Yaani Joshua na Clemence wamefariki ila ni kama hakuna kilichotokea. Are we Hamas sympathisers?

Yaani Joshua na Clemence wamefariki ila ni kama hakuna kilichotokea. Are we Hamas sympathisers?

Swali kwako ........kwenye October 7 ni Israel alivamia au alivamiwa?? Na kwanini lawama iwe kwa Israel na yeye hakuteka ??

Jibu kwako Palestina imevamiwa tangu 1948. Oct 7 ni moja tu katika jitihada nyingi za kujikomboa tokea zama hizo.

Jinafasi usome hapa kuona waungwana wanavyosema:

IMG_20231213_063634.jpg

HAMAS, umkhonto we sizwe, mau mau, SWAPO, ANC ZANU PF, RPF, FRELIMO, NRM, RPF, POLISARIO, nk lao Moja.

Harakati zao za ukombozi zilitumia na zinatumia nguvu leo.
 
Hiyo ndio Tanzania. Waliopo kwenye nafasi wanakimbizana kujipigia magoli tu. Goli liko wazi
 
Inasikitisha kuwa ndugu zetu wamepatwa majanga katika mgogoro huo. Ila nimesikitishwa na judgement yako juu ya HAmas kuwa ni kundi la kigaidi. HAmas ya Sasa ni sawa na kina FLERIMO,ANC,TANU,KANU n.k

Ni watu. Wanaopambana kudai hai zao za msingi ktika ardhi ambayo wameishi karne na Karne. Leo hii wananyang'anganywa na kulazimishwa kuondoka! Labda utasema kuwa hao ni mayahudi na wao ndio wenye haki ya ardhi (kwa mujibu wa biblia/msahafu na historia za dini za Ibrahim) lakini tunapaswa tuangalie mahitaji ya Dunia ya sasa.

Je ni sahihi wazungu wate waliopo bara ya Amerika kusini na Kaskazini warudi Ulaya kwenye asii yao? Na wabaki wahindi wekundu? Au ni sahihi watu weusi waliopo huko warudi Afrika? Israeli ikubali kuwepo wa mataifa mawili na ndio suluhisho la kudumu. Wanachofanya HAmas ni matokeo ya chuki dhidi ya unyanyasaji,ukatili na uuaji wanaofanyiwa.

Mpunzike kwa amani kama mmefariki Joshua na Clemence na kama mko hai Mwenyezi Mungu awape uzima na usalama.

Amen
Badhi ya watu,kama vile wapo na lile genge ka wah......linalojiita UN.
Watu wanaopigania haki yao,kama hawana masrahi kwa hiyo UN,wataitwa magaidi.
Lakini wanaofanya ugaidi wazi,kisa wanagawana masirahi,wao wataitwa wapigania uhuru wao. Dunia haina mwenyewe,ila wapo tu waliojaribu kujimilikisha. Mpaka watu wajitambue,mpaka mataifa makubwa mengine yenye uwezo yapewe kiti(si kwamba na yenyewe hayaibi),huenda kukapatikana ahueni
 
kiongoz unaona Bora utetee wapelestina lakin sio watanzania wenzio kweli mmeoshwa bongo zenu

Tuwatetee wote wasio na hatia wakiwamo wapalestina, Ukraine na hata waisrael wapenda haki.
 
Jibu kwako Palestina imevamiwa tangu 1948. Oct 7 ni moja tu katika jitihada nyingi za kujikomboa tokea zama hizo.

Jinafasi usome hapa kuona waungwana wanavyosema:

View attachment 2842118

HAMAS, umkhonto we sizwe, mau mau, SWAPO, ANC ZANU PF, RPF, FRELIMO, NRM, RPF, POLISARIO, nk lao Moja.

Harakati zao za ukombozi zilitumia na zinatumia nguvu leo.
makaburu walikua wanatesa waafrika lakin ANC ilikua haitageti raia wakizungu ilikua inataget mifumo ila hizi pimbi zinatarget raia na mada iliopo mezani mtoa mada analilia damu ya watanzania wenzetu walioteka na hao mashujaa wenu
 
Mkuu marekebisho tafadhali ila si kwa ubaya:

1. Pana mateka waliripotiwa kufa wakawa wazima; tusubiri hata hao wenzetu wanaweza kuwa wangalipo.

2. Israel anarusha makombora bila kujali kuna wengi wasio na hatia Gaza wakiwamo mateka tokea Oct 7 kwenye eneo dogo kuliko dar na kila siku; kwa nini hudhani huyu katuulia pia ndugu zetu kwenye huu wendawazimu wake?

3. Israel ameanza kujaza maji kwenye mahandaki bila kujali ndugu za wahanga sisi tunasema je; ana uchungu gani na ndugu zetu huyu?

4. Oct. 7 akiwa kwenye mtafaruku na HAMAS Israel aliuwa watu hovyo; hata aliouwa Israel lawama ni Kwa HAMAS?

Inauma ila Israel hawezi kujivua lawama.

Wapumzike kwa amani kama wametangulia ila Israel ana kesi ya kujibu.
Kwa akili hizi lazima ww utakuwa ni muislamu
 
makaburu walikua wanatesa waafrika lakin ANC ilikua haitageti raia wakizungu ilikua inataget mifumo ila hizi pimbi zinatarget raia na mada iliopo mezani mtoa mada analilia damu ya watanzania wenzetu walioteka na hao mashujaa wenu

Mkuu hawa jamaa hawakuja Africa, kwenda Israel au kokote kupigana au kuteka.

Hawa wameteka watu kwenye maeneo yao yanayokaliwa.

ANC alikuwa anauwa kama mau mau na wote wengine Kwa sababu hakuwa na uwezo wa kuteka.

Kumbuka heri kutekwa kuliko kuuwawa. Pia ni gharama zaidi kuteka kuliko kuuwa.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Mkuu marekebisho tafadhali ila si kwa ubaya:

1. Pana mateka waliripotiwa kufa wakawa wazima; tusubiri hata hao wenzetu wanaweza kuwa wangalipo.

2. Israel anarusha makombora bila kujali kuna wengi wasio na hatia Gaza wakiwamo mateka tokea Oct 7 kwenye eneo dogo kuliko dar na kila siku; kwa nini hudhani huyu katuulia pia ndugu zetu kwenye huu wendawazimu wake?

3. Israel ameanza kujaza maji kwenye mahandaki bila kujali ndugu za wahanga sisi tunasema je; ana uchungu gani na ndugu zetu huyu?

4. Oct. 7 akiwa kwenye mtafaruku na HAMAS Israel aliuwa watu hovyo; hata aliouwa Israel lawama ni Kwa HAMAS?

Inauma ila Israel hawezi kujivua lawama.

Wapumzike kwa amani kama wametangulia ila Israel ana kesi ya kujibu.
Lawama zote kwanza ziende kwa Hamas. Hamas awe specific kwa adui zake. Au Kuna wazayuni weusi?......
 
Wewe ambaye hujalaaniwa umeleta mabadiliko gani chanya hapa duniani? Nchi yako na Israel ipi Ina impact kubwa katika kuboresha maisha ya watu hapa duniani? Machawa wengi went ni punguani wa head
Israel ina impact gani hapa duniani ?
 
Before Talking first reason! Fikiria kwanza kabla hujaongea chochote!
Hawa jamaa wawili (Palestine na Israel) wanavutana kabsa kuanzia kwenye influence mpaka media! Yule dogo aliyezima kwenye vita vya Ukraine iliishia wapi?
 
makaburu walikua wanatesa waafrika lakin ANC ilikua haitageti raia wakizungu ilikua inataget mifumo ila hizi pimbi zinatarget raia na mada iliopo mezani mtoa mada analilia damu ya watanzania wenzetu walioteka na hao mashujaa wenu
Una uwakika na unacho kiongea au unaropoka?
 
Black people yakitokea majanga kwa wengine,tuliona uturuki na Indonesia lile tetemeko, mambo ya Ukraine mtu wa Gezaulole,Pemba Mnazi,Kiteto kila mwenye ngozi ya tako pray for them na maneno kibao,sasa sisi hapo Hanang hakuna mwenye habari...... Triumph alipotuita Shithole watu wakamjia juu ila miafrika sisi mipumbavu sana
 
Lawama zote kwanza ziende kwa Hamas. Hamas awe specific kwa adui zake. Au Kuna wazayuni weusi?......

Mkuu hizi siyo vita vya rangi ya ngozi. Wapi hakuna weusi? Wapo China, italiy, urusi, ujerumani, Iceland, marekani, Canada iwe usayuni ndugu?

IMG_20231214_120208.jpg

Mwone Mossad huyo nyuma yake. Ni mweupe?
 
Jana Balozi wa Palestina nchini alifanya mahojiano na waandishi wa chombo kimoja na wala hajaulizwa kuhusu hilo huku muda wote akiwataja HAMAS kama kundi la kutetea maslahi ya Palestina.
 
Back
Top Bottom