Mpaka alikuwa analia kwamba ccm walikuwa wanawatuhumu kwamba wanaliwa na viongozi wa chadema.Huenda sasa akasema ilikuwa kweli maana njaa mbaya.
..Upendo anatuhumiwa kuwa na mahusiano ya kimapenzi na kiongozi mmoja wa Ccm.
..Ccm wana pesa nyingi mno za kuhonga mpinzani yeyote anayewapa shida.
..kwa maisha ya ukata ya wapinzani, na ukosefu wa muamko miongoni mwa Watanzania, sio rahisi kwa mpinzani kusimamia misimamo yake kwa muda mrefu.
..madai ya mfumo wa siasa za haki, na kuandikwa kwa katiba mpya, ni ya muda mrefu kuliko kifungo alichotumikia Mzee Mandela.