GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mbunge wa zamani wa Viti Maalum kupitia Chadema ambaye sasa amehamia CCM, Upendo Peneza amesema kabla hajama chama hicho, aliomba ushauri kwa Rais wa zamani wa Liberia Ellen Johnson Sirleaf na pia alifunga na kuomba kabla hajatimiza uamuzi huo.
Chanzo: @MwananchiNews
Ngoja nami GENTAMYCINE sasa nimuombe Mungu anichagulie Mwanamke sahihi Kwangu ili niuage rasmi Ukapera!!!!
Chanzo: @MwananchiNews
Ngoja nami GENTAMYCINE sasa nimuombe Mungu anichagulie Mwanamke sahihi Kwangu ili niuage rasmi Ukapera!!!!