Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
naamini siku ukiambiwa na waraabu uwasaidie kuivamia tanzania hata kama hatuna hatia utawapa ushirikiano wakutosha. Alla akujhalie siku njemaHilo linchi lenye laana si mnaenda kutafuta laana, mijitu hiyo imelaaniwa...
Unataka nikupe mabadiliko chanya niliyoleta hapa nchini? Basi we utakuwa mgeni JF..Wewe ambaye hujalaaniwa umeleta mabadiliko gani chanya hapa duniani? Nchi yako na Israel ipi Ina impact kubwa katika kuboresha maisha ya watu hapa duniani? Machawa wengi went ni punguani wa head
Hayo hayandoi laana iliyoanza tangu enzi zile walipozururishwa miaka 40 jangwani.., na kutawanywa duniani kote..., maana uvamizi wa ardhi ya wenzako ni laana tu..Madaktari bingwa duniani,mabingwa teknolojia,sayansi na mengi mazuri yanatoka kwao,je waweza sema wamelaaniwa?
Mi sitetei Palestina, issue ni kupora ardhi kwa mabavu, wameanza na palestine, kwsho wataenda kwingine, hayo mazayuni ni ya kukemea! Yana laana kali sana!kiongoz unaona Bora utetee wapelestina lakin sio watanzania wenzio kweli mmeoshwa bongo zenu
Hao Ardhi hawana, ni uzayuni tu ndio unawasaidia.., yamelaaniwa hayo..Kuna nchi ambayo haina ardhi !? Au ndo Bia za saa mbili asubuhi
Hapana, uporaji Ardhi ukemewe bila kuhusisha race...naamini siku ukiambiwa na waraabu uwasaidie kuivamia tanzania hata kama hatuna hatia utawapa ushirikiano wakutosha. Alla akujhalie siku njema sn
Inasikitisha kuwa ndugu zetu wamepatwa majanga katika mgogoro huo. Ila nimesikitishwa na judgement yako juu ya HAmas kuwa ni kundi la kigaidi. HAmas ya Sasa ni sawa na kina FLERIMO,ANC,TANU,KANU n.k
Ni watu. Wanaopambana kudai hai zao za msingi ktika ardhi ambayo wameishi karne na Karne. Leo hii wananyang'anganywa na kulazimishwa kuondoka! Labda utasema kuwa hao ni mayahudi na wao ndio wenye haki ya ardhi (kwa mujibu wa biblia/msahafu na historia za dini za Ibrahim) lakini tunapaswa tuangalie mahitaji ya Dunia ya sasa.
Je ni sahihi wazungu wate waliopo bara ya Amerika kusini na Kaskazini warudi Ulaya kwenye asii yao? Na wabaki wahindi wekundu? Au ni sahihi watu weusi waliopo huko warudi Afrika? Israeli ikubali kuwepo wa mataifa mawili na ndio suluhisho la kudumu. Wanachofanya HAmas ni matokeo ya chuki dhidi ya unyanyasaji,ukatili na uuaji wanaofanyiwa.
Mpunzike kwa amani kama mmefariki Joshua na Clemence na kama mko hai Mwenyezi Mungu awape uzima na usalama.
Amen
mada mezani ni vijana wakitanzania kuawa na wakat sio wayahudi hata mionekano Yao sio kiyahudi ni ukatili wametendewa na hamasiMi sitetei Palestina, issue ni kupora ardhi kwa mabavu, wameanza na palestine, kwsho wataenda kwingine, hayo mazayuni ni ya kukemea! Yana laana kali sana!
Hamas ni gaidi, gaidi hana ndugu. Sisi tunaojifanya eti tuna undugu na Hamas yafaa tujue hilo. Hamas yuko tayari kuwatumia wapaletina wenzake kama ngao ya vita, atashindwa nini kumlipua mtzmada mezani ni vijana wakitanzania kuawa na wakat sio wayahudi hata mionekano Yao sio kiyahudi ni ukatili wametendewa na hamasi
ISLAM AND MIARABU MINDSET KUHUSU WAYAHUDI NA WAKRSTO NA ARIDHI YA ASILI YA WAYAHUDI.Sasa walienda kufanya kwa hiyo miyahudi isiyo na Ardhi?
Mungu wa waarabu na waislamu amewalaani wayahudi.Hilo linchi lenye laana si mnaenda kutafuta laana, mijitu hiyo imelaaniwa...
KUDAI HAKI KWA KUWAITA WAYAHUDI WALOWEZI KWENYE ARDHI YA MABABU ZAO..Inasikitisha kuwa ndugu zetu wamepatwa majanga katika mgogoro huo. Ila nimesikitishwa na judgement yako juu ya HAmas kuwa ni kundi la kigaidi. HAmas ya Sasa ni sawa na kina FLERIMO,ANC,TANU,KANU n.k
Ni watu. Wanaopambana kudai hai zao za msingi ktika ardhi ambayo wameishi karne na Karne. Leo hii wananyang'anganywa na kulazimishwa kuondoka! Labda utasema kuwa hao ni mayahudi na wao ndio wenye haki ya ardhi (kwa mujibu wa biblia/msahafu na historia za dini za Ibrahim) lakini tunapaswa tuangalie mahitaji ya Dunia ya sasa.
Je ni sahihi wazungu wate waliopo bara ya Amerika kusini na Kaskazini warudi Ulaya kwenye asii yao? Na wabaki wahindi wekundu? Au ni sahihi watu weusi waliopo huko warudi Afrika? Israeli ikubali kuwepo wa mataifa mawili na ndio suluhisho la kudumu. Wanachofanya HAmas ni matokeo ya chuki dhidi ya unyanyasaji,ukatili na uuaji wanaofanyiwa.
Mpunzike kwa amani kama mmefariki Joshua na Clemence na kama mko hai Mwenyezi Mungu awape uzima na usalama.
Amen
Nilikuwa najibu comment ya mdau ndani mada. Rejea comment niliyojibumada mezani ni vijana wakitanzania kuawa na wakat sio wayahudi hata mionekano Yao sio kiyahudi ni ukatili wametendewa na hamasi
Yeah waarabu na waislamu ajenda yao kubwa ni kuwaua wakrsto na wayahudi popote pale duniani..Moja ya sababu kubwa ya kuuawa kwao ni Ukristo.
Miyahudi hawana ardhi, ni majitu yenye laana, hata ushoga ulianzia kwa mayahudi ya USAISLAM AND MIARABU MINDSET KUHUSU WAYAHUDI NA WAKRSTO NA ARIDHI YA ASILI YA WAYAHUDI.
MTUTU WA BUNDUKI TU NDIO UNAWANYOOSHA
NB: WAMESAHAU BEIRUT 1982 SHARON NA IDF WALIWAFANYA NINI PLO.