 1948. Oct 7 ni moja tu katika jitihada nyingi za kujikomboa tokea zama hizo.
Jinafasi usome hapa kuona waungwana wanavyosema:
View attachment 2842118
HAMAS, umkhonto we sizwe, mau mau, SWAPO, ANC ZANU PF, RPF, FRELIMO, NRM, RPF, POLISARIO, nk lao Moja.
Harakati zao za ukombozi zilitumia na zinatumia nguvu leo.
Kwa akili hizi lazima ww utakuwa ni muislamuMkuu marekebisho tafadhali ila si kwa ubaya:
1. Pana mateka waliripotiwa kufa wakawa wazima; tusubiri hata hao wenzetu wanaweza kuwa wangalipo.
2. Israel anarusha makombora bila kujali kuna wengi wasio na hatia Gaza wakiwamo mateka tokea Oct 7 kwenye eneo dogo kuliko dar na kila siku; kwa nini hudhani huyu katuulia pia ndugu zetu kwenye huu wendawazimu wake?
3. Israel ameanza kujaza maji kwenye mahandaki bila kujali ndugu za wahanga sisi tunasema je; ana uchungu gani na ndugu zetu huyu?
4. Oct. 7 akiwa kwenye mtafaruku na HAMAS Israel aliuwa watu hovyo; hata aliouwa Israel lawama ni Kwa HAMAS?
Inauma ila Israel hawezi kujivua lawama.
Wapumzike kwa amani kama wametangulia ila Israel ana kesi ya kujibu.
makaburu walikua wanatesa waafrika lakin ANC ilikua haitageti raia wakizungu ilikua inataget mifumo ila hizi pimbi zinatarget raia na mada iliopo mezani mtoa mada analilia damu ya watanzania wenzetu walioteka na hao mashujaa wenu
Kwa akili hizi lazima ww utakuwa ni muislamu
Lawama zote kwanza ziende kwa Hamas. Hamas awe specific kwa adui zake. Au Kuna wazayuni weusi?......Mkuu marekebisho tafadhali ila si kwa ubaya:
1. Pana mateka waliripotiwa kufa wakawa wazima; tusubiri hata hao wenzetu wanaweza kuwa wangalipo.
2. Israel anarusha makombora bila kujali kuna wengi wasio na hatia Gaza wakiwamo mateka tokea Oct 7 kwenye eneo dogo kuliko dar na kila siku; kwa nini hudhani huyu katuulia pia ndugu zetu kwenye huu wendawazimu wake?
3. Israel ameanza kujaza maji kwenye mahandaki bila kujali ndugu za wahanga sisi tunasema je; ana uchungu gani na ndugu zetu huyu?
4. Oct. 7 akiwa kwenye mtafaruku na HAMAS Israel aliuwa watu hovyo; hata aliouwa Israel lawama ni Kwa HAMAS?
Inauma ila Israel hawezi kujivua lawama.
Wapumzike kwa amani kama wametangulia ila Israel ana kesi ya kujibu.
Israel ina impact gani hapa duniani ?Wewe ambaye hujalaaniwa umeleta mabadiliko gani chanya hapa duniani? Nchi yako na Israel ipi Ina impact kubwa katika kuboresha maisha ya watu hapa duniani? Machawa wengi went ni punguani wa head
Wataje hao mabigwa.Madaktari bingwa duniani,mabingwa teknolojia,sayansi na mengi mazuri yanatoka kwao,je waweza sema wamelaaniwa?
Una uwakika na unacho kiongea au unaropoka?makaburu walikua wanatesa waafrika lakin ANC ilikua haitageti raia wakizungu ilikua inataget mifumo ila hizi pimbi zinatarget raia na mada iliopo mezani mtoa mada analilia damu ya watanzania wenzetu walioteka na hao mashujaa wenu
au tusimame ndugu zetu katika Iman tuachane na hao kafri waliouawa ?Una uwakika na unacho kiongea au unaropoka?
Lawama zote kwanza ziende kwa Hamas. Hamas awe specific kwa adui zake. Au Kuna wazayuni weusi?......
Umehitimisha kuwa hawa wa tz walotekwa na Hamas ni waajiliwa wa wazayuni?Mkuu hizi siyo vita vya rangi ya ngozi. Wapi hakuna weusi? Wapo China, italiy, urusi, ujerumani, Iceland, marekani, Canada iwe usayuni ndugu?
View attachment 2842219
Mwone Mossad huyo nyumba yake. Ni mweupe?